LHRC Profile Banner
LHRC Profile
LHRC

@humanrightstz

Followers
107,914
Following
504
Media
4,389
Statuses
15,907

#Tanzania 's leading Human Rights #Advocacy organization Providing #LegalAid to the marginalized and conduct strategic litigation.

Kijitonyama, Dar es Salaam
Joined September 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@humanrightstz
LHRC
2 months
LHRC is set to launch the Tanzania Human Rights Report for 2023 on April 24th, 2024. From 10:00 am -1:00 pm. Please register through Zoom, click link below ⤵️⤵️. #THRR2023 #RipotiYaHaki2023 #humanrightsreport2023
Tweet media one
2
9
12
@humanrightstz
LHRC
4 years
Kila mmoja wetu akitimiza wajibu wake kama walivyofanya @Roma_Mkatoliki na Stamina mchakato wa mabadiliko chanya utakwenda kwa kasi nzuri. Kupitia sanaa wametoa elimu na mtazamo wao juu ya mapambano dhidi ya #COVID__19 - via @YouTube #ROSTAM #SimamiaHaki
60
138
1K
@humanrightstz
LHRC
4 years
Inakaribia miezi 10 sasa bila ya kukamilika kwa upelelezi wa kesi inayowakabili Tito Magoti na Theodory Giyani. Vijana hawa wanaendelea kusota rumande kwani makosa wanayotuhumiwa nayo hayana dhamana. #JusticeForTitoMagoti #JusticeForTheo
Tweet media one
51
270
1K
@humanrightstz
LHRC
5 years
Tumepokea taarifa za kuhuzunisha kwamba Afisa wetu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Bw. @TitoMagoti ametekwa na watu waliovalia mavazi ya kiraia maeneo ya Mwenge, jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kufuatilia taarifa hizo na tutatoa taarifa zaidi. #BringBackTito
Tweet media one
71
372
1K
@humanrightstz
LHRC
4 years
Watanzania mtusaidie kuliuliza jeshi la polisi @tanpol , hivi @IdrisSultan anashikiliwa kwa makosa gani? Na je makosa hayo hayana dhamana? Jeshi la polisi linapaswa kufuata sheria za nchi katika utendaji wake. #FreeIdrisSultan #UtawalaWaSheria #UhuruWaKujieleza #SimamiaHaki
Tweet media one
96
174
1K
@humanrightstz
LHRC
5 years
Taarifa za awali kuhusu kutekwa kwa @TitoMagoti : Tito alikuwa katika bodaboda akielekea Mwenge kununua simu, alipofika katika kituo cha mafuta cha Puma watu waliokuwa na gari aina ya Harrier walimchukua kwa mabavu kisha kuondoka kwa uelekeo wa Posta, Dar es Salaam. #BringBackTito
Tweet media one
43
209
879
@humanrightstz
LHRC
4 years
#TAMKO : Wito kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( @TCRA_Tz ) kutoa ufafanuzi juu ya hali ya kutokupatikana kwa mitandao ya kijamiii kwa takribani siku nne (4) tangu Oktoba 27, 2020. ~ TCRA ichukue hatua za haraka kwa kuzingatia umuhimu wa mitandao. #HakiNiMaendeleo
Tweet media one
81
181
869
@humanrightstz
LHRC
5 years
Timu yetu pamoja na @THRDCOALITION tumefika kituo cha polisi cha kati (Central) Dar es Salaam mchana huu kuendelea kumtafuta ndugu yetu @TitoMagoti bila mafanikio. Watanzania tuendelee kupaza sauti. #FreeTitoMagoti
Tweet media one
64
179
823
@humanrightstz
LHRC
10 months
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, Chama cha Mawakili Tanganyika, Jukwaa la Katiba Tanzania kwa pamoja tunalaani kukamatwa kwa Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na wakosoaji wa Mkataba wa Bandari nchini ambao ni Dr. Wilbroad
