BecaTZA Profile Banner
BecaTZA Profile
BecaTZA

@BecaTZA

Followers
1,607
Following
1,614
Media
5,177
Statuses
24,169

AWARD WINNING| JOURNALIST|SOCIAL MEDIA CONSULTANT| ASST. EDITOR| @millardayo | & AyoTV| MR.HABARI CHAPCHAP📲 IG,FB &TWITTER @becatza

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Nimetunukiwa Tuzo 2 za kutambuliwa mchango wangu katika kazi za kihabari kwenye Wizara ya @ortamisemitz & @WizarayaUJnaUC na kuwa Mwandishi pekee niliyefanikiwa kupata Tuzo 2 kutoka Wizara 2 tofauti kwenye Kongamo la Habari 2022..Asante Mungu,Wazazi & Kocha wangu Mkuu @millardayo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
34
26
222
@BecaTZA
BecaTZA
1 month
“Ukija bila gadi nagawa idadi kwa wastani”.. Muuza madafu maarufu anasema mzigo aliolipwa Ikulu kaongezea kanunua Boda, kwa sasa anapiga Udereva Boda na anauza pia madafu..KOMANDOO kamuona na anakiri ni kweli wamefanana..vipi mnaendelea kukaza kuwa ni yeyee au mlimfananisha? 😂
98
74
432
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
😀😀Beca kategwa kategeka.. Mkewe kazimia kwa Presha 😀
61
73
396
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
#ARUSHA :Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa mauziano ya tani laki moja za Korosho ghafi,zenye thamani ya Tsh.bilioni 418 na kampuni ya Indopower Solution ya Kenya. Waziri Kakunda amesema Tanzania inaendelea kuwakaribisha wanunuzi wengi wa Korosho kutoka nje. #BecaLoveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
44
37
241
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
17
8
190
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
#BreakingNews : Uzinduzi Mnada wa kwanza wa korosho Leo Oct 22 mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba haujawa mzuri Kwa wakulima. Bei ya Juu kilo ni Tsh.2717 na ya chini Tsh.1711. Wakulima wamegoma kuuza korosho zao na mnada umevunjwa hadi wakati ujao. #BecaloveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
38
176
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Leo January 10,2023 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, Happy Birthday to Me, God is good … #GOAT #January10 #CapricornBoy #TeamCapricorn #MadeIn 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
31
9
175
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Ndugu Mchambuzi @chapo255 tupe uchambuzi kidogo kuhusu hamahama ya hawa Vijana 😀😀😀
Tweet media one
5
4
136
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
"Ni marufuku kuning'iniza picha zangu kwenye Ofisi zote za Umma,u-Rais si umaarufu ama kuwekwa ukutani, badala yake kila mmoja wenu aweke picha za watoto wake awe anazitazama kila anapofanya maamuzi ya nchi hii''~Volodymyr Oleksandrovych Zelensky,Rais mpya wa Ukraine. @kwanza_tv
Tweet media one
7
34
124
@BecaTZA
BecaTZA
6 months
Fremu 24 za biashara na ofisi moja ya utawala vimeteketea kwa moto hapa Mwenge karibu na Stand mpya.. hadi sasa moto umedhibitiwa kwa 98%. …Tupo hapa tangu saa sita usiku tukikufahamisha kila kinachojiri kupitia AyoTV/millardayo.com
8
8
123
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
#BUNGENILEO : "Tunataka Waziri Mpango unapokuja hapa jibu la kwanza utuambie .. Kwasababu mulisema mutanunua korosho, Utuambie munaanza lini kununua korosho!?.. na kwa bei ya Elf tatu kwenda Juu, hakuna kushuka chini hata sh.Mia Moja" ~ Mbunge @HecheJohn . #BecaLoveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
1
11
105
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
JE, WAJUA? Hii inaitwa "Frying Pan" na Sio "Flampen" kama wengi walivyozoea kutamka.😊 #ElimikaWikiendi @fahamuzaidi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
2
106
@BecaTZA
BecaTZA
12 days
Tuendelee kuwa makini na Ma-EX 😂😂
24
9
99
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Mzee wangu @chapo255 kaa nami vizuri nikupe content la uzi ulioshiba hivi, nikiwa kama Mheshimiwa Mtangazaji wa kwanza kutumiwa wimbo wa kwanza wa Jeshii wakati huo akiitwa Rojaz kabla hajawa @harmonize_tz 😀, nahisi pia Mimi ni Mtangazaji wa kwanza kufanya nae Interview 😀😀.
