Masanja Profile Banner
Masanja Profile
Masanja

@mkandamizaji

Followers
1,233,468
Following
6,680
Media
3,337
Statuses
76,113

Wafilipi 4:13. Positivist.

Ubaruku
Joined May 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Umerudi nyumbani huna kitu japo ulitoka siku nzima kujaribu kutafuta? Wewe si msanii. Wewe ni mpambanaji unayeamini iko siku yako Mungu amepanga. Kesho tena amka nenda katafute na mtangulize Mungu mbele.
391
465
5K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Dakika chache zilizopita tumeanza mwezi mpya, mwezi Julai. Mwezi huu ukawe wa heri na baraka kwako wewe unayesoma hii. Mungu akufungulie neema na abariki kazi za mikono yako.
477
218
4K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kuna watu bado wanaishi kwenye nyumba za kupanga au hawana magari au assets japo wana kazi sababu wamejitoa fedha wanazopata wanatumia kusomesha ndugu, kutatua baadhi ya mambo ya wanakotoka, kabla ya kuanza kujitazama wao. Usimuone mwenzako mzembe, hujui undani wake. Humjui.
269
406
4K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
GOD FIRST. ALL DAY. EVERYDAY.
280
217
4K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako wewe unayesoma ujumbe huu ni kuwa miezi hii iliyobaki kufunga mwaka ya Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Disemba ikawe yenye neema na baraka kwako. Milango ya fursa ikapate kufunguka, ufanikiwe katika kazi za mikono yako.
548
300
4K
@mkandamizaji
Masanja
1 year
Happy Birthday Lucas.
Tweet media one
58
60
4K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
🙇🏿🙇🏿Legend 🙇🏿🙇🏿
Tweet media one
55
56
3K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu ukafanikiwe katika yale unayopambana yafanikiwe wiki hii.
271
180
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Nikisikiaga polisi cha kwanza huwa ni kizunguzungu, cha pili hamu ya kula inakata na cha tatu mwili unaishiwa maji. Nikizinduka nitapitia comments zenu.
Tweet media one
480
104
3K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
PRAY. SALI
367
146
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Mwaka wa tano unaisha hivyo sijasikia mgao wa umeme. #AsanteJPM
393
117
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Maisha bwana. Kina Elon Musk wako wanarusha vyombo kwenda sayari za mbali wewe umekaa hapo unajifanya mwanamke Twitter upate followers. 🤦🏾‍♂️
277
162
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Wadogo zangu, kama kuna mtu ulikaa naye kwenye mahusiano ya kimapenzi kisha ukamuacha bila sababu na sasa unajaribu kuoa/kuolewa na mtu mwingine, rudi kwanza muombe msamaha yeye na Mungu wako na eleza sababu za maamuzi yako. Machozi ya haki ya binadamu mwenzako kwako ni laana.
240
221
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kazi kazi. Hakuna namna nyingine.
Tweet media one
164
108
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kikao cha majadiliano ya kwenda shule bila kulia imebidi nijipange kweli na kimezaa matunda. 😃
Tweet media one
120
70
3K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Kandamiza LIKE kama unamfahamu ni nani na amefanya nini.
Tweet media one
32
63
3K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
It’ll Be Okay
83
193
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Usicheze na Mungu. Usimjaribu Mungu. Usifanye mzaha na Mungu.
102
194
3K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁👏🏾👏🏾👏🏾
Tweet media one
41
44
3K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Tweet media one
55
80
3K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
🤔
Tweet media one
260
94
3K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Kama vyombo vyetu vya habari vya kizazi kipya vingekuwa na watu wanaofikiria vizuri visingemchukua Anna video hasa kile kipande analia kuhusu kufiwa na familia yake yote. Sometimes tuwaache watu waomboleze tu jamani bila kutaka views za video.
352
201
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Hakuna kitu kinauma kama kuwa removed kwenye group ya WhatsApp ukiwa uko katikati una type kitu kuwatumia wana group.
310
110
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Wawakilishi wa wapwa wakitambulishwa mbele ya mabloo.
