George E. Mwaipungu Profile Banner
George E. Mwaipungu Profile
George E. Mwaipungu

@mwaipungu24

Followers
6,337
Following
5,851
Media
9,814
Statuses
29,241

Freedom Fighter's For our Future Nation. "Things could be bitter even worse before they get better!" aerospace consultant's

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
8 months
🔷🔷🔷 Trillion 30 Ziliibiwa katika kipindi Cha 2021/2022 na Serikali ya CCM Tanzania ikiongozwa na SAMIA SULUHU HASSAN ✍️🇹🇿 🔷🔷Mikopo Kila kukicha kumbe mafurushi yanasafirishwa✍️ @SuluhuSamia @MariaSTsehai @IAMartin_ @MartinCharlesM7 @chacha_heche @HEBobiwine @HecheJohn
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
17
24
86
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Fr. Paulo Hassan Padre Katoliki wa kwanza kutoka Mafia akiwa na Mama yake mzazi Bi. Khadija siku ya upadrisho wake! Ni Padri wa Kwanza mzawa wa Kisiwa cha Mafia ambaye amepata upadrisho tarehe 7 Julai 2023. Wazazi wake wote ni waislam kutoka Mafia.✍️
Tweet media one
121
264
3K
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Alafu watu wanang'ang'ania akazikwe Zanzibar Kwa Sababu ya Kuzaliwa huko akina SAMIA na kaka yake✍️
Tweet media one
26
62
1K
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Apewe maua yake huyu kijana popote alipo💐 Sikiliza hizo akili za mwananchi wa kawaida kabisa.
129
286
1K
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
Ndugu zangu wanaharakati wenzangu CCM wameona Mambo yamekuwa Magumu, mjadala wa Bandari ndo mjadala pekee unaenda kumaliza mwezi hauzimiki, Sasa CCM umeamua kwenda kurudisha jeshi la uhaini kazini. @SuluhuSamia @MariaSTsehai
Tweet media one
38
59
1K
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Kamanda Baba Bonny kashawasili Tayari kwa Maandamano kesho 24/01/2024
Tweet media one
11
48
654
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Hiyo picha nimeipata leo posta mpya jengo la benjamini mkapa mtu mmoja amejilusha kutoka katika jengo hilo na kufaliki papo hapo inasemekana alienda kufuatilia mafao ya NSSF ,kama nikweli hii hali sio mzuri kiukweli mtu kafanya kazi anaangaikia mafao yake miezi bila kupata.
Tweet media one
102
92
610
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
Adv. Matata Awasili Mbeya Ndugu Watanzania! Wakili msomi Dickson Matata ambaye ni wakili wa Dkt. Slaa amewasili jioni ili kuungana na Mawakili Kibatara na Mwakilima 🔷Kuwasili kwa Matata mjini Mbeya kunafuatia taarifa zilizo enea jana usiku kuwa Balozi Dr. Slaa kapelekwa Mbeya
Tweet media one
Tweet media two
32
90
605
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Tamaa ya kupata mabilioni ya madawa ya kulevya Mtanzania kawekwa rehani✍️ 🔷Sambaza iwafikie wausika tuokoe Maisha
75
176
577
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Mbwa aliye fungwa munyororo hawezi kumkimbiza mwizi
26
159
556
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
6 months
🔷🔷🔷Mh Mbowe ajenga heshma jimboni kwake. Achangisha zaidi ya 800m kumalizia ujenzi wa Kanisa 😇
Tweet media one
18
24
553
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
✍️✍️BREAKING NEWS 🇹🇿 ✍️✍️WAKILI PETER MADELEKA AMEKAMATWA na POLICE Arusha🖊️🖊️ Hii ni baada ya High Court Arusha kufuta PLEA BARGAIN aliyo ingia na DPP.🖊️🖊️ FREE PETER MADEREKA FREE MDUDE CHADEMA ✍️✍️ TUNATAKA BANDARI ZETU 🖊️ @SuluhuSamia @MariaSTsehai @IAMartin_ @lifeofmshaba
Tweet media one
35
187
549
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
7 months
🔷🔷🔷Dr Slaa akiendelea na maandamano Jijini Dar es Salaam Tanzania✍️🇹🇿
Tweet media one
30
76
536