Tweet media one
6
3
97
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
@ayubu_madenge Ni Syria… hakika ni tukio la kugusa hisia, kwa mujibu wa wanaoelewa lugha hii wanadai Mtoto alikuwa anasema ‘Mkinitoa hapa nitafanya chochote mnachotaka nipo tayari hata kuwa Mtumwa wenu’…. Mungu ni mwema wametolewa salama🙏
5
6
91
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Team Leader @millardayo ....Mungu ampe maisha marefu na aendelee kumuinua na kumbariki zaidi.. Asante nyingi kwake kwa kuendelea kuniamini 🙏 #TeamJanuary 💪
Tweet media one
2
3
85
@BecaTZA
BecaTZA
2 months
@HKigwangalla Asante sana Kaka 😂.. namba 1 na 2 zilinipa moyo wa kuoa nikasema kesho tu natangaza ndoa… namba 3 hadi 10 zimenivunja nguvu, ngoja niendelee kujipa muda maana hizi tabia zilizoanza na Epuka na Usirogwe wanazo wengi😂😂
9
1
83
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
''Katiba yetu imenipa mamlaka ya kuteua naibu kiongozi mkuu wa Chama na tumekaa na kamati kuu imeridhia pendekezo langu la kumteua Juma Duni Haji kuwa naibu kiongozi mkuu wa @ACTwazalendo , uteuzi wake unaanza Jumatano Machi 27, 2019''~ @zittokabwe #BecaLoveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
2
11
75
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
And when you pray tonight…pray for all the people who have contributed positivity in your life. There are people who have truly changed your life and no amount of words will ever describe what they have done for you. Give them the greatest gift..prayers! God will do the rest.
Tweet media one
Tweet media two
3
3
75
@BecaTZA
BecaTZA
3 years
Hamza...✍️
5
10
68
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
7
11
70
@BecaTZA
BecaTZA
3 years
“Ukichelewesha riziki za wenzako, unazichelewesha na zako” @tonytogolani
Tweet media one
1
4
71
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
Kwahiyo tulikubaliana vipi jibu la mwisho, ni Habari au sio Habari !!??😂😂 @jaliluzaid @chapo255 @thisistemidayo !?
Tweet media one
11
3
65
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
“Lile sanamu ukiliangalia Live ni Nyerere mtupu lakini ukilipiga picha linakataa” ~ @HKigwangalla akijibu swali kuhusu sanamu via #space @PresenterNoah & @HKigwangalla Cc: @Eric_Bernard94 😀
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
6
61
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
#MTWARA :Wakulima wilayani Newala wamelalamikia uamuzi wa zaidi ya Tani 68 za Korosho zilizopimwa katika vyama vya Msingi Chemana na China kata ya Chitekete,kurejeshwa kwa wakulima baada ya kukataliwa kuingizwa kwenye maghala makuu ya TANECU,kwa madai ya korosho hizo kukosa ubora.
5
14
59
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Leo amezaliwa Boss na Kaka yangu @millardayo , Mungu azidi kumbariki, kumuinua na kumpa afya tele ili aendelee kuwa Daraja la Vijana wengi kuzikimbilia ndoto zetu… Asante sana kwa kuendelea kuniamini 🙏 #HappyBirtddayBigBoss
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
60
@BecaTZA
BecaTZA
3 years
Boss @chapo255 kwakuwa amani imeanza kurejea, wakati tukiendelea kukesha tukiomba Ndugu zetu hawa warudi studio na P Square irudi Mjini, sio mbaya ukitu-bless na uzi (Kiini cha tofauti zao) na nini kimefanya waanze kuirejesha amani taratibu siku za hivi karibuni 😊..