Tweet media one
63
339
802
@humanrightstz
LHRC
3 years
KESI YA KUPINGA TOZO Kesi ya kupinga tozo katika miamala ya simu iliyofunguliwa tarehe 27/7/2021 na LHRC itatajwa kwa mara ya pili leo saa Nne asubuhi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
25
81
758
@humanrightstz
LHRC
3 years
"Katiba Mpya haiwezi kutupa Suluhisho tunatakiwa kuwa na Binadamu wasio kubali kuendeshwa hovyo hovyo pia tuwe na Viongozi wa Taasisi wasiokubali kuyumbishwa" Prof Assad katika Uchambuzi wa Kitabu cha 'Rai ya Jenerali' #KatibaniYetu
Tweet media one
34
111
748
@humanrightstz
LHRC
4 years
"Tukio la Mbunge wa upinzani kupigwa risasi akiwa kazini halikulishtusha @bunge_tz vya kutosha kwani hili lilikuwa ni shambuizi dhidi ya Bunge. Bunge la 11 lilipuuza kitendo hicho cha tishio la usalama wake." - Jenerali Ulimwengu. #UtawalaBora
Tweet media one
12
90
733
@humanrightstz
LHRC
3 years
Tunampongeza Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan kwa kusikiliza maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya simu. LHRC inapendekeza kufutwa kabisa kwa tozo hii, kwani inapunguza hamasa ya watu kufanya biashara pamoja na shughuli nyingine za kifedha
Tweet media one
157
61
696
@humanrightstz
LHRC
4 years
Ufafanuzi juu ya Maoni ya Wadau kuhusu Ujumbe Unaomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika banda la Msaada wa Kisheria la LHRC. #SimamiaHaki
Tweet media one
207
115
671
@humanrightstz
LHRC
3 years
Karibu nyumbani Tito. Tunafuraha isiyokifani kukuona na kujumuika nawe tena. Maneno hayawezi kutosha kueleza furaha hii.☺️
26
123
670
@humanrightstz
LHRC
4 years
Petition · AZIMIO LA KUPINGA KUPITISHWA KWA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3 YA MWAKA 2020 ·
34
125
639
@humanrightstz
LHRC
4 years
Heri ya kuzaliwa kwa Dkt. Helen Kijo-Bisimba. Neno moja kwa mtetezi huyu nguli wa Haki za Binadamu na Mkurugenzi Mtendaji (Mstaafu) wa LHRC. Sisi tunampenda na kumkubali sana❤️
Tweet media one
28
80
631
@humanrightstz
LHRC
2 years
"LHRC denounces the harsh action taken by Mr. Simon Simalenga, the Songwe District Commissioner, when he slapped Ms. Frolencia Mjenda, a local, for sitting on the stage & alleging that she was not authorized to be there." - LHRC Executive Director, Adv. Anna Henga.
Tweet media one
60
143
597
@humanrightstz
LHRC
4 years
#HABARI : Kesi inayowakabili Tito Magoti na Theodory Giyani imeahirishwa tena Mei 27, 2020 hadi Juni 9, 2020. Kesi hiyo ilikuwa itajwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam lakini hakimu anayesimamia kesi hiyo hakuwepo mahakamani. #Justice4Tito #Justice4Theodory
Tweet media one
43
70
582
@humanrightstz
LHRC
4 years
Siku 100 Rumande: Kesi ya Tito na Theo yaahirishwa kwa mara ya nane Kesi ya uhujumu uchumi namba 137 ya mwaka 2019 inayowakabili Tito Magoti na Theogory Giyani imetajwa kwa mara ya nane (8) April 1, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuahirishwa hadi April 15, 2020.