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Wezi wa kura hawatutegemei hata kidogo maana hata tusipo wachagua watapita tu Kwa wizi✍️
23
180
525
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Wenye Nguvu wamedhitiwa Sasa🤣👇
54
122
525
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷🔥Pambaneni wenyewe maana wote ni wahalifu
54
84
511
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
23 days
🔷🔷🔷HUYU MHESHIMIWA ameongea pointi Sana Lakini husikii Meza za kupongeza ... Problem is our Mind set @SuluhuSamia @MariaSTsehai
28
108
506
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Anasema ukweli Alafu CCM wanataka kuficha✍️
23
159
484
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷BREAKING NEWS 🇹🇿 🔷Jeshi la Police TANZANIA likegoma kuwapeleka Mahakamani watuhumiwa wa kesi ya Mchongo ✍️ 🔷 Taarifa za uhakika zinasema Mkuu wa Police IGP Wambura na DCI Ramadhan Kingai pamoja na Mkuu wa Usalama wa Taifa wamepiga Kambi Mkoani Mbeya Ili kushinikiza kesi
Tweet media one
17
54
484
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
9 months
🔷🔷🔷🔷Yanayojiri TANZANIA na Mwenyekiti kahongwa✍️
108
147
464
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Hili Ni balaaaaaaaa serikali ya CCM sijui inakwama wapi? Tatizo Ni walimu au Nini haswaaaa hii hapana tunatakiwa tuihoji kwanini matokeo Ni mabovu? Kama walimu wapo kwanini wale mishahara ya bure? Hili haliwezekani inatakiwa kuwajibishwa huezi ukazalisha matangopori kiasi hiki
Tweet media one
453
25
458
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
7 months
🔷🔷🔷Hii speech ilikuwa na weight kubwa sana . Yani CCM wenyewe wametulia,,Msigwa alitisha sana ,respect to Mchungaji.✍️
19
143
456
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷MZANZIBARI amlipua SAMIA Suluhu ,,,?!?
25
147
441
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
6 months
🔷🔷🔷MUNGU jaalia hili CHIMBO wasilione TRC*
Tweet media one
52
51
443
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Habari inayotrend huku, huyo kaka kauwa watoto na yeye kajiua baada ya mkewe kuchepuka na kumkanya kwa muda mrefu bila mafanikio... Hata siku ya tukio mama hakuwepo alikuwa marathon🥹
Tweet media one
124
33
436
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Kosa lake liko wapi?🤷🏼‍♂️ Na hivyo ndivyo mtu anapaswa kukamatwa na Polisi kwa kudai MAJI 😬😬😬😲😲🤔
72
113
437
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Tatizo la TANZANIA si Makonda Bali aliye muweka yaani RAIS SAMIA✍️ 🔷MUNISHI
14
99
418
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Waraka wa TEC una hoja za kiuchimi si kisiasa
9
115
412
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Tusikubali wachache wenye tamaa zao watugawe kwa kigezo cha udini✍️ 🔷Bandari ni zetu wote kama watanzania na sio za wakristo wala waislamu! Walipokuwa wanasaini mkataba hawakuwa msikitini au kanisani!!! WAPUUZWE NI WAHUNI.....!!!!✍️
27
147
407
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Waziri mkuu kasim majariwa mnamuona aliko toka? Ila Leo Watanzania tunapiga kelele juu ya Bandari zetu ila hasikii Lolote. Kumbukeni mliko toka msijisahau kwakupata.
Tweet media one
51
28
407
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Hapa kagonga kwenye Mshono✍️ 🔷Mafuta yanatoka Dar Es Salaam TANZANIA ila Zambia wasio na Bandari ni nafuu
16
101
409
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Ndugu zng naomba mnisaidie kupost Mwanangu Rahma amepotea tokea jana alipoenda tarawekh mpaka sasa hajarudi na hajapatikana... Atakaemuona atoe taarifa namba 0774411290...
