JamiiForums Profile Banner
Jamii Forums Profile
Jamii Forums

@JamiiForums

Followers
2M
Following
6K
Media
40K
Statuses
71K

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

United States
Joined June 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JamiiForums
Jamii Forums
6 hours
MAREKANI: Timu ya Chelsea FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuishusha PSG kipigo cha Magoli 3-0 katika Fainali ya michuano hiyo ambayo ilishirikisha vikosi 37. Licha ya PSG ambaye ni bingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kupewa nafasi kubwa ya kushinda
Tweet media one
4
1
57
@JamiiForums
Jamii Forums
8 hours
DODOMA: Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa #CHADEMA, Leonard Magere kwa tuhuma za jinai zinazomkabili, taarifa imetolewa baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa Magere hajulikani alipo tangu alipokamatwa na Polisi, Julai 12, 2025. Awali, CHADEMA
Tweet media one
9
8
74
@JamiiForums
Jamii Forums
10 hours
Mdau wa anaomba ushauri baada ya mwenye nyumba wake kupotea kwa muda mrefu bila kudai kodi. Anasema amejitahidi kumtafuta bila mafanikio na amejenga, anataka kuondoka hapo lakini hajui afanye nini. Unamshauri nini?. Mjadala zaidi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
26
9
63
@JamiiForums
Jamii Forums
12 hours
Katika hali ambapo #Miundombinu mtaani inaharibika kutokana changamoto mbalimbali, Wananchi huathirika kwa kukosa huduma muhimu ikiwemo usafiri, afya, maji, elimu n.k. Hali hii inahitaji Viongozi wa ngazi za chini kuwajibika kwa haraka ili kuwezesha Wananchi kuendelea na shughuli
2
8
47
@JamiiForums
Jamii Forums
13 hours
Uongozi si nafasi ya kufaidika, ni wajibu wa kutumikia Wananchi kwa uaminifu. Kabla ya kuchagua Kiongozi, angalia anasimamia nini na ana uwezo gani, sio kumchagua kwa ushabiki au hisia. #JamiiAfrica #JamiiForums #RestlessDevelopment #RaiaWajibika #CivicEducation #SautiYaRaia
Tweet media one
0
1
14
@JamiiForums
Jamii Forums
13 hours
MTWARA: Aliyekuwa Mbunge wa Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa CUF, Maftaha Nachuma akiwahutubia wakazi wa Mtwara Julai 12, 2025, amesema aliamua kugombea Ubunge Mwaka 2015 licha ya kutokuwa na uhakika wa kuchaguliwa, kwa kuwa aliona mateso na manyanyaso kwa wakazi wa Mtwara,
4
4
62
@JamiiForums
Jamii Forums
14 hours
DAR: Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) lililokuwa katika eneo la Ubungo Kibo limeonekana katika hali ya kuvunjwa, leo Julai 13, 2025. Ikumbukwe baadhi ya Waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Ufufuo na Uzima) walihamia Kanisa la #KKAM kwa ajili ya
6
14
151
@JamiiForums
Jamii Forums
17 hours
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais Samia akitangaza kujiuzulu nafasi ya uwakilishi wa Tanzania nchini Cuba, eneo la Karibe, Amerika ya Kati pamoja na nchi rafiki za Colombia, Venezuela na Guyana. Katika barua hiyo, Polepole ameeleza kuwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
34
78
617
@JamiiForums
Jamii Forums
18 hours
Kwa kanuni hizi za uvaaji wa suti, mdau utatoboa kweli?. Kushiriki mjadala huu bofya : #Jamiiforums #JamiiAfrica #JFlifestyle #JFChitChat
Tweet media one
0
0
9
@JamiiForums
Jamii Forums
20 hours
Mwaka 2009, Timu ya #Yanga chini ya Kocha Kostadin Papic raia wa Serbia ilikuwa ikicheza soka la kuvutia, kikosi kikiundwa na wachezaji wengi mafundi. Mdau kama ulianza kufuatilia mpira kipindi cha wachezaji kama Fiston Mayele na Stephane Aziz, basi ni nafasi kwa Mashabiki
Tweet media one
24
8
188
@JamiiForums
Jamii Forums
21 hours
Safari ya Ukuaji haijawahi kuwa kamilifu. Huwa ni polepole, imejaa changamoto na wakati mwingine unarudi nyuma. Kila kosa linakufundisha na kila hatua ndogo huongeza hatua nyingine. Kila mara unapojitokeza, unajenga kasi ya mafanikio. #JamiiForums #JamiiAfrica
Tweet media one
0
2
10
@JamiiForums
Jamii Forums
1 day
Jeshi la Polisi usiku huu wa Julai 12, 2025 limethibitisha kumkamata Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Brenda Rupia kwa ajili ya mahojiano kutokana na Tuhuma za kutoa Taarifa za Uongo na za Uchochezi na kwamba baada ya kumhoji hatua
Tweet media one
13
39
243
@JamiiForums
Jamii Forums
1 day
Kiungo wa #YoungAfricans (Yanga), Peodoh Pacome Zouzoua ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Juni katika Ligi Kuu Bara 2024/2025, akiwashinda Clatous Chama wa #Yanga na Kibu Denis wa #Simba baada ya kuisaidia timu yake kushinda mechi tatu alizocheza Juni. Kwa upande wa Kocha
Tweet media one
1
11
148
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
MOROGORO: Mdau wa #JamiiForums aliyelalamika juu ya ubovu wa Barabara ya Mazimbo–Manyuki, akieleza kuwa ilikuwa kero kubwa kwa wakazi na changamoto kwa madereva wa daladala na bajaji waliokuwa wakipata shida kuendesha shughuli zao za kila siku, hasa watumiaji wa vyombo vya moto.
Tweet media one
10
4
115
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
Mdau wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki anadai walijuana na mpenzi wake Mwaka 2023 kupitia #Facebook, lakini sasa anachanganyikiwa na ndoto za kimapenzi ambazo mpenzi wake amekuwa akiota mara kwa mara kuhusu mpenzi wake wa zamani. Je, unamshauri nini Mdau apeleke mahari
Tweet media one
0
1
16
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
Mdau wa kutoka Jukwaa la Siasa anauliza unadhani mazungumzo baina ya Nape Nnauye (Mbunge) na Mwananchi huyu yalikuwa yanahusu nini? . Soma #Jamiiforums #JamiiAfrica #UchaguziMkuu #Siasa
Tweet media one
21
1
45
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
TABORA: Akiandika kupitia Akaunti yake ndani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amesema Watu walioshiriki kumuozesha Mwananchi Darasa la 6 Kata ya Mambali, Wilayani Nzega wamekamatwa na hatua za
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
3
69
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
MWANZA: Mdau wa ameeleza hofu juu ya usalama wa Abiria katika Stendi Kuu ya Nyegezi, ambapo geti linalotumiwa na daladala kutoka stendi kwenda Barabara Kuu pia linatumika kupita Abiria wanaoingia stendi kutoka Barabara Kuu, huku mlango rasmi wa abiria
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
9
88
@JamiiForums
Jamii Forums
2 days
Opportunity Alert: Consultant for Quarterly Media Monitoring: Data Collection and Preparation. JamiiAfrica, through the “Empowering Journalists for Informed Communities (2025–2027)” funded by the European Union and jointly implemented with IMS and UTPC, is seeking a consultant to
Tweet media one
6
0
6