Tweet media one
42
77
578
@humanrightstz
LHRC
4 years
Tamko kuhusu Kushikiliwa kwa Sheikh Issa Ponda >LHRC tunasisitiza kufuatwa kwa utaratibu wa haki za mtuhumiwa kwa mujibu wa Sheria ya Mwendeno wa Makosa ya Jinai, (Sura ya 20) ya mwaka 1985. #UtawalaWaSheria
15
117
565
@humanrightstz
LHRC
3 years
Ni kinyume na ibara ya 18 na ibara 20 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kuweka zuio la haki ya uhuru wa kujieleza na uhuru wa kushirikiana na wengine. Katazo la Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry Muro kwa wananchi wa wilaya hiyo ni kinyume na Katiba ya nchi
Tweet media one
51
124
566
@humanrightstz
LHRC
6 years
Tuwajibike kupinga ubaguzi na udhalilishaji dhidi ya wanawake. #KamusiYaHaki
Tweet media one
94
254
559
@humanrightstz
LHRC
3 years
Tunamshukuru kila mmoja aliyesimama na Tito Magoti na Theodory Giyani wakati wote wakipitia magumu. Tunashukuru wamepata haki yao ya kuendelea kuwa huru. Tuendelee kusimamia haki bila kurudi nyuma. #HakiNiMaendeleo #SimamiaHaki
Tweet media one
11
45
543
@humanrightstz
LHRC
3 years
#BreakingNews : Tito and Theodory freed after one year of detention The two were arrested in Dec 2019 and charged with three economic crimes including money laundering. Their case was postponed 26 times before entering into the plea bargaining on 5th January 2021.
Tweet media one
21
117
537
@humanrightstz
LHRC
4 years
Hatimaye @TitoMagoti na wenzake wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu ikiwemo ya kutengeneza programu ya kompyuta kwa nia ya kufanya uhalifu na kujipatia fedha kiasi Sh milioni 17 kinyume cha Sheria. #JusticeForTitoMagoti
Tweet media one
36
74
487
@humanrightstz
LHRC
5 years
TAMKO KUHUSU KUTEKWA KWA MFANYAKAZI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU, BW. @TitoMagoti
Tweet media one
20
168
488
@humanrightstz
LHRC
3 years
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinalaani kitendo cha Utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)
Tweet media one
26
118
484
@humanrightstz
LHRC
4 years
Taarifa Kutoka Mahakamani Kuhusu Kesi ya Ndugu @TitoMagoti na @TheoGiyan #JusticeForTitoMagoti #JusticeForTheodore
Tweet media one
26
122
485
@humanrightstz
LHRC
4 years
Shinikizo la uchaguzi huru linavyoongezeka nchini via @MwananchiNews
11
51
472
@humanrightstz
LHRC
4 years
Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu Hukumu dhidi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na yaliyojiri baada ya hukumu. #SimamiaHaki #DemokrasiaYetu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
25
104
469
@humanrightstz
LHRC
5 years
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tumefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda Lazaro Mambosasa na Serikali kulitaka Jeshi la Polisi kumfikisha @TitoMagoti na wenzake Mahakamani.
Tweet media one
20
131
470
@humanrightstz
LHRC
4 years
"Bunge la 11 lilivurugwa; kitendo cha mbunge kuhama chama na kuendelea kuwa mbunge ni doa kwa Bunge la 11 kwani ni kinyume na Katiba ambayo inamlazimu mbunge kutokana na chama fulani." - Jenerali Ulimwengu. #UtawalaBora
Tweet media one
10
60
470
@humanrightstz
LHRC
4 years
#HABARI : Kesi ya inayowakabili Tito Magoti na Theodory Giyani imeahirishwa tena leo Agosti 5, 2020 baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kutokufika kujibu hoja za hatua ya upelelezi. Kesi imeendeshwa kwa njia ya video conference na imeahirishwa tena hadi Agosti 19,2020.
