
Chadema Tanzania
@ChademaTZ2
Followers
29K
Following
1
Media
956
Statuses
1K
The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
Mikocheni, Dar es salaam
Joined April 2025
Ether's unique position in a world of stablecoins Thesis: Stablecoins will dominate pricing. ETH will dominate reserve. And the more stablecoins succeed, the stronger ETH’s position becomes. 1. Front-end chains give ETH cultural gravity. L2s settle to Ethereum. They adopt
4
8
14
Tarehe 14 Oktoba kila mwaka kama Taifa huwa tunaadhimisha kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Mwaka huu Chama kitaadhimisha siku hii kidigitali kwa kuwakutamisha wazungumzaji mbalimbali katika #BarazaLaKidigitali. Wakili @TitoMagoti atakuwepo.
2
86
466
Tarehe 14 Oktoba kila mwaka kama Taifa huwa tunaadhimisha kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Mwaka huu Chama kitaadhimisha siku hii kidigitali kwa kuwakutamisha wazungumzaji mbalimbali katika #BarazaLaKidigitali. Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika atajuwepo.
2
78
379
Tarehe 14 Oktoba kila mwaka kama Taifa huwa tunaadhimisha kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere. Mwaka huu Chama kitaadhimisha siku hii kidigitali kwa kuwakutamisha wazungumzaji mbalimbali katika #BarazaLaKidigitali. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo atakuwa
7
167
731
Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. @HecheJohn, amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza
22
136
774
"Tupo katika wakati mbaya kuliko wakati wowote katika nchi hii, wakati sisi tunapigania watu wasitekwe, kuna wanaotuwinda wanasema tunataka kuchafua amani ya nchi, kwamba watekaji hawachafui amani sisi tunaosema watu wasitekwe ndio tunachafua amani." Mhe. @HecheJohn
32
162
567
Kesi imeahirishwa mpaka Jumatatu tarehe 13 Oktoba 2025.
1
66
335
"Be strong" Mhe. @TunduALissu Awatia moyo wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema waliohudhuria mahakamani leo tarehe 09 Oktoba 2025.
4
109
463
"Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa Mhe. @TunduALissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
9
169
679
Abduction Cases in Tanzania Between October 1st and October 9th, 2025.
3
112
368
Taarifa za Matukio ya Utekaji Nchini Tanzania Kuanzia Tarehe 1 Oktoba hadi 9 Oktoba 2025.
24
126
400
How to keep your Bitcoin, ETH and other crypto assets safe? Use a seed phrase → risk losing your crypto. Use BC Vault → keep your assets safe and under your control. It’s that simple. No seed phrase. No single point of failure. 100% security.
2
7
22
"Kukosoa Serikali siyo, Kumkosoa Rais Samia Suluhu si kosa, kama hataki kukosolewa aachie uongozi wa nchi." Mhe. @HecheJohn
3
130
557
Mhe. @TunduALissu akikusanya makabrasha baada ya kumalizana na shahidi wa kwanza leo tarehe 08 Oktoba 2025. Kesi imeahirishwa mpaka kesho tarehe 09 Oktoba 2025.
12
164
710