Abdul-Aziz Carter Profile Banner
Abdul-Aziz Carter Profile
Abdul-Aziz Carter

@aziz_carter

Followers
1,801
Following
7,502
Media
1,735
Statuses
142,324

Cornerstone leadership Academy Alumni & University of Dar es salaam & Sucessionist.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
12 days
Professor Rwekaza Mukandala Amenifundisha kozi ya "Organization Theory" yenye kozi code ( PS 220) , Nikiwa mwaka wa 2, Semister ya 1, He is a first class mind. @UdsmOfficial
Tweet media one
Tweet media two
0
1
6
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
1993 aliyekuwa MBUNGE wa CHUNYA,Njelu Kasaka aliongoza kundi la WABUNGE 55 kupeleka AZIMIO BUNGENI la kudai kurudishwa kwa TANGANYIKA na kuundwa kwa MUUNGANO wa SERIKALI 3,WATANGANYIKA & WAZANZIBAR tuendelee kudai MUUNGANO wa SERIKALI 3. @SuluhuSamia @freemanmbowe @zittokabwe
Tweet media one
11
44
189
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Future president
Tweet media one
90
10
167
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
19 days
Jana Mei 15,2024 Wanafunzi wa UDSM, Wanaosoma KI 117 Wamegoma kufanya Mtihani baada ya Wanafunzi wenzao kutoruhusiwa kufanya mitihani kwa kushindwa kulipa Ada, @wizara_elimuTz @UdsmOfficial @jmkikwete @zittokabwe @MariaSTsehai @ExMayorUbungo @fatma_karume @EduTalkTz
Tweet media one
44
35
166
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Viongozi wanao ona mbali hawasusi,wana shauri na kutoa muongozo wa nini kifanyike,viongozi wanao pambana kwa maslahi ya wananchi,wana weka taifa mbele chama kinafuata nyuma
Tweet media one
40
19
127
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
4 months
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (ACT-UDSM) kwa UMOJA wetu, tumekubaliana kwamba ndugu yetu @abdulnondo2 amepoteza SIFA za kuendelea kuiongoza NGOME ya VIJANA na hivyo @juliusmassabo ndio chaguo sahihi kwa sasa.
Tweet media one
Tweet media two
28
10
82
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Viongozi wa chuo kikuu Dar es salaam ACT Wazalendo wakiwa na Makamu wa kwanza wa Raisi Zanzibar
Tweet media one
4
29
82
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
Wakati @bunge_tz linapuuza MAONI ya WANANCHI katika sakata la MKATABA wa BANDARI,Nchini USWISI kama MWANANCHI 1 akiweza kukusanya SAHIHI 50,000 ndani ya siku 100 kupinga SHERIA au MAAMUZI ya BUNGE, Inaitishwa KURA YA KITAIFA . @SuluhuSamia @freemanmbowe @zittokabwe @kitilam
Tweet media one
4
10
66
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
ICSID case No. ARD/17/21 ni kesi ya MKATABA wa MAKUBALIANO wa BANDARI kati ya DP World na SERIKALI ya BELGIUM ya September 19,2017 iliyosikilizwa na Kituo cha KIMATAIFA cha UTATUZI wa MIGOGORO ya UWEKEZAJI (ICSID),WATANGANYIKA TUAMKE. @freemanmbowe @zittokabwe
Tweet media one
2
12
62
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
@ExMayorUbungo @SuluhuSamia This is too much, Jifunzeni kukosoa kwa hoja na siyo kuvunja heshimu za watu wengine,ndio mana mnadharaulika kwa kukosoa hata mambo ambayo hayahitaji ukosoaji
39
1
60
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Kiongozi wa ACT Wazalendo zitto zuberi kabwe akiwa katika maandalizi ya mkutano wa Amani nchini italia
Tweet media one
10
8
52
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
SENEGAMBIA CONFEDERATION: Ulikua ni MUUNGANO kati ya SENEGAL na GAMBIA, Ulianza Februari 1, 1982 na KUVUNJIKA Septemba 30,1989 MUUNGANO ULIVUNJIKA baada ya GAMBIA KUJITOA kwa kuona ANAMEZWA na SENEGAL katika MUUNGANO huo. KUVUNJA MUUNGANO WA TANGANYIKA & ZANZIBAR #INAWEZEKANA
Tweet media one
2
15
53
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
"The Union of African States" Ulikua MUUNGANO wa nchi 3 ,ambazo ni Ghana (Kwame Nkurumah), Guinea (Ahmed Sekou Toure) na Mali ( Madibo Keita). Uliundwa mwaka 1958 na KUVUNJIKA mwaka 1963 , KUVUNJA MUUNGANO wa TANGANYIKA & ZANZIBAR #INAWEZEKANA
Tweet media one
3
9
52