Tweet media one
47
78
453
@humanrightstz
LHRC
4 years
TAMKO: Kukemea Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake Wagombea katika Uchaguzi Mkuu. #UtawalaWaSheria #AminiaUsawa
Tweet media one
Tweet media two
6
113
418
@humanrightstz
LHRC
4 years
Kesi ya Tito na Theodory Yaahirishwa tena hadi Aprili 1,2020. Siku 86 rumande na kesi ikitajwa kwa mara ya 7. Mahakama imeamuru mara kadhaa kukamilishwa kwa upelelezi lakini upande wa Jamhuri umeendelea kudai kwamba upelelezi haujakamilika. #JusticeForTitoMagoti #JusticeFotTheo
Tweet media one
Tweet media two
48
69
415
@humanrightstz
LHRC
5 years
Ni siku nyingine, Jumapili siku ya ibada na kujumuika na familia. Sisi wanafamilia, ndugu na jamaa wa @TitoMagoti nyuso zetu zimezorota hatujui wapi alipo mpendwa wetu. @tanpol wanaendelea kuikanyaga haki ya mtuhumiwa ya kupata dhamana na uwakilishi. #FreeTitoMagoti #SimamiaHaki
Tweet media one
37
138
393
@humanrightstz
LHRC
4 years
#TAARIFA Kesi ya Tito na Theodry itatajwa tena Mei 13, baada ya kuahirishwa kwa mara 10. Tito na Theodory wamekaa rumande kwa zaidi ya miezi minne wakisubiri upelezi. Mlipuko wa COVID-19 unatishia usalama wao wa afya hasa kwa kuzingatia msongamano na hali duni ya magereza.
Tweet media one
17
68
399
@humanrightstz
LHRC
4 years
Tete Kafunja alishindwa kuzuia machozi wakati akieleza kisa chake cha kusingiziwa kesi na kukaa gerezani kwa miaka 18 akisubiri kunyongwa. Tete alikamatwa mwaka 1990 na kuachiwa huru mwaka 2008 baada ya kushinda rufaa dhidi ya adhabu ya kifo. #EndDeathPenalty
28
100
375
@humanrightstz
LHRC
5 years
Katika taifa linaloheshimu na kudumisha misingi ya demokrasia, nguvu inayotumika kuzuia wananchi dhidi ya haki yao ya kujumuika na kujieleza ingetumika katika kuwawezesha kufurahia haki hizo. Cc: @tanpol #DemokrasiaItawale
40
82
369
@humanrightstz
LHRC
5 years
UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU MAMLAKA NA MIPAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CONTORLLER AND AUDITOR GENERAL – CAG)
20
116
358
@humanrightstz
LHRC
3 years
KUPINGA SHERIA NA KANUNI ZA TOZO KATIKA MIAMALA YA SIMU Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi kupinga tozo katika miamala ya fedha kwa njia ya simu. Kupata tamko rasmi tembelea
Tweet media one
20
97
358
@humanrightstz
LHRC
4 years
Haki ya #UhuruWaKukusanyika inawapa raia nafasi ya kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za umma ikiwemo shughuli za kisiasa ili kuweza kuhoji na kufanya maamuzi ya kuwawajibisha wawakilishi wao. #HakiNiMaendeleo #SimamiaHaki
Tweet media one
10
50
344
@humanrightstz
LHRC
3 years
@humanrightstz has won the Outstanding Civil Society Coverage in Media Award during this year's CSO Week event that took place in Dodoma from 23rd to 28th October 2021. @CSOWeek @IrlEmbTanzania @FinnishEmbTZ @NorAmbTz @FordFoundation @SwedeninTZ
Tweet media one
Tweet media two
1
29
346
@humanrightstz
LHRC
6 years
Taarifa; Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2017 itazinduliwa kesho Jumatano Aprili 25, katika ukumbi wa mikutano wa Kisenga, jengo la LAPF Kijitonyama Dar es Salaam. Ujumbe mkuu katika Ripoti ya mwaka 2017 ni "Watu Wasiojulikana: Tishio kwa Haki za Binadamu" #HumanRightsReport
Tweet media one
24
117
355
@humanrightstz
LHRC
4 years
Uvunjifu wa Katiba na Umuhimu wa Mabadiliko ya Katiba Kuwa na Mgombea Binafsi #UtawalaWaSheria #SimamiaHaki #KatibaMpya
7
47
349
@humanrightstz
LHRC
5 years
Leo kwa @TitoMagoti , kesho kwako. Chukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa Sheria na Haki za Binadamu. #FreeTitoMagoti #SimamiHaki
Tweet media one
11
121
344
@humanrightstz
LHRC
10 months
STATEMENT ON THE ARREST OF HUMAN RIGHTS DEFENDERS IN TANZANIA. #FreeMwabukusi #FreeSlaa #FreeMdude
Tweet media one
Tweet media two
27
163
342
@humanrightstz
LHRC
6 years
Shambulio dhidi ya Tundu Lissu ni shambulio dhidi ya #HakiYaKuishi , shambulio dhidi ya #UhuruWaKujieleza , shambulio dhidi ya #UhuruWaMaoni , shambulio dhidi ya Utu. Watanzania tuwajibike kulinda na kusimamia misingi ya utu na haki za binadamu.
