Adventure_36 Profile Banner
Adventure-360 Profile
Adventure-360

@Adventure_36

Followers
180K
Following
2M
Media
15K
Statuses
668K

Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Adventure_36
Adventure-360
2 months
System inataka uwe na cheti, Soko linataka uwe na ujuzi, Familia inataka uajiriwe, Alafu wewe mwenyewe unatamani kujiajiri. Ukizingatia na umesoma na hauna ajira
31
80
544
@Adventure_36
Adventure-360
1 hour
Viongozi mbalimbali tayari yamewasili ndani ya Mpanda kumsikiliza Dkt Samia Suluhu Hassan
0
1
5
@Adventure_36
Adventure-360
1 hour
Wakazi wa Mpanda wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 18,2025
0
0
1
@Adventure_36
Adventure-360
1 hour
Picha na matukio kutoka Mpanda
0
0
0
@Adventure_36
Adventure-360
2 hours
Hawa Wanajeshi wanaolinda mwili wa Odinga apo uwanjani mpk kufika jioni watakuwa wako hoi sana
0
1
15
@Adventure_36
Adventure-360
2 hours
Katavi
0
0
0
@Adventure_36
Adventure-360
2 hours
Leo Mgombea urais kupitia CCM Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan ataendelea na kampeni zake ndani ya Katavi https://t.co/568f1xm5d0
0
3
4
@Adventure_36
Adventure-360
3 hours
Hadi mimi naruhusiwa kujibu? Inshort msalimie sana mzee wetu Mzee Mbinda apo
@fadhilikangusi
Fadhili Kangusi
3 hours
Hapa ni wapi?
1
1
11
@Adventure_36
Adventure-360
2 hours
Sasa zamu ya Katavi https://t.co/ndRRhLRrkI
0
0
0
@Adventure_36
Adventure-360
3 hours
Hadi mimi naruhusiwa kujibu? Inshort msalimie sana mzee wetu Mzee Mbinda apo
@fadhilikangusi
Fadhili Kangusi
3 hours
Hapa ni wapi?
1
1
11
@MarekaMalili
Lubasha Jr
3 hours
Kupitia ushirikiano wa China Agricultural University (CAU) na SUA, mradi wa “Small Technology, Big Harvest”umeongeza mavuno ya mahindi Morogoro hadi mara 3️⃣ zaidi. Hii imeboresha kipato na usalama wa chakula vijijini. Follow @ChineseEmbTZ & @ChenMingjian_CN kujua fursa zaidi
0
16
28
@Adventure_36
Adventure-360
3 hours
Hiyo Frame ya kwanza linaonekana jengo la mzalendo. Huyo nyumba yenye alama ya V Kuna wanachuo wamepanga wa TUMAINI. Mmoja wapo ni .......anyway ngoja niishie hapohapo Frame ya pili hizo nyumba nyeupe ni za....
@fadhilikangusi
Fadhili Kangusi
3 hours
Hapo ni katikati, huku ni Kihesa.
1
1
8
@Mwaki28
Mwaki
3 hours
Kupitia ushirikiano wa China Agricultural University (CAU) na SUA, Mradi wa “Small technology, big harvets” umewasaidia wakulima wa Morogoro kuongeza mavuno hadi mara 3 zaidi ya awali katika zao la mahindi. Hii imeongeza kipato na usalama wa chakula kwa wananchi vijijini. Kujua
4
16
18
@MissChelsea1221
Miss Chelsea1221
3 hours
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei 27,000/= https://t.co/AV51Xv9yTT Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
18
109
115
@Adventure_36
Adventure-360
4 hours
Mwanaume ilibid apunguze gharama kwasababu kulikuwa na kaz ya kusafirisha ndugu wa mke na mume kuwaleta Kahama ambapo ndo ndoa inafanyika huko. Shera gharama yake ilikuwa milion 3 ya kushona kabisa jamaa akaamua kuchukua ya kukodi kwa Milion 1 yule mwanamke hakulipenda
@Adventure_36
Adventure-360
4 hours
Hii ni story ya kweli, jamaa ameishi na huyo mchumba wake miaka 2 na wana mtoto kabisa. Siku ya kubariki ndoa yao shera alilolitaka bibi harusi halikupatikana mwanamke akabadili gia angani. Aisee haya mambo haya
4
3
9

6
43
@Adventure_36
Adventure-360
3 hours
Aslay- HAUNA Humo ndani Aslay ameimba sana. 2016-2018 Aslay alikuwa hashikiki
2
3
15
@Adventure_36
Adventure-360
20 hours
Kuna ISAMILO EXPRESS inatoka Magufuli Bus Terminal saa 16:00 jioni kwenda Mwanza. Tena chuma VIP nayo ni gari nzuri sana unaweza kupanda. Haina mambo mengi
1
8
96
@Adventure_36
Adventure-360
4 hours
Mwanaume ilibid apunguze gharama kwasababu kulikuwa na kaz ya kusafirisha ndugu wa mke na mume kuwaleta Kahama ambapo ndo ndoa inafanyika huko. Shera gharama yake ilikuwa milion 3 ya kushona kabisa jamaa akaamua kuchukua ya kukodi kwa Milion 1 yule mwanamke hakulipenda
@Adventure_36
Adventure-360
4 hours
Hii ni story ya kweli, jamaa ameishi na huyo mchumba wake miaka 2 na wana mtoto kabisa. Siku ya kubariki ndoa yao shera alilolitaka bibi harusi halikupatikana mwanamke akabadili gia angani. Aisee haya mambo haya
4
3
9
@Adventure_36
Adventure-360
4 hours
Apostle Joshua Selman 🙏
0
1
2
@Zephania_Ndaki
Zed🇹🇿
4 hours
Dunia Fanya Yote, Lakini Usimdharau Binadamu Mwenzio Anae Pumua.... Kesho Ya Mtu Ni Bora Kuliko Ya Leo. Mungu Hapangiwi Anampa Amtakae Kwa Wakati Sahihi...🤲 Usijihisi Mnyonge Ukaona Kama Dunia Imekuacha, Kikubwa Usiache Kumuomba Mungu🤲 Kesho Yako Inakuja🙏🏿
8
16
30