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam Abdul-Aziz Ally Carter akipokea darasa kutoka kwa katibu mkuu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa sasa katika siasa za Tanzania ndugu Ado Shaibu @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu
Tweet media one
2
12
48
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania zitto zuberi kabwe katika picha moja na mgombea urais wa Kenya Raila Odinga @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu @abdulnondo2 @Mwanaishamndeme @drnasranassor @juliusmassabo @RachelKimambo
Tweet media one
12
10
45
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Bodi ya Rufaa UDSM ni UVCCM ,Mei 09,2023 imefanya maamuzi kwa maslahi mapama ya ya chama chao (CCM),Hakuna haki na usawa DARUSO-UDSM kesho Mei 11,2023 tunapeleka Malalamiko yetu Umoja wa Mataifa @SuluhuSamia @jmkikwete @zittokabwe @jjmnyika @abdulnondo2 @MkanzaIdd @John_Pambalu
Tweet media one
3
10
44
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tulipotoka,Tulipo & Tunapoelekea
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
12
42
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
18/09/2014 SCOTLAND ilipiga KURA YA MAONI kuamua MUSTAKABALI wa MUUNGANO wake na UK uliodumu kwa miaka 307,Ambapo 55.3% walitaka MUUNGANO uendele na 44.7% walitaka UVUNJIKE. MUUNGANO wa TANGANYIKA & ZANZIBAR uamuliwe na WANANCHI kwa KURA ya MAONI. @freemanmbowe @zittokabwe
Tweet media one
4
5
43
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
The future is purple
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
13
39
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Ahsante sana kaka,Mwalimu & kiongozi wangu Ado Shaibu, nashukuru kwa dhati kwa kunipa nafasi ya kujifunza siasa kwa vitendo, Ntaendelea kuishi kauli yako"SIASA HALISI ZIKO FIELD" @AdoShaibu @ACTBarazaKivuli @ActBuhigwe @ACTZanzibar @ACTwazalendo1 @ActUdsm @ActUdom
Tweet media one
2
16
39
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
49
37
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Lindi kumekucha..............
Tweet media one
0
11
38
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam katika picha moja na mwenyekiti wa vijana mkoa wa Lindi...... mapambano yanaendelea
Tweet media one
1
7
37
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Hongera katibu Mkuu ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu kwa kazi nzuri,Mama zetu wanaguswa na namna unavyo sikiliza changamoto zao na kuzisemea @AdoShaibu
@AdoShaibu
Ado Shaibu
2 years
Hili si Kongamano, ni Kikao na viongozi wa Wanawake Tanga kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano la Nne la Kitaifa la Tume Huru ya Uchaguzi Kuelekea Katiba Mpya.
Tweet media one
1
17
38
0
14
34
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Updates: 📸 Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndg. @AdoShaibu mara baada ya kuwasili Jijini Mwanza mapema leo amefika Ofisi ya Chama Mkoa na kufanya kikao na Kamati ya Uongozi ya Mkoa ikiwa ni utekelezaji wa Ziara yake mkoani humo. #ACTKiganjani #WeAreTheFuture #TheFutureIsPurple
Tweet media one
0
14
33
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
MAMLAKA KAMILI
Tweet media one
0
11
37
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
1
11
35
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam,Tumetumia kipindi hiki cha likizo kushiriki katika harakati za chama,Leo tumeshiriki zoezi la ACT Kiganjani,Dar es salaam,Jimbo la Temeke @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu @abdulnondo2
Tweet media one
0
15
34
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
CHADEMA mmefia wapi,Tuwalete Jeneza? @zittokabwe @AdoShaibu
Tweet media one
Tweet media two
6
8
33
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo Ndg. @zittokabwe akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Mhe. @tonytogolani baada ya Kiongozi huyo na Katibu wake Ndg. @seif_abalhassan kutembelea Ubalozini hapo, Seoul leo Septemba 30, 2022.