Tweet media one
96
166
402
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
12 days
🔷🔷🔷Chuma inaelekea singida kuungana na mhe Lissu kwenye mikutano ya hadhara
32
55
404
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
Katoro Geita pipoooooooooooooooooz Maelfu wajitokeza Mbowe aisimamisha Katoro
Tweet media one
20
59
388
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷✌✌Aisee kula chuma hichoooooooooooo✍️
27
132
384
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Tarehe 24/01/2024 Pamoja na usafi watao ufanya JWTZ Bali pia watawajibika kulinda Wananchi na Katiba🇹🇿 "Mtozi Aloys Nyanda"
22
129
375
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Tunajua ni Rais wetu Punguzeni kutaja Jina 🔷Cha kusikitisha hata kassimu Majaliwa amekuwa chawa✍️
26
84
373
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
23 days
🔷🔷🔷Shukrani Padre Kitima kwa ujumbee Huu Uliotukuka!!Tungekuwa na Mapadri Kumi kma Hawa wanaoweza kusema ukweli na kuisema Ccm Bila woga...Hakika Nchi ingekombolewa Haraka Sanaa...
9
125
368
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷🇹🇿Jamani hii video isambazwe na huyo mama yao wakambo apatikane achukuliwe hatua. Inasikitisha sana kwa jinsi hao wtt wa kambo walivyo fanywa. Wakati mtt wake ana meremeta tuuuu.🙈🙆🏾‍♀️🙆🏾‍♀️
104
189
357
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Kipindi ni 9:30pm usiku ila chuma kimefika 6pm, tena na escort ya Mh. Heche.
12
53
355
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
BREAKING NEWS ✍️✍️Naambiwa Mdude CHADEMA na Madenge Wametekwa/wamechukuliwa na Defenda kwenda Central muda huu. Attention to Adv. @⁨Adv. Philip Mwakilima⁩ for this saga. Sijajua wakili mwingine aliepo hapo🖊️🖊️🇹🇿 @SuluhuSamia @IAMartin_ @MariaSTsehai @godbless_lema @Ntobi_
Tweet media one
12
90
345
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
7 months
🔷🔷🔷Mlimtukana huyu alipo enda Dodoma mkasema ni chawa Sasa mmeona, Kitima Hajawahi kubadilika✍️
18
75
335
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
2 years
Usikose kuangalia Mauaji ya Loliondo yaliyofanywa na Serikali na Majeshi ya Ulinzi na Usalama pamoja na kuwajeruhi watu wengi na kuwanyima matibabu ikiwa ni Mpango wa Rais Samia SULUHU HASSAN wa kuondoa Masai na kuwapa wazungu Aridhi. @AbroadTanzania @MariaSTsehai @UNHumanRights
11
97
323
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷 Sukari ya Dharura inatafunwa na Viongozi wa Nchi
24
75
326
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Ni aibu kwako na familia yako ukiwa kama kiongoz au mwanachama kukosa kuhudhuria maandamano ya kesho bila sababu za msingi maana historia itaandikwa tarehe 24/ 01/2024
5
62
324
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Ogopa Mungu na Tehama.
44
107
326
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Tarime vijijini Tunapasha kuelekea maandamano ya tarehe 24/ 01/2024
9
79
318
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
12 days
🔷🔷🔷inasemekana Waziri wa Burkina Faso amefanya ufisadi wa hela ya badgeti ya wizara usika Rais Ibrahim Traoré âme mtoa mbele ya raia wamu adhibu n'a awaeleze alipo peleka hela ya Umma.
