CWPedro Profile
CWPedro

@cw_pedro

Followers
66K
Following
4K
Media
5K
Statuses
129K

Joined January 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@cw_pedro
CWPedro
8 hours
PUMZI KWANZA.
0
0
0
@cw_pedro
CWPedro
17 hours
Hapa kijijini kwetu wanapewa vihela vidogovidogo tu na hao watia NIA.
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 days
Bad enough, voters (wajumbe) ni mafukara kupitiliza. it's very hard kupata decision makers wa maana.
0
2
9
@cw_pedro
CWPedro
17 hours
Usipotoshe Kaka. Walilinda USHINDI wao. Baada ya kuwa na UHAKIKA kwamba wameshinda, ndipo walibaki kwenye vituo vikuu vya kutangazia matokeo hadi walipotangazwa washindi. Usisahau kwamba wakati ule, sio sasa, chaguzi za wabunge na madiwani zilikuwa zinafanyika. Sio tangu 2016.
@Vicent_Kassala
Kassala
1 day
Mtazuiaje uchaguzi?.@godbless_lema alilinda kura 2010 na 2015 akawa mbunge Arusha mjini. @HecheJohn alilinda kura 2015 akawa Mbunge Tarime Vijijini. Hizo ni rekodi zipo. Ila hatuna rekodi za watu waliozuia uchaguzi wakaleta mabadiliko.Tusaidieni hizo rekodi. Mtazuiaje uchaguzi?
Tweet media one
1
0
2
@cw_pedro
CWPedro
1 day
PUMZI KWANZA.
1
0
3
@cw_pedro
CWPedro
2 days
Kushindwa KIHALALI kwenye uchaguzi hakukuwa kwenye akili ya Mh Mbowe. Atayumba sana.
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
@noor_abdul @TitoMagoti @godbless_lema @zittokabwe @freemanmbowetz @MariaSTsehai @HildaNewton21 @Mwabuk2Boniface @ExMayorUbungo @IAMartin_ @YerickoNyerereT @MalisaGJ_ @HecheJohn @amanigolugwa @ChademaTZ2 Nitakuwa wa mwisho kuamini Mhe Mbowe anaweza kuwasiliti wenzake waliomshinda kidemokrasia. Najua ni haki yake lakini hili la kuhama chama natamani libaki kuwa tetesi. Hatari kwake ni kwamba akihama atakuwa amethibitisha maneno yote yaliyosemwa dhidi yake tangu enzi za akina.
0
0
3
@cw_pedro
CWPedro
2 days
Sasa G55 wana lipi la kujifunza Ntobi.
@Ntobi_
NTOBI
2 days
@IamLyenda Nyie mbona hamkujifunzwa toka kwa G55!? Acheni kila mmoja ashinde mechi zake brooh!🤔.
0
0
0
@cw_pedro
CWPedro
2 days
Pengo la Mzee Mbowe pale CHADEMA limeshindikana kuziba. Chama 'kinakufa'. Angechaguliwa yeye tungeendelea na wimbo wa 'Mwamba tuvushe'.
@YerickoNyerereT
Yericko Nyerere
3 days
Jeshini kuna principle moja isemayo hakuna kitengo ambacho mtaalamu ni mmoja tu jeshi zima, Ukitaka kujua kuwa hakuna mtaalamu mmoja tu basi afe mtaalamu huyo leo asubuhi, kisha leoleo mchana nafasi yake itazibwa kwa asilimia miamoja. Jambo muhimu unalotakiwa kuelewa kwamba.
0
0
0
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Polepole anakosa legality na legitimacy kuyaongelea haya. Hoja anayo sana tu. Aliishi nayo kwa nini alipokuwa very vocal wakati ule?.
@Sharb84
Francis
3 days
@cw_pedro Tunaongelea hoja ya Polepole ya Nepotism. Mnataka tu fukue makaburi. Je,hiyo itaondoa hoja yake?. Tunatetea ujinga kwa kutumia ujinga.
6
1
6
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Magufuli kamteua Samia mara mbili mfululizo. Magufuli huyu tuliemfahamu amezeshwe mara mbili. Give me a break.
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
3 days
Ingekuwa ni uwezo wa JPM hata SAMIA asingekuwa VP, alimtaka MWINYI, mfumo mbovu wa CCM ndio ulituletea akina Tale. Muda huu mfumo huo kidogo utuletee akina Mwijaku na Shilole,. CCM imefanya uongozi uonekane ni jambo jepesi lakufanywa na YEYOTE. Baba Levo yule pale, 😊😊😊.
4
0
6
@cw_pedro
CWPedro
3 days
WanaMagufuli wanateseka sana sasa. Utadhani ni chama kingine kimeingia madarakani.
@SwahiliBible
Mwemezi Rwiza, PhD
3 days
Musiba naye leo anaumia kukosa uhuru wa kukosoa. Tucheke kidogo. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
1
1
2
