thomasjkibwana Profile Banner
Thomas J. Kibwana Profile
Thomas J. Kibwana

@thomasjkibwana

Followers
10K
Following
13K
Media
4K
Statuses
62K

Tanzania Kwanza| Occasional appearance on T.V. and Radio| Unofficial brand ambassador for Tanga| Professional jobless| Aspiring provocateur

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
4 years
Ephs 3:20 Never doubtย Godโ€™s mighty power to work in you & accomplish all this. He will achieve infinitely more than your greatest request, your most unbelievable dream, & exceed your wildest imagination! He will outdo them all, for his miraculous power constantly energizes you.
7
38
161
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
16 hours
Muue ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
@bichwaa
Akura Fury
17 hours
Frey: Mkuu, ukifika kwenye mic useme kuna vijana wamegawiwa 5B ya uchochezi. Mkuu: Kuna kijana mmoja kapewa 5B ili atukatae. Frey: Naona mkuu hakunisikia vizuri. Raia: Mkuu hasikilizi raia. Frey: Mkuu ni msikivu sana ndugu raia.
1
0
3
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
2 days
NATO haina jeshi lake maalumu linaloitwa โ€œjeshi la NATOโ€ (NATO standing army). Badala yake, kila nchi mwanachama (mfano Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Poland n.k.) ina jeshi lake la taifa, na majeshi hayo yanaweza kupelekwa kutekeleza majukumu chini ya amri ya NATO
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
2 days
@thomasjkibwana What does it take to be a soldier in the NATO army ๐Ÿ˜…
5
10
27
@Your2qh
You
2 days
@Ugo0011 @thomasjkibwana Tayar kuna kitu unakiamini , Hata niongee vipi huwez nielewa, Infacts TL yako na Retweets zako talks more on what you believe in , I will rest my case , Stakujibu tena
1
1
1
@CoolestDudeOnX
PaYRoLL๐Ÿ—ฝ
2 days
@amina_hafidh @thomasjkibwana Thomas Kibwana na Mwita C Mwita ndo vipanga wa mfumo?
0
1
4
@Ugo0011
MAUGO JR
2 days
@thomasjkibwana @Your2qh Mzee mambo uliyochambu na ujinga tu nothing new endelea kulamba matako na kusifiwa na machawa wenzako
1
1
1
@Ulimwengu01
Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท
2 days
0
1
2
@Your2qh
You
2 days
@Ulimwengu01 @thomasjkibwana You cant argue with facts , Wengi wanaropoka , they dont talk facts at al
1
1
1
@mwanasconcho
@MWANASCONCHO
2 days
@amina_hafidh @thomasjkibwana Hakuna madini huko mnajifariji shetani wakubwa
0
1
1
@Ugo0011
MAUGO JR
2 days
@amina_hafidh @thomasjkibwana Kibwana ni chawa wa CCM yupo kupata teuzi hakuna mtu wa ccm saivi hanaweza kutema madini zaidi ya ujinga
0
1
6
@amina_hafidh
mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’
2 days
Kaka @thomasjkibwana anatemaga madini sana Ubarikiwe mno๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
9
7
27
@1ngadu1
Ngadu
3 days
@amina_hafidh Mtaalamu @thomasjkibwana anatema sana madini
2
1
3
@Your2qh
You
2 days
@thomasjkibwana A man full of facts , listened to you in space , umemake your points clear safi mzee its good kuchambua mambo before anything๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
2
2
2
@Baba_Alvin9
Mujuni Kajara HR
3 days
@thomasjkibwana Ila bajeti lazima ipitishwe na madiwani,,
1
1
1
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
3 days
Mamlaka ya kiutawala wa Miji na Majiji (Town & City Council) ziko chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri (District Executive Commisioner) na sio Meya. Meya ana mamlaka ya kisiasa lakini DED ana mamlaka ya kiutawala. Baraza la Madiwani, chini ya Meya, wanatengeneza bajeti ila
@BarakaMaviatu
Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’
4 days
Naomba kuelewa, kwa nini katika nchi nyingine, mameya wanaonekana kuwa na nguvu kubwa, lakini hapa kwetu, ni kama mameya hawapo? Ukiacha Boniyai.
7
14
29
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
3 days
Kwa haraka haraka huyu mwali nikadhani dada angu @RahmaMwita maana wamefanana balaa ๐Ÿ˜….
@Mwinshehe07
Mwinshehe ๐Ÿ•Š๏ธ
3 days
Asubuhi hii baba yangu mzee kanjunjumele amefunga ndoa na mke wake wa 47. Alhamadulilah ๐Ÿ™
1
1
8
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
4 days
Kasheshe๐Ÿ˜ƒ
@Kenyans
Kenyans.co.ke
4 days
I will permanently pause migration from all Third World Countries - President Trump
0
0
4
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
6 days
โ€œThe truth takes the stairs, slow, steady, and enduring, while lies take the elevator, fast, tempting, but destined to crash.โ€
45
57
169
@thomasjkibwana
Thomas J. Kibwana
6 days
"Freedom is not free" ๐Ÿ‘€
8
1
23
@AfricaFactsZone
Africa Facts Zone
7 days
Africa's Best Countries To Visit in Your Lifetime 1. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 2. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 3. Cape Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป 4. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ 5. Mozambique ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ 6. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 7. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Source: CEOWorld Magazine.
192
479
4K
@AfricaFactsZone
Africa Facts Zone
8 days
Africa's Most Visited Countries (2024) 1. Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ - 17.4 million tourists 2. Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ - 15.7 million 3. Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ - 10.25 million 4. South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ - 8.92 million 5. Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ - 3.5 million 6. Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช - 2.4 million 7. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - 2.14 million 8. Zimbabwe ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ -
344
654
6K