
Tito Magoti
@TitoMagoti
Followers
275K
Following
0
Media
5K
Statuses
118K
Tundu-Lissuism, Law & Human Rights.
Joined October 2013
My dawg Jebra Kambole, Snr Counsels & the boys, thank you for tirelessly supporting SC Tundu Lissu. Weโll one day look back & rejoice knowing we fought a noble cause. Solidarity. ^TM.
VIDEO:. Leo Julai 16, 2025 shauri la Maombi ya Merejeo lililofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu limeahirishwa mpaka tarehe 12/08/2025. Lissu anaiomba mahakama itamke kwamba siku 09/06/2025(kwenye shauri namba 8606/2025 la kuchapisha taarifa za uongo) Hakimu Mfawidhi
0
0
11
Hadi mbogamboga wanazungumzia reforms, alafu mpinzani mwitu anawaza uchaguzi kwakuwa tu ameahidiwa viti viwili bungeni. Hivi hamfahamu zama hubadilika?. WaTZ wa leo ukiwa tapeli la kisiasa watasikiliza na kukwambia: โsawa lakini wewe ni tapeli.โ. #NoReformsNoElection.
5
21
77
RT @laki_0_rick: @TitoMagoti @Nnauye_Nape Ni kutokujiheshimu na tabia za kishenzi kumlaghai mwananchi mwenye hali duni, ili ujipatie cheo nโฆ.
0
1
0
RT @spana_Konki: Gwajima: Nilishauri watu wasitekwe kanisa likafungwa, leo nimeshauri reforms zifanyike sijui watafungia nini kingine. ๐.
0
130
0
Nimeona picha za class mate wangu @Nnauye_Nape nikasema haya bana! And they call it politics. Politics imekuwa reduced ktk fungu sawa na ulaghai na utapeli. tena vs watu wasio na taarifa. What happened to morality?
Hiki ni kipindi, waheshimiwa hawataki kabisa kuitwa waheshimiwa. Sasa waheshimiwa wanatumia public transport. Sasa waheshimiwa wanasalimia kila mtu gulioni. Sasa waheshimiwa wanachota maji na wanabeba ndoo kichwani. Sasa waheshimiwa wanatumia bodaboda na guta na Carina, na Vitz,.
19
28
188
Expert @mbanje_tendai & I penned down a piece on what you need to know ahead of Tanzaniaโs 2025 general election >>
2
50
142
Ni ulaghai na usanii tu. Hata wawe 100, katika jumba lenye majority hawafui dafu. Sisi sio wageni wa law making process. Bunge letu halitungi sheria. Linahalalisha matakwa ya dola, albeit with slight variations. Kwahiyo najitenga na waf/biashara wa kisiasa. Nataka mageuzi.
@TitoMagoti @JumaMshana028 Kaka unamaanisha kelele za wabunge 20 wa upinzani bungeni hazitazuia kupitishwa kwa sheria mbovu? Tumeambiwa tutalinda kura angalau tupate wabunge 20.
4
39
218
RT @MpaleMpoki: Kikosi kazi was a scam, a hoax, a sham, a rip off ans big a sham.It was a project.
0
31
0
Anaandika Mwanazuoni Christian Bwaya. Simpingi. Tutafakari pamoja naye.
Dini, kwa tabaka la chini, ni nyenzo ya kukuza imani, kuisaka โmaanaโ ya safari ya maisha na kichocheo cha matumaini. Dini, kwa viongozi wengi wa dini, ni nyenzo ya ujenzi wa himaya, mamlaka, madaraka, umiliki na nguvu ya kudhibiti maamuzi ya tabaka lisilo na matumaini.
3
19
175
RT @bwaya: Dini, kwa tabaka la chini, ni nyenzo ya kukuza imani, kuisaka โmaanaโ ya safari ya maisha na kichocheo cha matumaini. Dini, kwโฆ.
0
77
0
Mtaumizwa na sio uongo. Na mtarudi hapa kulia mmeibiwa kura au kupigwa na mapolisiccm. Shirikini huo upumbavu peke yenu. Na kama mna kura za kutosha mjipigie.
@TitoMagoti Una panic bure tu kwenye nchi hii hakuna uchaguzi umewahi kufanyika na kusiwe na malalamiko so hatutakua wa kwanza kulalamikia Rafu za Uchaguzi. Naona mnatamani tuumizwe au tuuwawe huko kwenye uchaguzi aise.
3
15
109