4
4
61
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
Hii nyumba ipo Mkinga(Tanga) inaripotiwa kuleta utata wa kidiplomasia..Chumba kimoja kipo Kenya na kingine kipo Tanzania (aliposimama NW Dkt.Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya na askari wa Tanzania hawamfanyi kitu. #BecaLoveUpdates
Tweet media one
7
21
57
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
"Ni Bahati na Heshima iliyoje kushiriki katika kazi yako kaka @ProfessorJayTz , Wewe ni mwanamuziki uliyefanya makubwa nchini, pia wananchi wamekuamini na kukukabidhi jimbo la mikumi,Imekuwa siku yenye neema na Faraja kwetu.."MO" Amerudi Salama na #YATAPITA inatoka"~ @harmonize_tz
Tweet media one
Tweet media two
0
3
55
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
@chapo255 Uzi wako ungemalizia na hii kwamba huenda sasa kile ulichokiweka mwishoni hapa kwenye hii tweet ya juzi kikaonekana ...huenda Vijana wakaachiwa nafasi ...pamoja na vipindi vingine, naiona pia nafasi ya John kwenye Homa 🇹🇿
Tweet media one
2
2
53
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
"Rafiki ameniomba msaada Kijana wake amepata nafasi chuokikuu anahitaji ada.Nimemuuliza ingekuwaje kijana angekuwa anaoa?Kajibu wangeunda kamati.Nimeshauri waorodheshe marafiki,mimi nikiwemo,kama ilivyo harusi tuchangie.Kusiwe na kuvunja kamati.Ktka hili,Tubadilike" @MarkMwandosya
7
5
51
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
@IAMartin_ Tuongeze na hii😀 "Nakupenda sana Hiphop zaidi ya Machizi wangu wa Kitaa.. Acha tunaokesha nao Baa"
5
11
52
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Katika kuhakikisha zao la Korosho linakuwa la kimkakati, @zittokabwe amesema ACT inapendekeza Serikali inunue Korosho zote za Wakulima kwa Bei ya mwaka jana halafu yenyewe ndiyo iuze. ACT pia haitoshiriki uchaguzi wa marudio Desemba 02, ktk majimbo 4 na kata 47. #BecaLoveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
8
50
@BecaTZA
BecaTZA
6 months
“Ngoja wakaandike tena Samia akohoa..” — SSH 😂😂
8
4
50
@BecaTZA
BecaTZA
1 month
@chapo255 Maana halisi ya ‘sound yake’ 💪💪
4
2
50
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Kuachwa na mwanamke anayependa pesa ni sawa sawa na kumaliza deni la mkopo benki tu. #BecaLoveCp 🤣
7
2
45
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
"Inakera kujua majibu na watu hawaulizi swali ....We unajua sie hatujui ila kaa navyo vyote kutu" ` @MwanaFA
Tweet media one
0
4
46
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
Kama bado haujapitia Magazeti ya leo bado haujachelewa...ingia youtube ya millardayo...nimekusomea zotee kwa umaridadi kabisaa😂🤷🏽‍♂
2
1
44
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Tweet media one
Tweet media two
4
3
44
@BecaTZA
BecaTZA
2 months
#behindthescenes kutoka Mount Moriah anaposoma Mtoto anayedaiwa kulawitiwa na Mwalimu wake Jijini Dar…. DC wa Ubungo amefika hapa kuongea na Walimu kisha atatueleza hatua zilizochukuliwa na Serikali.. .. #AyoTV
8
14
45
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
Ukionesha kuwa na maarifa kuwashinda wenzako utakuwa umewakosea. Watakuchukia. Ukionesha kuwa na ujinga kuwashinda wenzako utakuwa umewakosea. Watakudharau. Kwa namna yoyote inayokufanya uwe wewe, endelea kubaki nayo. Hautokamilika mbele ya macho ya binadamu. @KennedyMmari
0
9
42
@BecaTZA
BecaTZA
3 months
@INFLUENCERjr Nafikiri ni kwasababu ya ule wimbo wake wa Boss 😂😂😂
1
2
41
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Sema chochote....!!! 🙏 West x East 🇳🇬 x 🇹🇿 @deejayneptune ft @youngskales × #KONDEBOY out 🌍❤🦅..