Tweet media one
1
11
33
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
13 days
Jana, Mei 21,2024 baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo Chuo kikuu cha Dar Es salaam @UdsmOfficial Wamejitokeza kumsalimu kiongozi wa chama mstaafu ndugu @zittokabwe baada ya kumalizika kwa Mhadhara wa Uprofesa katika ukumbi maarufu wa Nkrumah.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
19
33
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Bibi Titi akiwa katika harakati za kudai uhuru wa TANGANYIKA
Tweet media one
1
9
32
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
13
30
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Vijana tumeamua......... @zittokabwe @IsmailJussa @ado
Tweet media one
4
9
32
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
"Vijana ndio waathirika wakubwa wa matendo ya Polisi.Vijana hupigwa risasi,Vijana kukamatwa na kusingiziwa kesi.Hii ni kwasababu aina ya jeshi letu la polisi ni jeshi la kupokea maagizo na kutumia nguvu,tunahitaji mabadiliko ya sheria ili tuwe na Jeshi lenye weledi" @abdulnondo2
Tweet media one
2
10
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
WATANGANYIKA katika harakati za kudai UHURU,Harakati za kupigania UHURU zilifanywa na watu wengi lakini ni Nyerere pekee ndiye anayetajwa linapokuja suala la UHURU wa TANGANYIKA.
Tweet media one
4
6
32
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania,Tunakipongeza chama cha ACT Wazalendo kwa kutenga mda wake,kukutana na wananchi maeneo mbalimbali ya nchi kusikiliza changamoto zao na kuzisemea. @zittokabwe @mbowe @chongolo_daniel
Tweet media one
2
9
31
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
VIJANA wa TANZANIA tumeanza kuelewa kwanini MATAIFA ya wenzetu kama PAKISTAN, UFARANSA nk wana ANDAMANA na kulazimisha MABADILIKO ya UONGOZI, BUNGE & VIONGOZI hawako upande wa WANANCHI, Ni muda wa WANANCHI kujisimamia. @SuluhuSamia & @zittokabwe @freemanmbowetz @jjmnyika
Tweet media one
Tweet media two
1
14
30
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Happy birthday Kiongozi wa chama ndugu @zittokabwe
Tweet media one
0
5
30
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Diplomacy @zittokabwe
Tweet media one
0
10
31
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amehitimisha ziara yake leo 18 Septemba,2022 katika Jimbo la Mpendae Mkoa wa Kichama Mjini. Ziara hii ni ya ujenzi wa chama kama ilivyo kwenye maazimio ya vikao vya chama mwaka 2022 ni Mwaka wa ujenzi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
29
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Mpigania UHURU wa TANGANYIKA
Tweet media one
3
9
29
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
"Serikali tayari inatoza kodi miamala yote ya huduma za kifedha. Kuongeza tozo nyingine siyo HAKI kwa watumiaji. Mwaka jana tumeshuhudia anguko la 30% miamala ya simu shauri ya tozo. Hizi tozo zitapunguza mzunguko wa Fedha ktk mabenki,watu watatunza fedha majumbani!" @zittokabwe
Tweet media one
1
10
29
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Katibu Mkuu, @AdoShaibu ambaye pia ndiye Mlezi wa Mkoa wa Mwanza tayari amekwisha wasili Jijini Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya ujenzi wa chama ya siku tatu. Amepokelewa mapema leo katika Uwanja wa Ndege Mwanza na Katibu wa Chama cha ACT wazalendo Mkoa, Ndugu Emanuel Mashiku.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
13
28
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
13 days
Katibu wa Idara ya vyuo vikuu ACT Wazalendo ndugu @HusseinBaswari1 akifanya Uwasilishaji (Presentation) katika mafunzo ya Uongozi yanayoendelea nchini Kenya chini ya program for young politicians in Africa (PYPA), @zittokabwe @abdulnondo2 @juliusmassabo @Vicent_Kassala
Tweet media one
Tweet media two
2
11
29
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
19 days
Tamko la Uongozi wa ACT Wazalendo UDSM, Baada ya Jopo la wanafunzi kuzuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kulipa Ada na matumizi ya nguvu ya Polisi.⤵️ @zittokabwe @jmkikwete @UdsmOfficial @thomasjkibwana @abdulnondo2 @juliusmassabo @Vicent_Kassala @wizara_elimuTz @Amiriback
Tweet media one
3
21
29
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
15
28