Tweet media one
248
107
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
HERI YA MWEZI MPYA WA JUNI KWAKO WEWE UNAYESOMA HII. MUNGU AKAKUIMARISHE, AKUTUNZE, KUKULINDA NA KUKUFANIKISHA.
212
121
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Waingereza wana tumsemo twao wanasema “ALL OR NOTHING” na Wamarekani wana kao kanasema “GO BIG OR GO HOME” na Waitaliano wana ka kwao wanasema “FINO ALLA FINE” na Waarusha wana yao wanasema “PAMBANA YA HELA YOTE” na Mheshimiwa JPM ana yake inasema “HAPA KAZI TU”.
Tweet media one
Tweet media two
200
200
3K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
TUMIA PESA ZAKO VIZURI, KUMBUKA UNAVYOKUWAGA KAMA MGONJWA WAKATI HUNA. 😃
159
231
3K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Landed salama na Msukuma wangu was there to welcome me home. Asante kwa watu wangu wa nguvu kabisa MC Luvanda & Lilian.
29
168
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Pipooooooo! Nahitaji kuongeza idadi ya watu ninaowafolo. Kama unatwiti mambo mazuri na sio bot/parody naomba retweet/like ile nikufolo.
168
668
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Chuga mna utamaduni wenu mnaujua nyie wenyewe tu mwanawane 😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Tweet media one
218
198
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Neno/maneno gani ukiona mtu ameanza nayo kwenye maongezi unajua anataka kukupiga mzinga?
550
61
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kipepa cha Form Six mwezi ujao tarehe 29. Nina watoto wa sista walikuwa wanacheza gemu tu wakidhani kipepa kitasogezwa hadi mwakani. Yani saa hii ni mtaftano😂😂
216
62
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!! Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa. NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU. Hili nalo litapita🙏🏿 TUOMBEENI NASI TUNAOMBA. MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
713
229
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Pombe zinawaletea shida kubwa sana kwenye maisha. Achaneni nazo.
679
102
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Yani ukimponda Samatta now unaweza kupigwa ukasahau na jina lako ni nani. 😃 Limwamba limekandamiza historia. #Hainakufeli
70
108
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Happy Birthday to me. Moyo wangu umejawa na shukrani. +1. Mwanawane tumeseji tu hatutoshi, fanyeni miamala pia kwa 0756 444 000 M-Pesa.
Tweet media one
220
70
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Vijana wanakatisha tamaa na kukebehi vijana wenzao kwenye kuchukua fomu kuomba kugombea nafasi za uongozi, halafu baadaye vijana hao hao wanalalamika hawana uwakilishi kwenye kufanya maamuzi. Inasikitisha.
249
113
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 months
Before and After. Shamba tour! Andaa nauli twende. Tunaenda Ijumaa tunarudi J3. Nicheki 0756 444 000
Tweet media one
Tweet media two
88
142
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Umeona sasa, kumbe unaweza kukaa masaa bila kutumia WhatsApp, Insta na FB na ukawa sawa tu.
264
81
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Ukipata mwenye moyo mwaminifu umepata kitu chema. Happy birthday wife.
Tweet media one
Tweet media two
132
52
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Achaneni na pombe. Pombe zimekuwa chanzo cha mateso kwa vijana wengi sana.
397
113
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Mungu ametutoa mbali sana. Tunajitahidi kuiishi Tanzania ya viwanda kwa vitendo kama hivi mwanawane. Naiacha hapa kwa namna moja au nyingine inaweza kukupa hamasa katika kazi zako na wewe.
275
295
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
DRINK WATER
205
56
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kabla hujamuomba Mungu vitu zaidi, mpe kwanza shukrani kwa ambavyo tayari amekujalia.
56
135
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Leo tunalalamika kuhusu nini?
437
43
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Watu wasioposti wala kuview status za WhatsApp huwa wanajiona wameyapatia sana maisha. 😃
193
92
2K
@mkandamizaji
Masanja
10 months
Tweet media one
41
32
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
GOD FIRST. ALL DAY. EVERYDAY.