0
3
35
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
Vijana wa @ACTwazalendo , NCCR Mageuzi, CHAUMA na UPDP wametangaza kufanya maandamano ya Amani 9 April 2019, jijini Dodoma, kulitaka bunge litengue maamuzi yake ya kutofanya kazi na CAG prof Mussa Assad,kufuatia Bunge hilo kusema halitashirikiana naye. #BecaLoveUpdates
Tweet media one
3
7
34
@BecaTZA
BecaTZA
3 years
3
2
39
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
#BreakingNews : Uzinduzi Mnada wa kwanza wa korosho Leo Oct 22 mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mkumba haujawa mzuri Kwa wakulima. Bei ya Juu kilo ni Tsh.2717 na ya chini Tsh.1711. Wakulima wamegoma kuuza korosho zao na mnada umevunjwa hadi wakati ujao. #BecaloveUpdates
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
14
34
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Tweet media one
1
3
39
@BecaTZA
BecaTZA
2 months
@awamisammy Asante sana kwa huu ufafanuzi mzuri Kaka 💪
1
0
38
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Halima The Bus Driver. 📍St.Benedict Hospital Ndanda, Mtwara... @Adventure_36 Dada yetu anakusalimia sana, anasema ingawa amekatika mkono akishawekewa mkono wa bandia anarudi mzigoni kwenye mishe za magari kazi anayoipenda, hata asipokuwa Dereva, atakuwa Kondakta au Agent.
2
5
34
@BecaTZA
BecaTZA
2 months
Imeandikwa Mtu hatoishi kwa mkate tu..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
4
37
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
@azamtvtz Ngwair huyu au mwingine!?🤔😀
4
4
35
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
@chapo255 Noma kabisa imenikumbusha Bablee (Star wa Kizizi) alihusika sana kumshika mkono Naseeb na kumlink kwa Bob Junior.
2
0
35
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Mshahara Haujawahi Kutosha na Hautakuja Kukutosha...Cha Msingi Ni Kuiheshimu Pesa Inayoingia na kuizalisha zaidi. #ElimikaWikiendi
1
2
35
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Nimetunukiwa Tuzo 2 za kutambuliwa mchango wangu katika kazi za kihabari kwenye Wizara ya @ortamisemitz & @WizarayaUJnaUC na kuwa Mwandishi pekee niliyefanikiwa kupata Tuzo 2 kutoka Wizara 2 tofauti kwenye Kongamo la Habari 2022..Asante Mungu,Wazazi & Kocha wangu Mkuu @millardayo
6
4
35
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
0
3
35
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
@regmengi Daah Sasa mchanga wa bahari zote Duniani ulivyo mwingi aitheee ...Hakika Nimelemewa kwa mahaba haya ya mzee kwa Jack..Maana mie upendo wangu sijui kama nafikisha hata level ya Mchanga wa Bonde la ufa😂😂
1
1
33
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
#TeamTZA 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
8
1
33
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
Ukifika Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila hiki ni Kikosi Kazi kitakachohakikisha unawekewa puto tumboni ili upunguze uzito, kitambi na minyama uzembe 😀😀😀🇹🇿💪
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
3
34
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
"Leo wakulima wa Korosho wameanza kufanya Parizi,hawana fedha wanatafuta watu wanaingia makubaliano anampa laki1 wanakubaliana wenyewe atampa gunia la Korosho,mnakaa mnashauri Rais kwamba ile ni Kangomba..Mpaka leo wakulima wanadai fedha,Je Mkulima asilime korosho?"~Mbunge Katani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
