Samia Suluhu
@SuluhuSamia
Followers
2M
Following
64
Media
1K
Statuses
2K
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Dodoma, Tanzania
Joined June 2014
Ahsanteni sana Mkoa wa Mjini Magharibi. Kama ilivyokuwa kote nilipopita kwa takribani miezi miwili ya mikutano ya kampeni, nimeona upendo, ukarimu, utu, hamasa, shukrani na kiu yenu ya kuendelea kuona matokeo bora zaidi ya kazi ya kuitumikia nchi yetu. Tuendelee kuhamasishana
212
192
183
Ahsanteni sana Temeke na Kigamboni kwa kujitokeza kwa wingi leo tulipohitimisha kampeni zetu kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Kama ilivyokuwa katika wilaya zote nchini, wingi wenu unadhihirisha uwezo, ukubwa na uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kazi ya kuitumikia nchi yetu.
380
275
493
Ahsanteni sana Ilala. Nimekuwa na wakati mzuri pamoja nanyi leo, nimeona ukarimu wenu, hamasa yenu na hakika ya uamuzi wenu ifikapo Oktoba 29, kwa maendeleo, amani, umoja na mshikamano wa nchi yetu. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
332
289
443
Shughuli ni watu na Kinondoni mmethibitisha hilo kwa vitendo. Ahsanteni sana kwa uelewa wa pamoja kuwa Oktoba 29 jukumu letu sote ni kwenda vituoni kupiga kura kwa amani na utulivu, na kuwachagua Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM); Chama chenye historia, uwezo na uzoefu wa
451
289
478
Ahsanteni sana Kibiti na Mkuranga kwa mapokezi mazuri, upendo na ukarimu wenu. Ninawashukuru sana kwa kujitokeza kwa wingi, ikiwa ni ishara ya imani yenu kubwa kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na hakika ya utekelezaji wa ahadi yenu ya kuchagua wagombea wa CCM ifikapo
110
103
240
Ahsanteni sana wananchi wa Rufiji. Wingi na hamasa yenu vimeonesha kuwa mnaridhika na kazi iliyofanyika katika kuiletea nchi yetu maendeleo na mna imani kubwa juu ya utekelezaji wa mipango tuliyojiwekea kama Taifa. Wingi wenu pia umeonesha uelewa wenu juu ya nafasi muhimu ya
102
201
291
Nimefurahi kufika tena Sumbawanga na kuona namna panavyoendelea kupiga hatua kubwa za kimaendeleo. Nimekuwa na mazungumzo mazuri na wananchi wakati tukihitimisha kampeni zetu katika Mkoa wa Rukwa. Wananchi kwa umoja wao wanaridhishwa na kazi inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi
458
144
412
Nimekuwa na wakati mzuri na wananchi wa Kata ya Namanyere, Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa. Nimefurahi kuona na kusikia kutoka kwao; kwanza, namna maisha yao yalivyoboreshwa kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo; pili, uelewa wao juu ya umadhubuti wa Chama Cha Mapinduzi
209
129
368
Ninawashukuru wananchi wa Kata ya Kibaoni kwa hamasa na ukarimu, tulipohitimisha kampeni zetu katika Mkoa wa Katavi, kabla ya kuelekea Mkoa wa Rukwa. Ahsanteni sana.
197
216
375
Ahsanteni sana Mpanda Mjini. Mapokezi mazuri mliyotupa, hamasa na ari yenu ni kielelezo cha imani mliyonayo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, inayofanyika na inayoendelea kufanyika. Mwitikio wenu mkubwa ni uthibitisho kuwa mmetafakari na kuona
187
242
344
Siku njema sana na wananchi Uwanja wa Kaitaba. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumehitimisha salama kampeni kwa Mkoa wa Kagera, kwa kuzungumza na wananchi wa Bukoba Mjini. Uhai na uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo katika kutekeleza matakwa ya wananchi. Ahsanteni sana kwa
330
305
476
Ahsanteni sana Kayanga. Upendo wenu, ukarimu wenu, nia yenu na uamuzi wenu wa Kura ya Ndiyo ifikapo Oktoba 29 nimeuona katika wingi wenu. Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki.
45
81
178
Ahsanteni sana wananchi wa Kyaka. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
55
117
216