
NTOBI
@Ntobi_
Followers
79K
Following
187K
Media
4K
Statuses
27K
Concerned Citizen || Ngokolo Ward Councilor 2015-2020 || Banker || Activist || UDSM Alumni || Proud Member of ACT Wazalendo|| WhatsApp +255 715 956595
Shinyanga, Tanzania
Joined May 2012
Leo Oktoba 15, 2025 Mgombea wa Urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu @othmasoud, ameendelea na mikutano yake ya Kampeni, akinadi Sera na kuomba ridhaa ya katika Viwanja vya Wingwi Mapofu, Kaskazini Pemba. Oktoba #LindaKura
#ZanzibarMamlakaKamili
3
7
19
A Tribute to the Late Rt. Hon. Raila Amolo Odinga: A Pan-African Icon and Visionary Leader With a heavy heart, I extend my deepest condolences to the people of Kenya, the Orange Democratic Movement (ODM), the family of the late Rt. Hon. Raila Amolo Odinga, and all Africans
31
50
173
Everyone deserves to safely share the road. Learn how Waymo is working to make our roads safer.
1
1
21
Katambi acha siasa za kipumbavu, muachilie huru Mzee Francis Matata, (baba wa mwanamitindo wa kimataifa @FlavianaMatata) Wazee wengi Shinyanga hawajaridhishwa na wanasema “ wewe si chaguo la wananchi wa Shinyanga.” Shinyanga hatujawahi kuwa na Mtu ambaye haoni AIBU kusema
6
21
210
Everyone is headed somewhere. Whether it’s toward a promotion, a new career path, or your next degree, Grace College allows you to achieve your goals in any field! Head toward your goals without actually going anywhere.
0
0
0
🔴LIVE: WANANCHI YAFURIKA BARABARANI KUMSINDIKIZA ZITTO KWENYE MKUTANO WA... https://t.co/GZkTbjYZy8 via @YouTube
5
9
21
OMO: Nitatoa kipaumbele kwa bidhaa za ndani kuuzwa kimataifa | Mwananchi
mwananchi.co.tz
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema Serikali atakayoiunda itazipa kipaumbele bidhaa zote zinazozalishwa visiwani humo ili kushindana katika soko...
1
4
16
Othman pledges to revive agriculture and fisheries | The Citizen
thecitizen.co.tz
ACT-Wazalendo presidential candidate Othman Masoud Othman has pledged to prioritise agriculture and fisheries if elected, saying the two sectors remain central to the islands’ economic...
1
11
18
ACT Wazalendo yaja na Ilani ya wananchi Zanzibar | Mwananchi
mwananchi.co.tz
Mwenyekiti wa Chama cha ACT–Wazalendo na mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema ilani ya uchaguzi ya chama hicho inalenga kurejesha imani ya wananchi kwa Serikali kwa kusimamia...
3
16
38
Maneno haya nilimwambia @DrHmwinyi alipokuja london hakuna amani bila ya haki. Ukiona amani imetanda na haki haitendwi hiyo ni Amani ya Woga!
2
15
63
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na kulinda haki ya kutoa maoni. Ibara ya 18 ya Katiba inatoa uhuru kwa kila mtu kuwa na maoni, kutoa maoni, na kupata au kusambaza taarifa bila kuingiliwa. Hali imekuwa tofauti. Polisi wamekuwa wakikamata, wanafuatilia au hata
15
16
87
Kutekwa kwa Polepole kunaacha hisia mchanganyiko - simanzi, hasira, vicheko, mnuno, masimango, mafunzo, na tahadhari. Miaka 7 iliyopita,kama ungemwambia HP kuwa angetekwa, angekucheka kwa dharau. Leo ametuthibitishia kuwa hakuna aliye salama. Hata watekaji, ipo siku watatekwa!
16
50
286
Chakupanga wacha nae aonje joto la jiwe alilolianzisha yeye mwenyewe! Karma is real!
60
9
172