10
32
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
@chapo255 Wakumbushe Wakali wetu waendelee kutu-bless na mizigo kama hii inayoishi milele, hii utadhani imeimbwa kuhusu tukio la leo yaani… Cc: @Roma_Mkatoliki @diamondplatnumz @darassa_cmg @yungdaresalama
4
8
33
@BecaTZA
BecaTZA
8 months
Imekuwa wakati mzuri sana kufika Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia na kuongea na Balozi wetu wa Tanzania hapa Zambia, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule… 🇹🇿💪
1
6
33
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
"Mother anaamini hakuna Maisha bila Skuli , Huku mtaani tunaamini bila kamali Hatuli ...Matozi wa mtaa wana Ndoto ya Kupush Rimo, Machizi wanaenda South Boda viva Frelimo..Maisha ya Mtaa siyo Ishu mlo mmoja kwa siku..Masela wanakula #mpakani mwa mchana na usiku." ~ @King_Zillah
2
2
28
@BecaTZA
BecaTZA
11 months
Kaka yangu @Eric__Bernard usichoke ule utaratibu wako wa kutukumbusha Vijana tuwe makini na Mapenzi aisee ..
Tweet media one
@millardayo
millardayo
11 months
Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake. Taarifa za kifo chake zilianza
Tweet media one
255
107
3K
3
3
32
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
@chapo255 "Tena mnajishow huyu Komandoo, steji mafundo...Wachafu wa Roho, ongeza Zero" ... Code muhimu hapa ni KOMANDOO na WACHAFU😂😂 wakimjibu wote patachafukaa😆
2
1
32
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
"Nina nyumba na nina nyumba Kawe ...Nina nyumba Manzese pia nina Nyumba #Kisarawe " ~ @Madeeseneda 😷
0
2
30
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Wapenzi Wengi Ambao Hawashiki Simu Za Waume/wake zao Huwa Wanakuaga Na Furaha Sana Kwenye Mahusiano/Ndoa Zao More Than Wale Kila Akirudi Mwanzake Busy Kupekua Simu Za Bebez zao..Unataka Ndoa Yako Iwe Na Amani,upendo & Furaha ..Shikaneni "Mikono" Ila Sio Simu Zenu. #ElimikaWikiendi
6
0
32
@BecaTZA
BecaTZA
7 years
"Ukiwa Fukara kamwe hauwezi kuwa Kiburi...Maskini Jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye Akili " ~ @MwanaFA
Tweet media one
0
3
29
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
Katika kuunga mkono juhudi za Waziri @JMakamba na wizara yake kwa ujumla katika kutokomeza mifuko ya plastiki,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bi.Rukia Muwango,ameagiza ifikapo 01 June 2019,ni marufuku kusambaza au kutumia mifuko hiyo wilayani humo na atakayekaidi atachukuliwa hatua.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
1
31
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Tweet media one
0
3
32
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Tweet media one
1
2
31
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Hongera sana @KivuyoLaurel .. Am proud of you🇹🇿👍
Tweet media one
@SAYoF_Official
Southern Africa Youth Forum (SAYoF)
2 years
#SADCYouthNews Congratulations to Ms. Laurel James Kivuyo @KivuyoLaurel Republic of #Tanzania 🇹🇿 for being the first Southern Africa Climate Change Youth Envoy. See statement #SADCYouth
Tweet media one
26
53
227
0
3
29
@BecaTZA
BecaTZA
4 years
Tayari nimekusomea Habari Kubwa katika #Magazeti ya #Tanzania leo March 02, 2020 zipo kwenye @ayotv_ ukiingia Youtube ya @millardayo au '' sasa hivi utakutana nazo
Tweet media one
