
WHYMYCATISSAD
@INFLUENCERjr
Followers
306K
Following
499K
Media
17K
Statuses
300K
Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Kila mtu anachotaka ni kujiondoa kwenye duara la umasikini, tupeane support, tuvumiliane, tupeane connection, tuombeane na tupendane. 2025 ukawe mwaka wa mafanikio kwetu sote.
46
121
685
Mtu ana frame Sinza na kazi ni kuweka “movies” kwenye flash tu mmmh
1
2
12
Unawajua Mnolile mambi yao? Wakati tunajua Shigongi anapiga kibunda kuprint mabeli baada ya kampeni alienda kudai mchuzi aokote akaambiwa apige Mawola mpunga haupo 😂
2
1
4
Watoto wa siku hizi wamerahisishiwa mambo kinoma, Ni suala la MZAZI/MLEZI kutia wepesi na kuongeza nguvu katika urahisi huo. Tuanze na hawa wa DAR,DODOMA & ARUSHA sasa, Mafunzo ya Dijito yanawasubiri mara baada ya kuhitimu STD7 0745000555 #Grade7CodingAdventure
@KodeUniKids
1
16
25
Wakuu BedSofa nazo zinapatikana kwa wingi, ubora mkubwa na bei ya kitanzania nipe kazi 🙏🏼 📍Tunapatikana Ubungo Kibo WhatsApp/Calls 067 898 0885 Tunafanya delivery na mikoani tunatuma (kwa gharama ya mteja) ✅
1
14
22
Kitchen Cabinet milango 3 unatumia jiko la plate. Bei: 200k 📍Tunapatikana Ubungo Kibo WhatsApp/Calls 067 898 0885 Tunafanya delivery na mikoani tunatuma (kwa gharama ya mteja) ✅
0
50
65
Kitchen cabinet ya kisasa kabisa yenye sehemu ya kabati, wahi tuwahi 🙌 Bei: 420k 📍Tunapatikana Ubungo Kibo WhatsApp/Calls 067 898 0885 Tunafanya delivery na mikoani tunatuma (kwa gharama ya mteja) ✅
0
14
18
Webinar Series 📢 Kuelekea Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai, tunashirikiana na @SemaTanzania na @JoinTAHMEF kuwaletea mjadala maalum kuhusu: “Kubadili Mtazamo Kuhusu Kujitoa Uhai: Kuwezesha Sauti za Vijana kwa Matumaini na Ustahimilivu.”
2
19
23
Huenda Miaka inavyosonga mbele ndivyo itakuwa ngumu kwa kijana anayetoka familia masikini kutimiza ndoto zake, iwe ni kupitia Elimu, ujasiliamali au njia zingine. Aina ya familia unayotoka kitazidi kuwa kigezo muhimu cha mafanikio.
0
10
14
Leo tunasherehekea mwaka mmoja wa kionjo pendwa cha HUJAMBO. Asanteni sana kwa SAPOTI yenu🙌❤️
5
4
33
Jiunge na @HakiRasilimali kujadili haki na uwajibikaji kwenye sekta ya madini! 🗓️ 12 Sept 2025 🕕 6:00 PM – 8:00 PM Mada: Kutoka Migodini hadi Sokoni: Haki na Haki za Binadamu katika Uvunaji wa Rasilimali kwa Uwajibikaji. #HojaYakoMezani
#ResponsibleMining
1
17
17
Mwanamke akikupenda anakuja na nauli yake na kuondoka na nauli yake na unakimpa nauli ni ugomvi “ina maana una ninunua?” Ila usipopendwa utatuma nauli na bado utaambiwa haitoshi.
If a man wants to see me,I expect him to facilitate transportation and put effort into making sure I'm comfortable. The modern man has been emasculated so much so that mna argue mambo ya fare. Masculinity is about dominance &control. Men used to be men,but what do I know
2
0
26
Kama mimi ndo ningekuwa Slot ningeweka sheria tu kwamba ambaye anawahi kufika ndo anaanza siku ya game😁😁
🚨 Hugo Ekitike: “When you play for the best teams, you inevitably expect to be competing with the best players and Isak is among them”. “Seeing him arrive is a pleasure. It's going to be tough competition, but I'm going to work hard to be good and perform at my best”.
2
1
50
Kuna vitu ili uvipate sio lazima mwenzako avikose. Mnaweza kupata wote. Lakini kuna vitu ili wewe upate lazima mwingine akose. Wanaita Zero-sum. Vitu vya kundi hili la pili ndio chanzo cha ugomvi na fitina. Hapa huwa hakuna urafiki wala udugu.
2
6
22
Nauli zilipanda baada ya mafuta kupanda bei wamiliki wa vyombo vya moto wakalalamika “gharama za uendeshaji” zimeongezeka. Kwasasa kuna vyombo vingi vinatumia nishati mbadala kama gas na umeme lakini na wao nauli zao ni sawa na ambao wanatumia mafuta 🤔 Au nawaza ujinga??
7
6
113
Jezi za 🚨SIMBA RED 🚨na nyingine zote tunazo.....0714336827 👉Tunatuma Mikoa yote
12
66
181
Mtoto wako akimaliza Darasa la 7, mpe nafasi ya kujifunza ujuzi wa kidigitali utakaomfungulia milango ya kesho. 🚀 Kupitia @KodeUniKids Bootcamp, atajifunza kuunda Apps 📱, Websites 💻, Games 🎮 na Katuni 🎬 ndani ya siku 15 tu! 📍 Dar es Salaam | Arusha | Dodoma 🗓️ Sept 22 –
3
11
13