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam akiwa na Mwenyekiti wa ngome ya vijana Abdul Nondo na Makamu mwenyekiti ngome ndugu Misango katika safari ya ujenzi wa chama @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu
Tweet media one
1
12
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
9 months
Wanafunzi @UdsmOfficial tunataka pesa zetu tulizolipishwa ADA kwa ahadi kuwa @HESLBTanzania itazirudisha Julai 15,2023 ikifika Novemba 7,2023 Tutazungumza na VYOMBO VYA HABARI na kutoa TAMKO ZITO, MAAMUZI MAGUMU @SuluhuSamia @jmkikwete @usembassytz @SweAmbTZ @UNHumanRights
Tweet media one
4
7
28
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
10
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Wanafunzi chuo kikuu Dar es salaam leo 25/08/2022 tumeshiriki katika ziara ya ujenzi wa chama ya katibu Mkuu ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu Jimbo la Segerea,Mkoa Dar es salaam @zittokabwe @IsmailJussa @juma_duni2 @othmasoud @SemuDorothy @abdulnondo2 @Mwanaishamndeme
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
10
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Warrior @AdoShaibu
Tweet media one
1
7
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Ndugu,Dorothy Semu akizungumza na viongozi wa wanafunzi wa ACT Wazalendo vyuo vikuu makao makuu ya chama. @zittokabwe @SemuDorothy @IsmailJussa @Isihakamchinji1 @JiniKinyonga @drnasranassor @scotchakida
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
"Hizi tozo tozo zitashusha ari na hamasa ya watu kutumia mifumo rasmi ya kifedha na hiyo italeta athari mbaya katika juhudi kubwa zilizokwishafanyika huko nyuma. Kwa Miaka 10 iliyopita wakulima wamehamasika kutumia mifumo hii na kujikwamua. Tozo zitaua juhudi hizi." @zittokabwe
Tweet media one
0
8
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Viongozi wa @NgomeyaVijana , Makam Mwenyekiti Bara @SelemaniMisango , Naibu Katibu wa Habari na Uenezi @IshikaAnthonyTz , Afisa Habari @Presidenttz3 Mwenyekiti ACT UDSM @azizi_carter kwenye Maandalizi ya Kongamano la Siku ya Vijana kitaifa litakalofanyika Mkoani Lindi tar 12.8.2022
Tweet media one
0
10
26
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
@ExMayorUbungo Ndugu @ExMayorUbungo Tungeshinda Ungetuita CCM B, CCM 1 na Majina mengine ya dhihaka,Kushindwa kwenye Bunge lenye Idadi kubwa ya wabunge wa CCM ni Ishara kwamba ACT ni wapinzani wa kweli na siyo vibaraka wa CCM kama mnavyotaka kuaminisha watu @JiniKinyonga
14
5
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Ndugu @spencer_minja na @amb_bernadette tuna furahishwa na tabia yenu ya kupokea Changamoto za wanachuo UDSM na kuzifanyia kazi richa ya ugumu wa kimfumo uliopo,ni matarajio yetu mtaendelea kupigania maslahi ya wanachuo UDSM kipindi chote cha uongozi wenu.
2
7
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
7
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti ACT-UDSM na Mwenyekiti ACT-IFM katika picha moja, Harakati zinaendelea...... @zittokabwe @IsmailJussa @Isihakamchinji1 @JiniKinyonga @president_tz @drnasranassor @scotchakida
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
13
27
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
1
8
24
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
8 months
"I am thankful to all those who said NO to me,it is because of them, I did it myself" Albert Einstein
Tweet media one
0
7
26
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
1
9
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
18 days
Leo Mei 17, 2024 Katibu wa Idara ya vyuo vikuu ACT Wazalendo ndugu @HusseinBaswari1 ameelekea nchini Kenya kushiriki programu ya mafunzo, Inayoendeshwa na taasisi ya Program for young politicians in Africa (PYPA). @zittokabwe
Tweet media one
5
11
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Ngome ya Vijana Taifa imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mwanachama wa ACT Wazalendo Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndg. David Harun Msethi kilichotokea nyumbani kwao jijini Mwanza. Tunatoa pole kwa familia na Uongozi wa @ACTwazalendo1 kwa msiba
Tweet media one
3
13
26
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Ni kweli kabisa,vijana tunajihisi tupo nyumbani,ACT Wazalendo inajali na kuthamini vijana kwa kiwango cha juu,inawajengea uwezo na kuwajenga kuwa viongozi wa baadae,imewekeza vilivyo katika eneo hilo, viongozi mnastaili pongezi kwa kutambua umuhimu wa vijana......
