Advocate_Jebra Profile Banner
Jebra Kambole Profile
Jebra Kambole

@Advocate_Jebra

Followers
352K
Following
4K
Media
2K
Statuses
19K

Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032

Law Guards Advocates
Joined November 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 years
For human rights updates, follow Organisation for Promoting Human Rights @OphTanzania
14
27
251
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
7 hours
Mwenyewe anajiona anajenga hojaaaa!!! Kwendraaaaa mwanakwendraaaaa Tutakusemea kWa Baba Yetu Clement Mwandambo πŸ˜‚
@swahilitimes
Swahili Times
10 hours
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege amesema hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura.
3
3
61
@Restore_NJ
Restore New Jersey
15 days
MODERATOR: Are you willing to commit to NOT raise the sales tax? MIKIE SHERRILL: I'm not going to commit to anything right now. On Nov. 4, vote NO on Mikie Sherrill. ❌
31
75
243
@ThatBoyKhalifax
khalifa said #PALESTINE πŸ‡΅πŸ‡Έ ☭🌹
21 hours
sitakwenda kupiga kura okt. 29. kujitokeza siku hiyo kuna faida kubwa kwa ccm kwa kuwahalalishia uharamia wao kuliko kutumia haki yangu ya kikatiba. haki ya kupiga kura ni zao la mapambano ya utu na uhuru, na haikuwahi kutegemewa kutumika kwenye mazingira kama haya ya β€˜25!
32
269
814
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
10 hours
Kif cha 4(2) Cha Sheria ya Pasi na Nyaraka za kusafiria Sura 42 R.E 2023, kinaeleza japo pasi ni mali ya govt lakini itaendelea kuwa chini ya mwenye jina lake mpaka itakapo isha muda wake au kuna sababu halali ya kuona kuwa haifai kuwa kwa mwenye nayo! Toeni sababu @HecheJohn .
12
79
390
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
1 day
Hahahaha hii ndo kisheria inaitwa β€œin flagrante delicto” yani umekutwa na kyupi mkononi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kmmmmmk hata kujibu hawawezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa ni homeless kabisa hao Asante @Liberatus80
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 day
🀣🀣🀣 Ila nimecheka sana @Liberatus80 umetufurahisha sana! Yaani hata si watanzania hata waafrika wengine hapo wanakukwepa hawaongei Kiswahili Sijui kawatoa homeless shelter maskini πŸ₯² Yaani huyu Hidaya Mahita na wafanyakazi wa ubalozini wameshakula bajeti hapo na result is zero
11
55
337
@slotkinjr
Dr. Jon Slotkin
1 month
The halls of medicine run on evidence. But more clinicians are treating themselves like laboratories @chrissyfarr and I surveyed 129 doctors, nurses, and PAs on what they actually do to optimize their healthspan + longevity Their behavior shapes the next wave of care Link ↓
112
2K
6K
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
1 day
Oktoba tunatiki ni slogan ya kuwajibu watu wasioshiriki uchaguzi, @ChademaTZ2 mmewafanya ndugu zenu waache slogan yao ya kazi na utu na kubadili gia agani!!! Kwa sasa kampeni ni kuomba watu wakapige kura!! Hakuna kazi na utu kwenye kuteka na kuua labda kazi na UTI.
17
109
623
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 days
Hizi ndo mnapenda wasengerema nyinyi
@VaticanNews
Vatican News
3 days
The Archbishop of Dar es Salaam issues a passionate appeal concerning a troubling rise in unexplained disappearances and kidnappings across the country over the past two years. https://t.co/CtHe4jGOjH
5
37
357
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 days
Kuna ulazima gani watu wanaowakosoa kuwaua? kwanini muwapoteze?, Si bora muwape kesi za kubambikiza kama murder au uhaini wakaa ndani bila dhamana? Mbona wengi mnawabambia kesi? Kwanini watu wauawe wakati lengo lenu linaweza kutimia bila kuua? Kuteka na kuua ni ushamba!!
10
105
478
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 days
Ukiona mtu amefika hiyo hatua ujue hali tete!! Askofu Bagonza anasema ukiona ugomvi wa mke na mume, mume anang’ata ujue hali mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
@Roma_Mkatoliki
#NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’
4 days
😁😁😁😁😁 ACHANA NA MIMI
21
74
531
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
3 days
Habari ndo hiyo! Ukisema utakufa, Usiposema utakufa!!!
4
92
562
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
4 days
Justice for Polepole!!!!
20
604
2K
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
5 days
Makubaliano ni kuwa tuchague viongozi kupitia chaguzi huru, haki na za kuaminika na kuwapata viongozi ambao ni matakwa ya wananchi! Kwa mujibu wa Ibara ya 21 ya Katiba! Sio kila chaguzi ni chaguzi zingine ni uchafuzi!!!
@FarajaNyalandu
Faraja Kotta
5 days
Tukikubaliana mambo kama WaTanzania ni muhimu tukayatimiza. Nawaomba waTanzania wenzangu, kama tulivyokubaliana kuchagua viongozi kupitia Chaguzi basi naomba tutii makubaliano yetu. Mwalimu Nyerere alikuwa mbele ya muda sana. ~ Kitabu cha Binadamu na Maendeleo, Julius K.
6
32
185
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
5 days
Nchi za kimafia ndo zilivyo! Polisi wananyenzo zote za kuhakikisha usalama wa raia na Mali zao, wao ndo wanapaswa kutoa majibu Polepole yuko wapi?, Wanajua kila kitu, mfn uhamiaji wanajua amerudi lini, njia gani?, lakini nyie wajinga mnataka mama yake atoe ushahidi?
21
63
388
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
6 days
Dunia inaenda kasi sana, 😁😁😁
22
226
1K
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
6 days
Wakuu hamtaki kulelewa?
68
31
357
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
7 days
Tunasubiri wito wa Haki
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
7 days
Wikiendika na mserereko wa kibabeee! Endelea kuhabarika, kuelimika na kuburudika nonstop kupitia maudhui yetu ya kidijitali bure kwenye MwanaClick! Pakua app ya MwanaClick sasa kwenye Play Store au Apple Store #TunaClickTunaVibe #TunawezeshaTaifa
10
34
142
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
7 days
Mwanetu Mdude 😭😭😭😭!!! Mnataka tuishe kabisa mbaki peke yenu?
15
175
1K
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
7 days
Sasa wanahangaika hivi CDM haishiriki uchafuzi wao, Rushwa nje nje kushindana na Chauma πŸ˜‚ Huku ni kuchanganyikiwa, hata kuvaa bila picha ya mama yao anaona hawezikueleweka πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
27
52
442
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
8 days
Polisi mnawajibu wa usalama wa raia na mali zao, tunawalipa mishahara ili mtuhakikishie usalama. Usalama wetu uko wapi?, hata kama mnafanya kwa kificho kuna jambo ambalo lipo wazi ambalo ni kutimiza wajibu! Mmetimiza wajibu juu ya usalama wa Polepole na watu wengine? @tanpol
14
170
667
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
8 days
Mwenye picha ya Samia na Firstborn wa taifa ndugu yetu Andrew naiomba nina kazi nayo!!! 😁😁😁
14
52
846
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
8 days
Inshallah ipo siku hii Tuzo atapata @TunduALissu
@NobelPrize
The Nobel Prize
9 days
In the past year, #NobelPeacePrize laureate Maria Corina Machado has been forced to live in hiding. Despite serious threats against her life she has remained in the country, a choice that has inspired millions of people. When authoritarians seize power, it is crucial to
9
44
297