Madeeseneda Profile Banner
Madee Profile
Madee

@Madeeseneda

Followers
241K
Following
253
Media
2K
Statuses
18K

Musician & C.E.O Manzese Music (MMB)

Manzese, Dar es salaam
Joined August 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Madeeseneda
Madee
11 days
Msimu huu tunabeba makombe Matatu!!. #Coyg
Tweet media one
48
14
359
@Madeeseneda
Madee
26 days
Refaaa usimalize mpira bado tatuuuuuuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
3
6
331
@Madeeseneda
Madee
1 month
Kama Madrid yenyewe ndio itakua hii msimu ujao ๐Ÿ˜‚ Barca atakua anajipigia sana๐Ÿ˜‚.
2
9
328
@Madeeseneda
Madee
1 month
Siku hizi hatusikii tena kelele za Ronaldo na Mesi. Tunamsikia Ronaldo Tu๐Ÿ˜‚.
92
86
2K
@Madeeseneda
Madee
2 months
Refaaaaaaa maliza mpiraaaa tunakaa mbali wengine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
7
7
273
@Madeeseneda
Madee
2 months
Nyumbu apasuke tu!!.
2
0
52
@Madeeseneda
Madee
2 months
Home of football !!
Tweet media one
19
21
1K
@Madeeseneda
Madee
2 months
Eatadi Olympic !!!
Tweet media one
0
0
23
@Madeeseneda
Madee
2 months
RT @SwahiliKid22: Basi nyinyi watoto someni. ! .Ya akina wema, kadinda komeni. ! .Kesho mufike kule bungeni. ! .Msiendekeze ya mabrazโ€ฆ.
0
3
0
@Madeeseneda
Madee
2 months
Raspado.
0
0
3
@Madeeseneda
Madee
2 months
Ukija kwa papara kwenye kuangalia hii game ya nyumbu. unaweza kudhania ni Barcelona leo ,Kumbe Viande tu wa EPL ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
43
18
588
@Madeeseneda
Madee
3 months
Sasa hawa sindio wametoka kufiwa na PAPA. tutapiga kama wezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
29
21
1K
@Madeeseneda
Madee
3 months
Barca wamoto sana. ila Fainal tunawafunga!
Tweet media one
38
5
670
@Madeeseneda
Madee
3 months
Nilisikia wazee wa Mapigo na mwendo waliahidiwa fedha kama wangeshinda au hata wangedraw. plzzz aliewaahidi naomba awape tu. !๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. #HAWAJAFUNGWA !!.
9
18
499
@Madeeseneda
Madee
3 months
Dar Done. Next Dom !! Leo leo
Tweet media one
3
4
162
@Madeeseneda
Madee
3 months
Nimetoka kumchapa mwanangu kwakuongea lugha isiofaa,kalia sana๐Ÿ˜‚baada yamuda naskia anacheza na wenzie na anataja ndugu anaowapenda. kaanza na Baba then ndugu wengine. Dah et nimejiskia vibaya kwanini nimemchapa๐Ÿ˜ญ.Watoto hawana vinyongo siombaya muda mwengine kuiga ya watoto
Tweet media one
83
42
1K
@Madeeseneda
Madee
3 months
Haya wafunue uwanja wao sasa wanasikia joto๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
40
54
2K
@Madeeseneda
Madee
3 months
Wote wameingia leo bado Perezi tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
5
1
188
@Madeeseneda
Madee
3 months
Nyumbu anafilimbwa!! huko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
9
3
135
@Madeeseneda
Madee
3 months
Tumemaliza Pakti. tumemtuma Boda lamwisho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
8
10
396