Tweet media one
10
94
337
@humanrightstz
LHRC
6 years
Hongera Dkt. Helen Kijo-Bisimba kwa kutunukiwa tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio na Mchango Mkubwa katika huduma za kijamii. Shukrani sana kwa Tanzania Women of Achievement Award (TWAA) @TWAorg kwa kutambua mchango wako.
Tweet media one
27
64
333
@humanrightstz
LHRC
6 years
"Mitandao ya Kijamii inazidi kukua kwa sababu ya kuongezeka kwa juhudi za kuminya vyombo vya habari. Hii inafanya watumiaji wa mitandao ya kijamiii kuwa na nguvu ya kuamua ajenda za kitaifa" - Jenerali Ulimwengu. #EditorsRetreat2017 #UhuruWaKujieleza
Tweet media one
12
82
323
@humanrightstz
LHRC
6 years
Masuala kama haya ni aibu na fedheha hasa kwa Jeshi la Polisi. Mtu anaweza vipi kushikiliwa kwa kosa la mtu mwingine? Na huyu mama hawakumuona ni mjamzito? Huyu mama angefia kituo cha polisi ingekuwaje? Ni muda wakuwa na weledi zaidi. Tuepuke aibu hii. Dr. Helen Kijo-Bisimba
Tweet media one
41
79
327
@humanrightstz
LHRC
4 years
Uamuzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kumrudisha Bungeni aliyekuwa Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kupingwa Mahakamani
12
38
305
@humanrightstz
LHRC
4 years
Heri ya kuzaliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Wakili @HengaAnna . Jumuika nasi kumtakia heri na fanaka. #MwanamkeJasiri #AminiaUsawa
Tweet media one
20
22
303
@humanrightstz
LHRC
3 years
Busara za Mbhanga.
Tweet media one
14
32
293
@humanrightstz
LHRC
3 years
TAARIFA KWA UMMA Tumepokea taarifa ya kukamatwa kwa wanasiasa zaidi ya kumi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo mwenyekiti wa chama hicho taifa, Mhe Freeman Aikaeli Mbowe, usiku wa kuamkia tarehe 21 mwezi Julai,2021
Tweet media one
13
74
306
@humanrightstz
LHRC
4 years
Taarifa kwa Umma: Shambulio dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe
Tweet media one
17
49
292
@humanrightstz
LHRC
5 years
@HengaAnna
Anna Henga (Advocate)
5 years
Watanzania wameonesha mwamko mkubwa wa kusimamia haki lakini bado Jeshi la Polisi @tanpol limeendelea kumshikilia @TitoMagoti kinyume cha sheria. Tutachukua hatua zaidi dhidi ya ukiukwaji huu wa Sheria na Haki za Binadamu. #FreeTitoMagoti #SimamiaHaki
31
112
550
1
60
292
@humanrightstz
LHRC
5 years
Tunaamini Mh. @MagufuliJP hakubaliani na ukatili unaofanywa na #Teleza huko Kigoma. Ni vyema kuyatangaza mafanikio yetu lakini ni vyema zaidi kujali na kuchukua hatua madhubuti dhidi ya ukiukwaji wa haki zetu. Tunapongeza kwa hatua ambazo tayari zinachukuliwa dhidi ya teleza.
