
Martin Maranja Masese
@IAMartin_
Followers
599K
Following
29K
Media
17K
Statuses
150K
MMM | Public Spirited | Sperm That Won The Race | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo Sum | Hasta la Victoria Siempre | Patria o Muerte, Venceremos |
Tanzania
Joined March 2010
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
330
1K
5K
Kama gazeti la MWANANCHI halipo huru kuandika habari zake ni chombo gani cha habari kitakuwa huru? Alhamisi, Septemba 11, 2025 kwa mara ya kwanza gazeti la MWANACHI lilichapisha matoleo mawili tofauti ya gazeti la MWANANCHI. Toleo moja likafutwa haraka. Gazeti la kwanza la
23
100
502
Turn old photos into fun videos and see your memories come to life. Try Grok Imagine.
2
2
44
Tundu Antiphas Mughwai Lissu. Waswahili wanasema, ukitaka kuujua urefu wa mnara, kaa nao mbali. Ukiwa karibu na mnara, unaona ni machuma tu yamesimama. Huwezi kuelewa urefu wake kama ukiwa karibu yake, kaa kwa mbali, utaona.. Pengine kwa kuwa huyu Tundu A.M Lissu tupo nae
65
346
2K
POLISI Morogoro wanamshikilia Bi. Lucy Shayo, kituo cha polisi kati (central) kwa tuhuma za makosa ya mtandao (cyber crime), kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo mitandaoni. Lucy Shayo amewaeleza hawezi kutoa maelezo bila uwepo wa wakili wake. Wakili Emmanuel Chengula
15
194
1K
WIZARA ya MAJI na DAWASA kutoa maji kwa wiki mara mbili imekuwa utaratibu rasmi? Kwamba mkitoa maji mara mbili kwa wiki siku nyingine tukaoge baharini? Maji hayatoki lakini bili zinatoka. Ni wapumbavu tu wanaweza kuchagua Serikali iliyoshindwa kuwapa wananchi wake huduma ya maji.
20
75
663
Mahakama Kuu ya Tanzania - Masjala Ndogo ya Dar es Salaam inaposikilizwa kesi ya uhaini wa uongo, Jamhuri Vs. Tundu Lissu kuna darasa kubwa la sheria linatolewa na SC Tundu A.M Lissu. Kuna wanafunzi zaidi ya 40 kutoka shule ya sheria wanahudhuria kesi hii, nafikiri wanaondoka na
14
150
907
Mimi kama shabiki kindakindaki @YoungAfricansSC, ile YANGA ASILI, nasemajeeeeeee, wanangu wa @SimbaSCTanzania wote peponiiii. Ninyi ni familia. Mmeuchubua kiroho safi. Mmetuma salamu. Wiki ya MWANANCHI itakuwa Ijumaa. GIRISHONI atapewa kipaza. Tunawategemea wananchi, LIPENI hii.
65
231
2K
“Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga anasema kwa busara tu ndiyo maana tuliletwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa sababu kosa lilifanyika huku (Dar es Salaam). Sasa mimi nasema tafsiri ya masuala ya kisheria haipaswi kuwa tafsiri ya busara. Hii sio Mahakama ya busara ni
19
170
1K
. @CRDBBankPlc nimewapigia simu sana, naongea na roboti tu.. Maintenance fee nakatwa mteja wakati ni upuuzi wenu? Asubuhi nawatimbia hapo ofisini kwenu na manyaraka niwapelekee pumzi ya moto kama TAL. Mtaona rangi zote. Mnieleze mchele wangu mmewahonga mbogamboga ama namna gani.
72
151
1K
MAWAKILI wa SERIKALI walipojaribu kufanya REJOINDER kwenye misumari ya SC Tundu A.M Lissu.
7
44
431
Mteja mwaminifu wa CRDB, Mtikila. @amnsekela nimekusikia unasema huduma za @CRDBBankPlc zimerejea baada ya kukosekana kwa siku tatu baada ya maboresho ya mfumo wa uendeshaji. Lakini bado wateja wenu tunapitia changamoto ya kukosa huduma. Nimejaribu kutumia #simbanking, pesa
57
114
885
“Tusiendelee kusumbuana hapa na haya makaratasi waliyotupatia hawa watu wa Jamhuri na namna ambavyo Mahakama ya ukabidhi (Kisutu) ilivyotuharibia mambo. Mahakama hii itoe amri kwamba hakukuwa na committal na ifute kila kilichopo ili leo mimi nikalale nyumbani kwangu baada ya
10
225
2K
Tundu A.M Lissu anaeleza Mahakama Kuu ya Tanzania kwamba mtuhumiwa akigoma kusaini nyaraka, Mahakama inatakiwa kuandika kwamba amegoma kusaini. TAL hakuweka saini au dole gumba lakini katika nyaraka za Mahakama ya Kisutu hakuna sehemu wameandika alikataa kusaini. TAL anasema
13
138
933
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga anasema Tundu A.M Lissu adhibitiwe kwa namna ambavyo ana challenge maamuzi ya Mahakama Kuu. Kwamba asipodhibitiwa, wanaweza wasimkamate (akimaanisha anawaacha mbali katika kutengeneza hoja zake). Nassoro Katuga anasisitiza wanaweza kuchukua
36
268
1K
Kwa bahati mbaya sana, Jamhuri hawakujua mtu ambaye wanashughulika naye. Tundu A.M Lissu anaieleza Mahakama Kuu kwamba, Katika committal proceedings inaonesha 31.07.25 kulikuwa na shauri hilo la uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Tundu A.M Lissu anasema tarehe hiyo
27
171
1K
Tundu A.M Lissu anaeleza Mahakama Kuu ya Tanzania kwamba, nyaraka ya commital bundle kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu aliyopelekewa gereza la Ukonga ina kurasa 16 tu wakati nyaraka kama hiyo aliyopewa na Mahakama Kuu ina kurasa 101. Mawakili wa Serikali wamepewa commital
16
174
965
Pamoja na kwamba ukumbi wa Mahakama unaingiza watu 60, lakini tumekuta watu tusiowafahamu wamejaza sehemu kubwa ya ukumbi. Watu wanaelezwa nafasi zimejaa, wakae nje. Kumbuka, mawakili pekee ni nusu ya ukumbi, wageni, mabalozi, viongozi, nafasi zimekwisha. Mahakama ijisimamie.
12
109
821
Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60. Wamehamisha main courtroom bila
36
218
1K
Leo kesi ya uhaini, Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu ilikuwa Mahakama Kuu, Masjala ndogo Dar es Salaam kwa ajili ya kusiliza hoja za awali (preliminary hearing – PH). Mahakama ilipokea notice of motion kwa mujibu wa kifungu cha 294(1) na 295 cha (CPA) ambayo imesaini na TAL na
42
239
1K
Kama nyaraka za Mahakama zinachezewa kwa kiwango hicho, katika kesi ya uhaini ambayo hatia yake ni kunyongwa hadi kufa, tena anafanyiwa Tundu A.M Lissu ambaye ni prolific figure, wasiofahamika wanatendwa vipi? Hatupo salama, tuungane pamoja kuirejesha nchi yetu katika misingi.
20
201
1K