chapo255 Profile Banner
SANUKAnaCHAPO Profile
SANUKAnaCHAPO

@chapo255

Followers
443K
Following
31K
Media
13K
Statuses
158K

| THE WALKING MEDIA🎶 | Creative Pragmatist | Ndugu wa BARAKA MAVIATU | DM for Exclusive Promotions |

Tanzania
Joined January 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
TRAVIS KALANICK, CEO WA UBER , ALIVYO TIMULIWA KAZI KISA DEREVA. Mwaka 2017, video moja iliyojaa matusi na hasira ilisambaa mtandaoni, ikimuonyesha Travis Kalanick, CEO wa Uber, akigombana na dereva wa Uber Black. Katika video hiyo, dereva huyo alimwambia👇
Tweet media one
5
5
68
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
5 hours
RT @YourFrenchFry: Proof of life ✨.#AmarulaSunsetSessions
Tweet media one
0
27
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
RT @iboysean: @KodeUniKids Bootcamp!. Mtoto anajifunza.📱 Kutengeneza Apps.💻 Kujenga Websites.🎮 Kuunda Games.🎬 Kuchora na kuhuisha Katuni. 📍….
0
1
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
NECTA Grade 7 Coding Adventure 2025, bootcamp ya kipekee ya siku 15 (Sept 22–Oct 10) jijini Dar, Arusha na Dodoma. Mlete mwanao ajifunze kuunda websites, animations na games zake mwenyewe. 💰 Ada: 500,000 TZS tu.📲 WhatsApp: 0745 000 555.Jisajili hapa:
Tweet media one
Tweet media two
3
3
5
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
RT @usedpointTz: NJOO UOKOTE MASHINE KALI BEI KITONGA. Dell latitude e5450✅. Corei5✅.Ram 8GB✅.HDD 500GB✅.Procesor 2.2GHz to 2.3GHz🔥. Genera….
0
1
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
Kwa mahitaji ya Laptop na Desktop wacheki @usedpointTz .DSM FREE DELIVERY.FRE WINDOW INSTALLATION.☎️0788106694
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
- Uongozi wa mfano ni muhimu: Viongozi wanapaswa kuonyesha tabia bora ili kuwa mfano kwa wengine. - Video moja inaweza kubadili mwelekeo wa kampuni au hata kumfukuzisha kazi ya kiongozi. - Maoni ya wafanyakazi ni muhimu katika kuboresha huduma na mazingira ya kazi.
Tweet media one
1
0
2
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
Hali hii ilisababisha kuporomoka kwa imani ya wateja na wafanyakazi kwa kampuni hiyo. Aidha, kulikuwa na sababu kadhaa ila hiliw lilikuwa mojawapo. FUNZO LA TUKIO HILI.Tukio hili linatufundisha kuwa:.👇
Tweet media one
1
0
2
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
ATHARI KWA UBER NA JAMII. Tukio hili lilikuwa ni pigo kubwa kwa Uber, kampuni iliyoanzishwa na Kalanick mwenyewe. Video hiyo ilionyesha udhaifu katika uongozi wake na kuibua maswali kuhusu utamaduni wa kampuni yake.👇
Tweet media one
1
0
5
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
UBER BLACK NI NINI?.Uber Black ni huduma ya premium ya Uber. Ni huduma ya gharama zaidi ambapo unapata gari za kifahari kama Mercedes, BMW, au Lexus, dereva anakuwa amesajiliwa rasmi, na mteja upata comfort na huduma ya kiwango cha juu cha nyota 5👇
Tweet media one
Tweet media two
1
0
10
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
Hali hii ilisababisha Kalanick kuomba radhi hadharani na kusema kuwa alihitaji 'kubadilika na kukua.' . Hata hivyo, shinikizo kutoka kwa wawekezaji na wafanyakazi lilimlazimisha kujiuzulu kama CEO wa Uber rasmi mwezi Juni, 2017.👇
Tweet media one
Tweet media two
1
0
4
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
6 hours
CEO Kalanick: “Nimekuwa na hasara na kuingia kwenye madeni kupindukia sababu yako,” akilalamikia kushuka kwa nauli ovyo na kusababisha malipo kiduchu kwa madereva. Video hiyo ilichochea hasira miongoni mwa madereva na abiria na ilienea haraka kwenye mitandao ya kijamii.👇
Tweet media one
1
0
4
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
11 hours
RT @Hermanrocky_: Ngoma yangu mpya Usirushe Taulo nikishirikiana na Fidovato 🚀. Hii sio tu muziki, ni manifesto ya wasio kubali kusurrender….
0
1
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
17 hours
RT @usedpointTz: NJOO UOKOTE MASHINE KALI BEI KITONGA. Dell latitude e5450✅. Corei5✅.Ram 8GB✅.HDD 500GB✅.Procesor 2.2GHz to 2.3GHz🔥. Genera….
0
7
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
RT @usedpointTz: POWERFULL GAMING & INTENSIVE GRAPHICS MACHINE 👇👇. Dell XPS 15 9510.Core i7 processor.11th generation.RAM 16GB.SSD 512GB.NV….
0
11
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
RT @usedpointTz: HP elite X2 non touch. Core i5.8gb ram.256 ssd.8th generation.Warranty 6 months. 700,000/= tu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
Jana kama ulikosa @NyamaChomaFest ulikosa bonge la vibe. Chid alihamsha sana!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
19
221
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
RT @sonnino123: Shangwe la Nguvu Kutoka #NyamaChomaFestival tumelishuhudia siku ya Jana. Chid Benz Jana Amefunika sana, ameonesha energy….
0
27
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
RT @usedpointTz: 🦁Lenovo Thinkcentre M720s. 🔸Intel Core i3-8th Gen.🔸 3.6GHz.🔸8GB DDR4 .🔸 500GB.☑️8 USB ports .☑️2 Display ports.☑️1 VGA por….
0
2
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 hours
RT @usedpointTz: HP EliteBook 845 G7.AMD Ryzen 5 PRO 4650U. 6C 12T - L1 384KB L2 3MB L3 8MB - Base Clock 2.10 GHz ~ 4.00 GHz. 16GB.SSD 256….
0
5
0