55
48
290
@humanrightstz
LHRC
3 years
"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha" Jenerali Ulimwengu katika uzinduzi wa kitabu chake cha (Rai ya Jenerali)
Tweet media one
11
45
293
@humanrightstz
LHRC
2 years
Alert: LHRC is following up closely on the incident of arrest of Advocate @PMadeleka We encourage that all proper procedures are taken during his custody to avoid any violation of human rights and miscarriage of justice @uhamiaji @polisi @WizaraMNN
Tweet media one
8
107
291
@humanrightstz
LHRC
4 years
#HABARI Kesi ya Tito Magoti na Theodory Giyani imeahirishwa kwa mara ya 11. Kesi ilikuwa itajwe leo Mei, 13, 2020 lakini hakimu anayesimamia kesi hiyo hakuwepo, hivyo imepangwa kutajwa tena Mei 27, 2020. Hii itakuwa ni mara ya 11 kutajwa tangu Disemba 24, 2019.
Tweet media one
24
44
289
@humanrightstz
LHRC
5 years
Askari wa jeshi la polisi @tanpol wanapokosa weledi na kushindwa kufuata sheria na miongozo katika kutekeleza majukumu yao hupelekea uvunjifu wa haki na amani. Tunakemea vikali matukio ya aina hii na kulikumbusha jeshi la polisi kufuata sheria. #UtawalaWaSheria
39
66
284
@humanrightstz
LHRC
6 years
Tweet media one
10
184
283
@humanrightstz
LHRC
5 years
Baharia ni Rafiki wa Haki, hawezi kuacha haki ipotee 😉 #HakiKiganjani
Tweet media one
12
63
276
@humanrightstz
LHRC
6 years
Watanzania tuzidi kujifunza kupitia matukio kama haya kuwa kila mmoja ana jukumu la kusimama na kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu. Kila mmoja anapaswa kupaza sauti katika kusimamia haki. Tunashukuru @moodewji amepatikana salama.
Tweet media one
3
46
274
@humanrightstz
LHRC
6 years
Vyombo vya Utoaji Haki viheshimu #HakiYaDhamana
Tweet media one
21
73
282
@humanrightstz
LHRC
4 years
#HABARI : Kesi inayowakabili Tito Magoti na Theodory Giyani imetajwa tena leo Juni 9, 2020 na kuahirishwa hadi Juni 23, 2020. Upande wa Jamhuri umeamriwa kuieleza mahakama hatua ulopofikia upelelezi wakati kesi hiyo itakapotajwa tena. #JusticeForTito #JusticeForTheodory
Tweet media one
30
46
269
@humanrightstz
LHRC
3 years
Mahakama Kuu imetupilia mbali mapingamizi ya awali ya Serikali dhidi ya maombi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya kibali cha kufungua shauri la kupinga tozo kwenye miamala ya simu.
Tweet media one
11
47
264
@humanrightstz
LHRC
5 years
UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU MAMLAKA NA MIPAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CONTORLLER AND AUDITOR GENERAL – CAG)
9
77
264
@humanrightstz
LHRC
4 years
CANCELATION OF 'TANZANIA DAIMA' LICENCE IS ANOTHER GESTURE OF INTOLERANCE TO FREE EXPRESSION IN TANZANIA #PressFreedom #FreedomOfExpression
4
55
251
@humanrightstz
LHRC
5 years
Mwaka 2019 viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika kutii na kufuata sheria. #UtawalaWaSheria #RuleOfLaw
Tweet media one
14
62
254
@humanrightstz
LHRC
3 years
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Anna Henga, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya UN Global Compact. Hongera Sana
Tweet media one
18
47
265
@humanrightstz
LHRC
3 years
Tunatoa wito kwa Waziri wa Fedha na Mipango kurekebisha Kanuni za Mfumo wa Malipo ya Serikali za kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu ili kufuta tozo za miamala ya simu.