Tweet media one
2
10
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Sheria ya vyuo vikuu sura 345 inatoa katazo kwa wanafunzi wa vyuo kujihusisha na siasa za vyama katika mazingira ya chuo au makazi ya wanafunzi,sheria hii inakiuka makubaliano ya kimataifa juu ya haki za kiraia na kisiasa ya 1996 @SuluhuSamia @majaliwa_kassim @zittokabwe
Tweet media one
1
8
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Wapigania UHURU wa TANGANYIKA, Tofauti na Nyerere nani mwengine unamfahamu?
Tweet media one
7
6
26
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Viongozi imara,chama imara @AdoShaibu @drnasranassor
Tweet media one
3
3
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Baadhi ya viongozi wa Ngome ya vijana ACT Wazalendo Dar es salaam,wakiwa katika shughuli za ujenzi wa chama Jimbo la Temeke kata ya Tandika
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
26
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
1
11
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tunafika mpaka vijijini kusikiliza changamoto.......... @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu
Tweet media one
1
9
23
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Moto umewaka.......na hakuna dalili ya kuzimika,Visiwani umewaka,Bara umewaka......Vijana mchakamchaka @zittokabwe @IsmailJussa @juma_duni2 @othmasoud @semu @AdoShaibu
Tweet media one
Tweet media two
2
6
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam tukiwa na uongozi wa ACT wazalendo tayari kwa majukumu ya ujenzi wa chama @zittokabwe @ACTZanzibar @ACTBarazaKivuli
Tweet media one
1
11
24
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
9 months
@EduTalkTz Brother @EduTalkTz I'm also unhappy the way nchi yetu inavyoendeshwa ila kwa hili naomba nikuelimishe,kila wizara ina bureaucrats wenye ujuzi na maarifa kuhusu wizara husika wajibu wao mkubwa ni kuwashauri mawaziri kwenye masuala mbalimbali ktk wizara husika.
6
0
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Leo Novemba 12 uongozi ACT UDSM umeshirikiana na Ngome ya mkoa wa Dar es salaam katika kutoa mafunzo ya uongozi Jimbo la Segerea.
Tweet media one
0
15
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
9
24
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
8 months
MATOKEO YA MKOPO: Huyu MWANAFUNZI anatakiwa kulipa Ada ya 1,300,000 & SERIKALI kupitia @HESLBTanzania imempatia mkopo wa 230,000 tu sawa na 17% , Ada iliyobaki ni 1,070,000 anatakiwa kuilipa yeye. @TSNP_Wanafunzi @TahlisoOfficial @wizara_elimuTz @wemazanzibar
Tweet media one
8
15
25
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Tweet media one
0
12
24
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
By far most @IsmailJussa is the most competent politician in Tanzania & The greatest gift Zanzibar has got since Maalim Seif. @zittokabwe @chongolo_daniel @jjmnyika
Tweet media one
0
7
24
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Jana Lindi,Leo Pemba vijana katika ujenzi wa chama @zittokabwe @IsmailJussa @juma_duni2 @othmasoud @SemuDorothy
Tweet media one
1
6
18
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
12
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
We are so proud of ACT Wazalendo We are so proud of zitto kabwe We are so proud of our Party leaders We are extremely happy We are extremely proud @zittokabwe @SemuDorothy @IsmailJussa @drnasranassor @RachelKimambo @Isihakamchinji1 @JiniKinyonga @allysalehznz
Tweet media one
Tweet media two
1
17
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Baada ya kongamano la vijana mkoani Lindi,Mwenyekiti wa ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam Abdul-Aziz Ally Carter ameshiriki pamoja na ngome ya vijana kwenye zoezi la kujitolea Damu @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu
Tweet media one
1
8
21
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
