
DaudiT
@moshi34
Followers
580
Following
4K
Media
1K
Statuses
21K
Haki, Usawa na Amani = Furaha Just walk beside me and be my friend. Don't walk behind me; I may not lead. Don't walk in front of me; I may not follow.
Minneapolis, MN
Joined June 2011
But realize that not all success is due to hard work, and not all poverty is due to laziness. Keep this in mind when judging people, including yourself. because the more likely the outcome was influenced by extreme ends of luck or risk.
0
1
4
RT @moshi34: @ayubu_madenge Ile hatua ya Rais Uhuru kuheshimu maamuzi ya mahakama ilipomfutia uRais iliiheshimisha sana nchi, hivyo wawekez….
0
2
0
1. Polis. 2. Mahakama.3. Vyama pandikiz.4. Machawa. 5. CCM. 6. Viongozi wastaafu. 7. Msajili. 8. Tume ya uchaguzi.Makundi yote haya yanapambana na chadema chama unachodai hakina nguvu.Ni mpumbavu kama wewe atakuelewa.CDM ni dude kubwa lenye nguvu.@MariaSTsehai @HecheJohn.
0
0
1
Huu udini wa dhahiri, sheikh anatoa kauli ya kunyonya kanisani tena mbele ya Rais, na Rais anachekelea lakini askofu gwajima anakemea utekaji kanisa linafungiwa.
@HildaNewton21 Shekhe anatoa hutuba ya kuwaua watu hakiwa kanisani na kanisa limebariki mauaji.
0
0
0
Baada ya kumkumbusha @zittokabwe kuwa kanuni walizosaini hakuna kipengele cha "Linda kura yako akaniblock.Kumbe zitto ana ngozi laini kama ya kambale
0
0
0
RT @rose_mayemba: Madam Pres!. Unataka atekwe nani ili uchukue jambo hili kwa uzito unaostahili?.Au labda nakosea kuuliza, .Labda niulize h….
0
77
0
RT @mdudenyagali: Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya uteka….
0
864
0
Si mnasema mama ndio anajenga barabara, shule, vituo vya afya Leo imekuwa je Rais anamwambia Mpina maombi ya barabara apeleke bungeni. Kumbe bunge ndio linagawa pesa sio mama.😂😂😂 Mtaumbuka tu.@MariaSTsehai, @HecheJohn.
0
0
0
Hiyo ndio maana halisi ya neno. Msiposema hata mawe yataongea.Idd Amin Mamaa alimnyamazisha mdude akagongeana glass na katibu wake, katokea mwingine.
Hatukutarajia Gwajima kuinuka na kupinga utekaji ktk kipindi hiki. Ni matakwa ya nyakati. Equally, mkimnyamazisha, Mungu atawainua wengine wengi kusema hapana!. Hii ni kanuni ya kiroho kuhusu uumbaji, asili na hatma ya mtu!. Solidarity with Joe Gwajima🤲.
0
0
0
Mtu amekuwekea mgongo kwamba anaondoka tena kwa kukimbia wewe kwa nini unampiga? Alikuwa na madhara gani mpaka apigwe.Huyu askari inatakiwa ashtakiwe kama yeye kwa jina lake.@MariaSTsehai hii haina tofauti na ile iliyo tokea usa ya askari kumuuwa George Floyd
1
0
0
Sasa rasmi Tanzania ni nchi ya impunity, persecution and intimidation.Ikulu kwa kutumia Polisi wanateka, kutesa, mpaka kuuwa watu bila kuwajibishwa ili kutisha watu wasiongee kuhusu ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.@MariaSTsehai.
0
0
0