18
102
2K
@mkandamizaji
Masanja
1 month
Tweet media one
71
33
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Kufa ni faida, na kuishi ni Kristo. Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Tweet media one
109
152
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Throwback.
Tweet media one
247
51
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Unaweza kuwa na elimu ya chuo kikuu na bado ukawa mjinga. Samahani lakini.
510
137
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Ndugu @kigogo2014 habari za leo?
164
68
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Earlier today 😀
Tweet media one
84
48
2K
@mkandamizaji
Masanja
1 year
Nacheka lakini naogopa mwanawane 😂😂😂😂 sasa itakuwaje? Wataishije 😄
Tweet media one
155
38
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
HESHIMA 🙌🏿
Tweet media one
41
55
2K
@mkandamizaji
Masanja
10 months
Miaka 8! #Anniversary Nikinywa maji nakuona kwenye glass. Mungu azidi kutuweka 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tweet media one
93
48
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Wadogo zangu, tafuta mtu ambaye atabadili status ya maisha yako na wewe utabadili yake. Sio tu mtu ambaye atabadili status zako za WhatsApp na Facebook.
190
210
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Bongo Zozo ni Mbongo kuliko Wabongo. 😃✊🏾🇹🇿
72
84
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Hivi wewe unayeandika “ss” badala ya “sasa” au “2o8” badala ya “tuonane” kwenye meseji, huo muda unaookoa huwa unautumia kuingiza shilingi ngapi?
167
132
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
“Nilianza na mtaji wa elfu 7”
Tweet media one
207
70
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Joti mjinga sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
157
175
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
HIYO CHANGAMOTO UNAYOPITIA SASA ITAPITA NA MAMBO YAKO YATAKUWA SAWA. OMBA. AMINI.
120
152
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Hata dhoruba ipigapo, imani yetu ni thabiti kwako ee Mungu, Wewe utoaye na kuchukua. Pumzika pema kaka.
Tweet media one
96
66
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
LUCAS MHUVILE (JOTI) IS A COMIC GENIUS.
61
46
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Ungepewa TZS 10,000 sasa hivi ungeifanyia kazi gani? Jibu bora zaidi litapokea hilo liteni fasta.
974
59
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Mali 🙏🏾
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
184
68
2K
@mkandamizaji
Masanja
8 months
Picha la kutisha 😁😁😁😁😁😁
Tweet media one
25
49
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Dear Lord, please mbariki huyu anayesoma hapa usiku huu. Anayo mengi ambayo anahitaji umsimamie na kumfanikisha.
132
157
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Sema utakachosema lakini demokrasia ndani ya CCM ni kubwa sana. 🙌🏾🙌🏾
584
81
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Pombe inakuzeesha.
401
83
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Hivi mwanawane ninyi wenzangu mnafanyaje na watoto wenu! Mimi wangu kila nikimnawisha mikono sababu ya haya mambo ya Corona yeye anaenda kukaa mezani anasubiri chakula. 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
184
82
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Tweet media one
418
40
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Samatta kabandikwa hadi mitaani Ubelgiji kwa ubora wake. #HainaKufeli 📸 @nsamila
Tweet media one
105
116
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
“napiga hela za kutosha tu ni hivyo tu”.
Tweet media one
155
66
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Kitu gani umejifunza kutokana na hili janga la #coronavirus ?
613
58
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
UKIPATA CHOCHOTE MWISHO WA MWEZI HUU WATUMIE WAZAZI WAKO KITU KIDOGO.
43
95
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Happy Birthday Mzee JK.
Tweet media one
35
66
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Aston Villa itakuwa wanasubiri kitambulisho cha NIDA cha Samatta wamuhakiki kwa alama za vidole. 😃
107
93
2K
@mkandamizaji
Masanja
3 years
Chuma JPM alikuwa anazunguka ndani ya nchi, nje anatuma watu, wakasema anaua mahusiano, asafiri kwenda nje, afanye balansi. Mama Samia kasafiri nje ya nchi wanasema anapoteza hela hawaoni faida. Watu weusi tunahitaji uponyaji wa akili zetu. Hatujui nini tunataka.