7 months
Uongozi wa ACT-UDSM na baadhi ya wanachama, leo Novemba 17, umekutana kujadili shughuli za ujenzi wa chama pamoja na mchakato wa zoezi la Usajili kwa wanachama wapya. #ACTWAZALENDO #UDSM @zittokabwe @juliusmassabo @Vicent_Kassala @SevelinaMola
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
19
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
M/kiti ACT-UDSM (Abdul-Aziz Carter) na baadhi ya wanachama ACT Wazalendo chuo kikuu cha Dar es salaam @zittokabwe @scotchakida @Isihakamchinji1 @JiniKinyonga @Vicent_Kassala @RachelKimambo @BussaraJr @allysalehznz @AnthonyishikaTZ
Tweet media one
Tweet media two
3
13
23
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
11 months
KATIBA ya ICELAND Ibara ya 7 "Iwapo RAIS #KAFARIKI au #KUJIUZULU kabla ya muda wake wa kuitumikia nafasi hiyo kuisha, UCHAGUZI utaitishwa na RAIS mpya atachaguliwa kwa KURA za WANANCHI..." TATIZO tunaongozwa na RAIS ambaye #HATUKUMCHAGUA #KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
Tweet media one
3
6
23
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
Leo Mei 11,2023 Umoja wa vyama vya upinzani vyuo vikuu, Tumetuma Malalamiko yetu juu ya uvunjifu wa haki za kisiasa vyuoni kwenda Umoja wa Mataifa. @civic_front @juvicuf_tz
Tweet media one
1
11
23
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
1
21
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Kuna jopo la wanafunzi wa vyuo wameshindwa kufanya mitihani (UE) na baadhi yao wamelazimika kuhailisha mwaka wa masomo kwa kushindwa kulipa Ada na gharama za kujikimu. @SuluhuSamia @zittokabwe @IsmailJussa @AdoShaibu @TSNP_Wanafunzi @fatma_karume @MariaSTsehai @ACTBarazaKivuli
Tweet media one
4
11
20
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Tweet media one
0
6
21
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Katibu wa idara ya vyuo vikuu na vya kati ACT Wazalendo,Tanzania Bara ndugu Samwel Fabian katika picha moja na Mwenyekiti na katibu wa ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam, baada ya kikao cha mikakati ya ujenzi wa chama @JiniKinyonga @Ndolezi_Petro @rollymsouth__ @ActUdsm
Tweet media one
0
10
21
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Habari Picha. Naibu Katibu wa #ACTWAZALENDO Ndugu Joran Bashange( @joran_bashange ) akizungumza katika siku ya Demokrasia Duniani iliyoandaliwa na kituo cha sheria na haki za binadamu( @humanrightstz ) katika ukumbi wa Four Points by Sheraton Dar es salaam
Tweet media one
Tweet media two
0
9
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa ndugu Juma Duni Haji anaendelea na ziara ya ujenzi wa chama Mkoa wa Dar es salaam,Jimbo la Mbagala @zittokabwe @IsmailJussa @juma_duni2 @othmasoud @SemuDorothy @AdoShaibu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
8
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
17 days
Special compliment kutoka kwa lecturer wangu @Sabatho7 , "Mapambano ya kupigania Tabaka la Wanyonge ni mapambano Endelevu." @zittokabwe
Tweet media one
4
5
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
📍Air Port Pemba M/Kiti wa ACT Wazalendo Juma Duni Haji Awasili Kisiwani Pemba kwa Ziara ya Siku Moja. Ziara ya Kutoa Mkono wa pole Kwa Familia za Marehemu Waliofariki kwa Ajali ya Gari Maangwi na Kuwafariji Majeruhi ambao bado wamelazwa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani.
Tweet media one
1
6
21
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
1 year
zimetatuliwa hoja 25 kati ya 21!!!!! @MariaSTsehai @idrisamkeheka
Tweet media one
12
6
22
@aziz_carter
Abdul-Aziz Carter
2 years
Mwenyekiti ACT Wazalendo chuo kikuu Dar es salaam ametoa wito kwa wadau mbalimbali nchini, wanasiasa,wanaharakati,wasomi na makundi mengine kupaza sauti juu ya changamoto ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu @fatma_karume @zittokabwe @jjmnyika @abdulnondo2 @John_Pambalu
Tweet media one
0
9
22