92
68
319
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Haya Kumekucha ✍️
Tweet media one
27
66
309
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷 Chadema ni falisafa kama huna falisafa ya Chadema utajitenga mwenyewe ✍️
4
59
305
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷🇹🇿Nani alie waambia Rais Yuko Juu ya Sheria nani, ✍️ 🔷 "Tundu Lisu"
15
105
303
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
9 months
🔷🔷🔷Kenya wanaamka ila TANZANIA ni usingizi wa kipumbavu sana✍️
21
94
295
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
20 days
🔷🔷🔷Wanyama Wana akili kuliko wana-CCM
19
67
299
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
7 months
🔷🔷🔷Unazunguka na V8 40 halafu mita chache karibia na kituo unapanda punda, trekta, mkokoteni, baiskeli, bodaboda ili kuonesha wewe ni mwenzao. Ukisikia *wajinga ndio waliwao* ndio hii✍️ 🔷 CCM wanatuona mafala sana✍️
Tweet media one
90
48
293
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
14 days
🔷🔷🔷🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Sikiliza Kwa makini
13
114
298
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
84
122
294
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Tutasafisha barabara na wao Ili tumalize mapema Ili tuandamane pamoja✍️
11
64
289
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Ukisikia kubadili gea angani ndiyo hivi sasa, mwenye masikio na asikie.✍️
44
91
283
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
8 months
🔷🔷🔷Haya Sasa Kila Makonda ni Jambazi hawawezi muunga mkono✍️
Tweet media one
33
34
285
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷My God ..tumefikia hapa? Huyu Asha Baraka anasemaje? Huu ni Upumbavu wa kiwango cha lami kabisa na CCM must go ..go..go away aisee
94
51
288
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
✍️✍️🇹🇿 Adv. Mwabukusi kaachiwa Police Kwa dhamana Sasa hivi ila Mdude Chadema na Madenge Bado wapo POLICE🖊️🖊️🖊️ @IAMartin_ @MariaSTsehai @Ntobi_ @Liberatus80 @lifeofmshaba @godbless_lema @henrylongino1 @PMadeleka @John_Pambalu @PatricOleSosopi @malisa_gj1 @
Tweet media one
6
60
289
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Kitambaa Cheupe imeungua Moto wadada wengi wamepata madhara sana kwa kuingia kwa moto hivyo tuwaombee dua
112
49
286
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Pamefika pazuri.. Maana nyerere alisema atakae iua ccm atatokea ccm... 🔷🔷Sasa hiyo Mnyiramba Lameck Mwigulu majibu hana maana nae ni sehemu ya wizi huo...
18
113
285
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Tweet media one
12
113
281
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷Toka lini Ngao ya Taifa haina Bibi na Bwana? Nayo imeuzwa kimyakimya kwa Waarabu?✍️ @MariaSTsehai @IAMartin_
Tweet media one
71
50
275
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Kada Kiarabu ni ngazi yaani mtu apande aende juu. 🔷 CCM wanawatumia nyinyi Ili Waende juu✍️
25
74
273
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Watanzania wameanza kustukia mchezo kuwa "NYOTA" zao za kuzaliwa Tanzania 🇹🇿 zinatembelewa na wachache wakiwemo wageni.
5
63
275
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Pesa yetu Chama chetu. Makamanda tujenge Chama chetu kutoka mfukoni. Tueisubili mtu atujengee.
Tweet media one
12
41
267
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷 Maandamano ni muhimu Kwa ajili ya ustawi wa Taifa ✍️ 🔷24/01/2024 tujitokeze Kwa wingi KUANDAMANA🇹🇿 🔷Wakili Mwabukusi
10
84
271
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Anglia Mpina✍️
13
76
267
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Kila mtu ajiandae, Kama huna miguu Jiandae kutikisika mahali ulipo huna Sauti Jiandae hata kugonga meza. @Mwabuk2Boniface wakili Msomi @SuluhuSamia @amnestyusa @amnesty @lifeofmshaba @Liberatus80 @MariaSTsehai @IAMartin_ @USAmbUN @godbless_lema @humanrightstz
13
122
267
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷Mwizi, Jambazi na Fisadi Mkubwa ndiyo anapewa uongozi na kuitwa Mheshimiwa✍️🙏
13
79
257
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Tujifunze kwa hii video. Itazame kwa makini na usikilize. Utaona maisha yetu tunavyo yaharib wenyewe✍️
13
68
261
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
4 months
🔷🔷🔷Katibu mwenezi wa Chadema jimbo la Arusha Mjin Boniphace Kimario akizungumza na watu wa Arusha kwann waandamane. Tukutane Tar 27/02/2024
1
43
261
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷Cardinal yuko makini sana !!✍️
7
75
256
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
Ndoa ya CCM na Lazaro kalist aliyeunga juhudi mkono kipindi Cha JPM na kupewa ukuu wa wilaya,zimefikia tamati usiku wa kuamkia Leo ambapo Rais Samia amemtumbua kalist Lazaro kutoka ukuu wa wilaya ya lushoto na kupewa kada wa CCM kuwa mkuu wa wilaya ya lushoto,.