412
102
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Kama wewe ni daktari wa binadamu na unasoma hii nataka kukwambia nina heshima kubwa sana kwako kwa kazi na huduma unayowapa binadamu wengine. Nazidi kukuombea upate maslahi mazuri zaidi kwa kazi yako, baraka ya Mungu kwa kujitoa kwako na heshima stahiki toka kwetu wanajamii.
125
163
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
Retweet kama bado sijakufolo na ungependa nikufolo.
19
1K
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Acha tabia ya kuchukua mtoto wa mtu na kwenda naye kwako/popote kienyeji na kulala usingizi tena kwa amani kabisa. Kipi kitatokea kama akianguka hapo ulipo naye sasa hivi? Kwao wanakujua? Una mawasiliano yao? Au utakimbia? Acha kufanya mambo kienyeji. Umekua sasa. Eleweka.
226
140
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Nyie 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Tweet media one
50
66
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Ee Mungu, mtazame huyu anayesoma ujumbe huu wakati huu. Pengine hajawa na muda wa kukuomba & kukushukuru tangu siku hii imeanza, pengine amekata tamaa. Baba ukamlinde mwanao huyu, mpe tumaini, simamia kuhangaika kwake, bariki njia zake, akaishi katika imani kwamba Wewe ni muweza.
215
167
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa milele yote.
85
84
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Naomba pendekeza accounts zenye tweets nzuri za kufolo. Nataka kufolo accounts nyingi zaidi.
479
65
2K
@mkandamizaji
Masanja
2 years
GOD FIRST. ALL DAY. EVERYDAY.
192
58
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Joti ni genius. 🙌🏾
66
42
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Imajini Dotto kutrendi tu mtu roho inamuuma. Jasti imajini. 🤦🏾‍♂️
164
109
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Naomba usini-tag au kuni-mention kwenye negative news. Dunia imejaa mambo negative sasa hivi, jaribu ku-tag watu kwenye mambo positive.
182
85
2K
@mkandamizaji
Masanja
1 year
Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa Bahati na ndicho wanachotembelea Yanga kwa sasa.
349
97
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Tunahitaji akaunti moja ya Twitter ambayo itakuwa inatupa kama kasamari hivi cha nini kinaendelea Twitter kila baada ya nusu saa. Mambo yamekuwa mengi sana.
113
64
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Hujatengwa na mtu yeyote, wanasubiria tu ufanikiwe wakuzunguke pande zote. 😃
79
204
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Shukuru na omba kabla ya kulala. Mueleze Mungu malengo yako, wasiwasi wako na furaha yako. Mueleze namna gani unashukuru kwa siku hii na kiasi gani unahitaji akuvushe usiku huu na kukuongoza wakati wote. Anasikiliza. Anatenda.
42
150
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Naomba definition ya mpwa (kwa maana ya Twitter).
231
30
2K
@mkandamizaji
Masanja
5 years
Kwa akiba ya fedha uliyo nayo sasa hivi ni kitu gani cha gharama kubwa zaidi unaweza kununua?
498
60
2K
@mkandamizaji
Masanja
4 years
Baada ya ___ nikapitia Shoppers na mwanangu wa kitambo Tabata Musa🙏🏿
Tweet media one
104
35
2K
@mkandamizaji
Masanja
9 months
Maombi wakati mwingine huwa yanachukua muda kuleta majibu mwanawane. Kama wewe toka umeanza kuomba upate uteuzi hadi leo ni muda gani na bado unaendelea kusubiri. Unaomba halafu unasubiri. Maisha ni imani 😃
@SuphianJuma
Suphian Juma Nkuwi
9 months
Hivi Masanja @mkandamizaji kidini inaruhuiswa Mchungaji kuvuta hewa ya bia ya @rollymsouth ? Halafu maombi yako unayo-post humu ya vijana kuacha pombe yamemshindwaje Madenge? 🤣 🏃‍♂️
Tweet media one
96
14
402
410
111
2K
@mkandamizaji
Masanja
6 years
Nahitaji kuongeza idadi ya watu ninaowafolo. Naomba uritwiti/like hii tweet kama bado sijakufolo ili niweze kukufolo.
110
774
2K