Tweet media one
19
28
249
@humanrightstz
LHRC
3 years
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu tumefarijika sana na Hotuba iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali wa juu serikalini.
7
42
254
@humanrightstz
LHRC
4 years
Kesi ya Tito na Theodory kutajwa tena Tarehe 5/02/2020 Mawakili wa upande wa utetezi wameomba mahakama kupitia mawakili wa Serikali, waeleze hatua waliyofikia katika upelelezi kwa kuwa awali wawakili hao waliiambia mahakama kwamba upepelelezi ulikuwa katika hatua za mwisho
Tweet media one
Tweet media two
12
49
251
@humanrightstz
LHRC
6 years
Mkurugenzi Mtendaji Bi. Anna Henga ( @HengaAnna ) amekuwa nchini Ubelgiji kikazi. Akiwa huko amemtembelea na kumjulia hali Ndugu Tundu Lissu aliyeko nchini humo kwa matibabu tangu aliposhambuliwa kwa risasi Septemba 2017.
Tweet media one
13
39
237
@humanrightstz
LHRC
6 years
Tunaipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hatua chanya za kimaendeleo za kufufua Shirika la Ndege. Tunaisihi Serikali kuongeza juhudi katika kuleta maendeleo ya kijamii kwa kuboresha huduma za elimu, afya, maji, nishati na makazi.
Tweet media one
25
57
242
@humanrightstz
LHRC
6 years
Kuelekea Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo; Je, unajua kwamba Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ( @MagufuliJP ) anapinga adhabu ya kifo? #ThaminiUtu #HeshimaKwaWote #DignityForAll
Tweet media one
21
52
236
@humanrightstz
LHRC
3 years
Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mhadhiri Mkongwe wa Sheria katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha DSM - Prof. Josaphat L. Kanywanyi. ~ Tunatuma rambirambi kwa familia, Hamidi wa Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha DSM wanataaluma na wanasheria. #RIP 🙏🏿
Tweet media one
7
28
238
@humanrightstz
LHRC
3 years
"Hakuna mahala ninapokatazwa nisizungumzie Katiba naweza kuongea hata kwenye vijiwe vya Kahawa masuala ya Katiba" Jenerali Ulimwengu katika uchambuzi wa kitabu cha 'Rai ya Jenerali' na masuala ya Katiba #katibaniYetu
Tweet media one
5
57
239
@humanrightstz
LHRC
4 years
Juni 26 ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga vitendo vya Utesaji. #Tanzania haijaridhia Mkataba dhidi ya Mateso na Adhabu au Vitendo vingine vya Kikatili, visivyo vya Kibinadamu, vya Kinyama na vyenye Kudhalilisha wa mwaka 1984. Mkataba huu unalinda Haki ya kuwa Huru dhidi ya Mateso
Tweet media one
11
37
230
@humanrightstz
LHRC
10 months
On August 15, 2023, Legal and Human Rights Centre, Tanzania Human Rights Defenders Coalition, Tanganyika Law Society, and Tanzania Constitution Forum jointly condemn the arrest of Advocate Boniface Mwabukusi together with human rights activists; Dr. Wilbroad Slaa and Mpaluka
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
82
238
@humanrightstz
LHRC
5 years
“Rais alisema Katiba si kipaumbele chake, binafsi sioni kwamba suala la Katiba ni suala la kuiomba serikali, suala hili ni haki yetu kisheria na serikali inapaswa kutekeleza”-Helen Sisya #KatibaNiYetu
Tweet media one
13
46
226
@humanrightstz
LHRC
4 years
Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa mpendwa wetu Tito Magoti. Ni takribani siku 81 za kuwa rumande huku kesi ikitajwa na kuahirishwa, Jamhuri inadai kuwa upelelezi haujakamilika. Tunaendelea kupambana kuhakikisha haki inatendeka. #JusticeForTitoMagoti #JusticeForTheodory #SimamiaHaki
Tweet media one
7
34
231
@humanrightstz
LHRC
6 years
Tunatoa pole kwa Mbunge @UpendoPeneza kufuatia ajali iliyomsibu huko Geita. Tunamuombea apate kupona haraka ili aweze kuendelea na majukumu ya kujenga taifa.