Tweet media one
13
16
255
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷BREAKING NEWS 🔷🔷 🔷🔷🔷"Huyu mtu pichani anatufuatilia tangu tupo mahakamani Arusha. Ikafika mahali anatufuata mpaka chooni mimi na mwabukusi✍️ 🔷Tukaweka tahadhali ya kumfuatilia bila yeye kujua✍️ Tulipoondoka mahakamani akawa anaongea na simu kuwajulisha wenzake
Tweet media one
13
51
250
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Kaanika madudu ya CCM Tanzania na kurejesha KADI zao hapo hapo✍️ 🔷Kutoka Lushoto
13
77
250
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Huyu Mama ni Sawa na Wanaume 1000 wale wanaojifanya Siasa haiwausu Huyu Mama Peke yake ni sawa Wanaume 1000 wale Ambao wanasema Siasa haiwahusu na Katiba Mpya haina haja kwa Watanzania kwa sasa
8
67
249
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
Hizi ni za kutunza tu, muda mfupi ujao zitakuwa muhimu zaidi @SuluhuSamia @lifeofmshaba @godbless_lema @
Tweet media one
34
38
242
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Rais SAMIA SULUHU anashindana na Bia ya Serengeti kujitangaza Nchi Nchi Nzima.
15
69
243
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Tunaposema tuvae mikanda tunamaanisha kuwa haya ni miongoni tu mwa madhara tunayokukinga🙏
24
66
239
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
Aiseeee watu wa-Kawe Tulivyo tapeliwa na Baba Askofu Gwajima na Bamigham yake✍️
74
57
227
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷Mke wa Kikwete pamoja na pesa yote ya Umma wanayopata Bado wanataka kupewa pesa nyingine kweli⁉️🇹🇿
11
47
227
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 month
🔷🔷🔷"Nitashauri pia na sisi Kanda ya Magharibi Wagombea wetu wafanye Mdahalo naona Nyasa wameamua people's "🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
3
28
229
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷 Chadema vemaa
6
43
225
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷WILAYA ya Mpanda walimtengenezea Jimbo mtoto wa Mizengo Piinda
6
60
223
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
10 months
🔷🔷🔷 BREAKING NEWS 🔷MASHARTI YA DHAMANA: 1. Kila mmoja awe na Wadhamini wawili wenye Anwani kamili 2. Wadhani watoke kwenye Kata ambayo anakaa Mtuhumiwa. 3. Wadhamini walete Barua za Utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kata anayokaa Mtuhumiwa
Tweet media one
Tweet media two
7
34
217
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
5 months
🔷🔷🔷Dr Ananilea(PhD) ameipata University of Bradford. Masters ameipata Cardiff (UK) amekuwa Mwajiri wa serikali (RTD) 🔷Siyo mwanachama wa CHADEMA, ana miaka 65. Jana ameandamana km 30 akiwa na bango " #Tunadai Katiba Mpya" Alafu wewe kijana umelaza kende ghetto unapiga chabo
Tweet media one
9
44
216
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
3 months
🔷🔷🔷MAAGIZO YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA "Rudini kwenye Majimbo yenu kakipangeni Chama kila kitongoji,kila kijiji kila Mtaa" "Kama wewe ni Kiongozi kwenye Ngazi yako ya Uongozi ukafanya Uzembe ukaacha Mkashindwa kuweka Mgombea kutetea wananchi hufai kuwa kiongozi Tutakung'oa"
9
57
221
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Pazito sana wanauza Tanganyika
22
76
217
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
11 months
Jumatano Tarehe 12/07/2023 mahali MESUMA HOTEL Makumbusho. Kitacho ongelewa ni Mkataba wa kutapeli wa DP WORLD @MariaSTsehai @IAMartin_ @Liberatus80 @godbless_lema @lifeofmshaba @
Tweet media one
9
73
215
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 year
Hapa Kuna Neno la kufikirisha mwambie mwenzako ili tu Tafakari kuhusiana na Elimu yetu kama iko kwaajili yetu Au wageni Kuja kutu simamia?
12
175
212
@mwaipungu24
George E. Mwaipungu
1 month
🔷🔷🔷🇹🇿Hii ni tamaa, huku amebana nafasi za watu wengine kwa nafasi ya ubunge, 🔷Huku akaomba Mshahara amepewa, kikokotoo kitalipika? 🔷Tukumbuke Nchi haizalishi, Mikataba ya Miradi ya raslimali za Nchi ni Mibovu, hiyo Fedha inatoka wapi, Au mikopo?
27
63
217