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Naona anakaribia kwenye AGENDA yake HALISI ile ya March 2021. Ambayo yeye na kagenge ka wahuni wenzake walitaka KATIBA ivurugwe Samia asiape kuwa Rais wa Jamhuri.
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
4 days
“Kama mmegundua kila kona ya nchi barabara zinajengwa tangu mwaka 2020 lakini HAZIISHI, Wahuni chini ya Raisi SAMIA wameshindwa kazi na wamekuwa wazembe sababu wanajua mama ni mpole na hawezi kuwafanya lolote, Tunataka mtu anaeweza kuwakemea wahuni”— HUMPHREY POLEPOLE.
1
1
3
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Mapungufu gani mapya anayokemea Polepole ambayo hayakuwepo enzi yeye na Musiba wanang'ara?.
@moshi34
DaudiT
3 days
@Vicent_Kassala Sasa Polepole hakuwa hata na level ya uwaziri au utendani lakini unamshupalia utadhani alikuwa ni makamu wa Rais.Kwa maana hiyo unataka Polepole asikemee mapungufu ya uongozi huu ndio utafurahi. Ungempongeza kwa ujasiri.Uziiiii mrefu kama mkojo wa mlevi Takataka tu.
1
0
1
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Watu mnasahau tu. Ile CHADEMA ya Mbowe, Mbowe mwenyewe alikuwa na concubine wake bungeni; Lissu akawa na mdogo wake wa kike; Mzee Ndesa akawa na binti na mkwe; Zitto akawa na binti mmoja kutoka huko kwao, jina silikumbuki. WATANZANIA tunafanana kwa mengi. Ni fursa tu ikijitokeza.
@lifeofmshaba
Think Different
3 days
Ukiondoa Kikwete na Salma . Hii ni familia ya pili mke na mume wanalamba mamilioni ya fedha kupitia ubunge na uwaziri. Sifa zao na uongozi , FAMILIA YA SAMIA
Tweet media one
8
3
15
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Keshasahau mshenzi huyu au ndio kujisafisha?.
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
3 days
Musiba huyu huyu? Au Musiba mwingine? Ama kweli 😂.
Tweet media one
2
2
8
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Kikatiba hawana ukomo hawa. Desturi ndio tumuulize Polepole.
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
3 days
Binti wa Mama Samia, Wanu Ameir Hafidh amekuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 20 sasa. Viti maalum miaka 20? 😀😀😀.
4
0
1
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Hadi akina Taletale?.
@EJ_Mwita
Pope Mwita I
3 days
Baba Jesca angekuwa hai asingekubali tuongozwe na binti yake. Yule mzee alithamini sana UWEZO, uliposhindwa kupata viongozi timamu kati ya wabunge wake 394 ali-outsource kutoka vyuo vikuu na tukawapata akina KABUDI. Wenye uwezo hufanya kazi na wenye uwezo and VICE-VERSA.
2
0
1
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Nani alikuwa ameufunga ubongo na akili ya Polepole? Amekuwa kama ndio anazinduka kutoka kuzimia. Yote anayoyasema ameishi nayo vizuri tu pale awamu ya Tano. Tumewahi kuwa na Katibu wa Hazina yetu, mtoto wa Dada. Zikapotea 1.5Tr huyu Polepole akazitetea sana. Atuambie waligawana.
@Sharb84
Francis
3 days
@JamiiForums Nepotism ni Cancer. Si mbaya kwa mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi ikiwa anauwezo na watu wanamtaka. Ila mtoto kuwa kiongozi kwa sababu tu Baba yake au Mama yake alikuwa kiongozi ni upumbavu uliopitiliza. Hata wafalme wazamani walikuwa wanachagua mtoto mwenye uwezo kuwarithi.
3
2
10
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Mtoto wa Dada alikuwepo pale Hazina kama Katibu Mkuu. Mbona unacharuka sasa?.
0
1
1
@cw_pedro
CWPedro
3 days
Kaka Polepole,.Hapa una hoja ingawa hivi political dynasties vimeanza kujengeka muda sasa. Awamu ya tano ambayo nawe uling'ara sana watoto na wake wa viongozi walikuwepo. Huyu Salma na mwanae Riziwani walikuwepo; watoto wa Mwinyi walikuwepo; mtoto wa Mkapa alikuwepo pia.
5
7
19
@cw_pedro
CWPedro
3 days
PUMZI KWANZA.
0
0
0