Tweet media one
8
30
222
@humanrightstz
LHRC
6 years
Hongera Fatma Karume (Wakili)kwa kushinda na kutawazwa kuwa Rais wa wanasheria kupitia Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). LHRC inaahidi kuendeleza mashirikiano na TLS katika kujenga jamii inayoheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu. #KwaJamiiYenyeHakiNaUsawa
Tweet media one
5
42
218
@humanrightstz
LHRC
5 years
LHRC has on Dec 23, filed a case against the Dar es Salaam Special Zone Police Commander and the Attorney General demanding the bailout of @TitoMagoti after 4 days of unlawful detention. LHRC has lodged a petition at the HC under the certificate of urgency. #FreeTitoMagoti
Tweet media one
7
81
218
@humanrightstz
LHRC
4 years
Pumzika kwa Amani Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995-2005). LHRC tunatuma salamu za Rambirambi kwa Rais @MagufuliJP , familia ya Mhe. Mkapa na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa. #RIPMkapa
Tweet media one
5
21
220
@humanrightstz
LHRC
7 years
Tunampongeza Mh. Rais Magufuli kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 61 kati ya wafungwa 522 waliohukumiwa kunyongwa. Tunamsihi Mhe. Rais kusimamia mabadiliko ya sheria ili kufuta sheria zinazoruhusu uwepo wa adhabu ya kifo na kuifanya hukumu ya kifungo cha maisha kuwa adhabu mbadala.
Tweet media one
12
43
219
@humanrightstz
LHRC
5 years
@MuakilishiTZ
Muakilishi TZ
5 years
#BreakingNews Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia ofisa programu wa kituo cha sheria na haki za Binadamu ( @humanrightstz ), Tito Magoti pamoja na watu wengine watatu kwa uchunguzi na mahojiano zaidi. #MuakilishiTZ
Tweet media one
3
20
89
5
37
216
@humanrightstz
LHRC
7 years
Tunaunga mkono msimamo wa Rais @MagufuliJP kupinga adhabu ya kifo. Adhabu hii inakiuka #HakiYAKuishi na inatweza utu wa binadamu.
@earadiofm
EastAfricaRadio
7 years
#HABARI Magufuli atoa neno kunyongwa wafungwa :- Soma zaidi hapa
Tweet media one
2
6
31
25
31
216
@humanrightstz
LHRC
6 years
“Mauti yalimfika Dkt. Sengondo Mvungi akishiriki katika jitihada ya kupata #KatibaYaWananchi . Ndoto yake ilikua kupata Katiba itakayolinda haki ya mtu wa kawaida na kumwezesha kupata maendeleo. Tumwombe Mungu ndoto yake itimie.” - Mhe. Jaji Joseph Warioba. #RIPDktMvungi
5
38
208
@humanrightstz
LHRC
3 years
"Mjadala wa Katiba sio jambo la kupangiwa kuwa lijadiliwe wakati gani. Ni suala la kudumu," Jenerali Ulimwengu #KatibaNiYetu
Tweet media one
3
43
212
@humanrightstz
LHRC
6 years
Utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ni msingi wa maendeleo jumuishi na endelevu.
5
54
206