bwaya Profile Banner
Christian Bwaya Profile
Christian Bwaya

@bwaya

Followers
13K
Following
26K
Media
2K
Statuses
41K

U S H U N U Z I — P S Y C H O L O G Y

Dar es Salaam
Joined May 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@bwaya
Christian Bwaya
19 hours
Tunatumia nguvu kubwa kujenga ukamilifu tusiokuwa nao, kuonesha sura za tabasamu tusizokuwa nazo. Hadharani una furaha, sirini unalia. Hadharani ni maarufu, sirini ni mpweke. Hadharani ni jasiri, sirini mnyonge. Hadharani ni mwema, sirini ni mwovu. Hadharani ni mcha Mungu,.
6
32
82
@bwaya
Christian Bwaya
20 hours
Kinachotugharimu, mara nyingi, ni uwezo mkubwa wa kuelezea matatizo ya wengine kuliko tunavyoweza kujielezea sisi wenyewe. Kujiogopa, kwa namna fulani, kunatupa ujasiri wa kuwashambulia wengine.
1
25
74
@bwaya
Christian Bwaya
21 hours
RT @Udadisi: @bwaya @Sajokm washunuzi wa familia mpo?
Tweet media one
Tweet media two
0
2
0
@bwaya
Christian Bwaya
1 day
Ukipata maneno yanayoelezea hisia ngumu zinakuumiza ukapata pia ujasiri wa kumshirikisha mtu unayemwamini aibu na historia usiyopenda kuizungumzia, unaweza kutibu magonjwa mengi kuliko dawa unazokunywa kunyamazisha maumivu ya mwili. Kujifunza msamiati wa hisia unaobeba uzito wa.
0
30
64
@bwaya
Christian Bwaya
1 day
Hofu inayozinyamazisha hisia unazozionea aibu lakini unazojua zinakutia fadhaa ina nguvu ya kuigombanisha akili yako inayotaka ukamilifu na nafsi yako inayoujua uhalisia wa ndani. Kadri unavyoipa hofu nafasi kukusaidia kuficha siri zinazoichosha nafsi yako ndivyo unavyofungulia.
1
14
37
@bwaya
Christian Bwaya
1 day
RT @iamthatfemale: Sahihii.
0
1
0
@bwaya
Christian Bwaya
1 day
RT @Baberonejr: @bwaya This is deep and outgoing message that aweken the nostalgia. the long lasting remedies that enrich the brain to rem….
0
1
0
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Ukitaka kuujua vyema uhalisi wako chunguza vizuri namna unavyowatendea watu uliowazoea, watu wasioweza kukuadhibu ukiwakosea, watu usiolazimika kuwafurahisha kukwepa matokeo ya tabia zako, watu usiowahitaji, na kubwa zaidi chunguza namna unavyozungumziwa [na kuwazungumzia] na.
1
20
66
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Wanaume tunaoishi na wake zetu kama wajane na kuchukulia mahitaji yao kama ‘makelele’; wanaume tunaochukulia kuzaa kama jambo jepesi na kuwafanya watoto waishi kama yatima; wanaume tunaofurahisha na kufadhili marafiki kuliko familia; wanaume tunaothamini ‘connection’, faida za
Tweet media one
4
30
69
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
RT @rutaraka: @bwaya Speaking to someone.🙏🏽.
0
1
0
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
RT @Afruturist: For the past 7 years, I’ve lived by the "5F Code" adopted from "The Four Burner Theory" and journal my progress everyday.….
0
8
0
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Maamuzi mengi katika maisha hufanywa katika nyakati za maumivu na machozi mengi.
7
41
185
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Uongo mbaya zaidi ni kuidanganya nafsi yako mwenyewe. Unadanganya mpaka unauamini uongo wako mwenyewe.
2
27
121
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Makosa yanayokufedhehesha, yanayokuumiza na kukugharimu heshima yako kwa watu mnaoaminiana yana nafasi kubwa ya kukuchochea kujitambua, kufanya maamuzi muhimu yatakayokubadilisha uwe mtu wa tofauti, wakati mwingine, kuliko maisha yenye ukamilifu usio na chembe ya majuto yoyote.
1
24
89
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
RT @ElimishaJamii: @bwaya Kiswahili umesomea wapi mkuu! ?. Nashangaa kuona kila Aya imebeba ujumbe mzito. 🔥💪💪.
0
1
0
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
Unaweza kuwa sahihi, unaongea jambo la kweli lakini usipojifunza namna ya kujieleza unaweza kuishia kueleweka vibaya, ukaumiza hisia za mwenzako na ukazalisha mgogoro usio wa lazima. Hapa nina mifano michache ya namna ya kusema kwa namna inayopunguza migongano katika lugha:. ✳️.
4
23
75
@bwaya
Christian Bwaya
2 days
RT @k_mjege: Pamoja na kuwa watu karibu wote wamepata elimu ya Msingi, bado tunakumbushwa wajibu hata wa kufunga bomba; kuzima taa; kunawa….
0
6
0
@bwaya
Christian Bwaya
3 days
Usimdharau mtu. Dharau huwa haisahauliki kirahisi.
3
52
201
@bwaya
Christian Bwaya
3 days
“…watu watasahau ulichosema, watu watasahau ulichofanya, lakini watu kamwe hawatosahau vile ulivyowafanya wajisikie.”. Angelou (1927-2014)
Tweet media one
2
24
103