1
2
28
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
#LINDI :Serikali imewaunga mkono wakulima kukataa kuuza korosho zao kwa bei ndogo na imesitisha minada yote hadi Mwishoni mwa mwezi huu. Wizara ya Kilimo imetakiwa kujitathimini na Kaimu mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Korosho amerejeshwa wizarani. #BecaLoveUpdates #MaamuziGvtKorosho
Tweet media one
Tweet media two
4
5
29
@BecaTZA
BecaTZA
1 month
12
6
29
@BecaTZA
BecaTZA
3 months
@Roma_Mkatoliki Nihakikishie ulinzi tu Kaka yangu @Roma_Mkatoliki nifumbe macho nikainyanyue hii … maswali nitayakusanya kwa Wadau hapa X kabla ya Interview 😂😂… “Ukija bila guard nagawa wastani kwa idadi” 😂
Tweet media one
2
1
30
@BecaTZA
BecaTZA
21 days
@chapo255 “Maisha ni kuwindana sio peace kama Heaven/ Machizi wanatafutana na Ma-AK47 .. ishu kufanyiana sio kuwekeana vitisho/ ni suala la kawaida kusikia milio ya Pistol “. 💪🔥 #RIPKing
2
5
29
@BecaTZA
BecaTZA
1 year
@Eric__Bernard Kaka huyu anatosha kabisa, naomba namba zake tumfanyie mahojiano ili atuelezeee kidogo maono yake katika kuifanya UDSM kuendelea kuwa Chuo bora na pendwa
4
0
29
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Tweet media one
1
4
28
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
@zittokabwe Hahaha Mkuu hii HarshTag #Tutazikaanga wakipita wakulima Wa Nanjirinji na Nangwanda sijaona hapa watazimia kwa BP ....Wale walionunua Kwa Magendo Chomachoma/Kangomba (Hadi Kilo Tsh.2800) Ndo watakufaa kabsaaa
5
3
27
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
"Mimi nina vyama karibu 39 mpaka jana nimepata takwimu ya vyama 21 ndani ya wilaya zangu vimeshalipwa,ilibidi lazima nijenione kama zina uhalisia,zipo changamoto nimezibaini,ktk wakulima waliolipwa,wenye kilo kuanzia 1500 kwenda juu hawajalipwa" Mbunge Nachingwea, Hassani Masala
Tweet media one
1
5
26
@BecaTZA
BecaTZA
4 months
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa BigBoss na Kaka yangu @millardayo , Mungu azidi kumbariki, kumuinua na kumpa afya tele ili aendelee kuwa Daraja la kutuinua na kuwainua Vijana wengi zaidi kuzifikia ndoto zao… Asante nyingi kwake kwa kuendelea kuniamini 🙏 #HappyBirtddayBigBoss
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
5
27
@BecaTZA
BecaTZA
2 years
Tweet media one
0
5
26
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
Don't feel sad over someone who gave up on you, feel sorry for them because they gave up on someone who would have never given up on them.
0
2
26
@BecaTZA
BecaTZA
5 years
@max_zitatu Hii maana yake nini?
Tweet media one
6
0
24
@BecaTZA
BecaTZA
1 month
Leo tumeamka na majonzi ya kifo cha Ndugu yetu Noel (Zuch Zuchero) ambaye amefariki kwa ajali , binafsi kwa kipindi chote nilichofanya nae kazi Ayo TV/MillardAyo.com, pamoja na mambo mengine nitamkumbuka kwa ukarimu wake, ucheshi, uchapa kazi na uhodari wa upigaji picha #RIP 🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
3
26
@BecaTZA
BecaTZA
10 months
6
5
26
@BecaTZA
BecaTZA
6 years
Mwanaume kuwa Tajiri ni kama Demu kuwa Mzuri...Demu wako akiwa kwenye Kioo we Piga simu tafuta Dili @MwanaFA
0
2
24
@BecaTZA
BecaTZA
3 months
Hatua za nwisho za JPM na sababu za kuchelewa kuapishwa kwa SSH
3
3
25
@BecaTZA
BecaTZA
1 month
Pozi ni lilelile, tofauti tu ni kwamba hawa sio Wauza madafu Ikulu 😂😂
Tweet media one
7
1
25