
Sabatho Nyamsenda
@Sabatho7
Followers
3K
Following
4K
Media
219
Statuses
4K
Faculty Member, University of Dar es Salaam
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2015
Nakukaribisha kusoma kitabu kipya nilichokihariri, kiitwacho WAMACHINGA NA HAKI-JIJI NCHINI TANZANIA. Pakua nakala tepe kupitia kiunganishi hiki .👇🏿.
7
38
83
RT @UNHABITAT: A bicycle-friendly city is a place where cycling is safe, convenient, and accessible for everyone. UN-Habitat works with g….
0
143
0
RT @MabalaMakengeza: The logic of repression continues. If you use violence to silence 1 person whose ideas/words they don't like, at least….
0
129
0
RT @DevEconNetwork: Sabatho Nyamsenda on the debate between Nyerere and Nkrumah on South-South-Solidairy and a trade union of the poor. ‘A….
0
4
0
RT @DevEconNetwork: Ahead of the 🌍 Conference on 70 Years After Bandung June 2–3, 2025 IDEAs, BCIS & YUKTHI are pleased to share blogs by e….
0
20
0
RT @Octavianlasway: Hakuna Nchi inayoendelea kwa kuleta wajenzi wa nje kuja kuwajengea ! Pesa ni za kwetu ila tunaamua kuzigawa kwa wengine….
0
52
0
CCM inao watu wengi tu wenye busara za kiuongozi na uwezo wa kitaaluma wa kung’amua hekimi za Mzee Warioba katika kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Badala yake kimeamua kuweka pamba masikioni na kumwachia mzee wa “mpox,” ambaye haelewi kama nchi ipo katika mkwamo!.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema wamepokea ushauri wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alioutoa juu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa, ila kwa sasa chama chake hakina mgogoro wowote na CHADEMA. Kauli ya Makalla
5
7
35
RT @IAMartin_: Adv. Peter Patience Kibatala, @PKibatala, akieleza mjumuiko wa masuala mengi ambayo yanaendelea katika kesi ya @TunduALissu….
0
277
0
RT @AfricaArchives_: "At first, when my loyal ADC told me about the quest of the white pawns on the board to throw me overboard, giving him….
0
19
0
RT @AdameMedia: "They offered me $5 million to shoot Ibrahim Traoré from behind specifically when he bends to pray to Allah. They promised….
0
3K
0
Hatua hii iwabane zaidi wazalishaji wa vinywaji vya kuongeza nishati (energy drinks) ambavyo huzalishwa kwa wingi lakini chupa zake (chupa za rangi) “haziokoteki” kutokana na kutokuwepo kwa teknolojia ya kuzirejeleza. A.
@Sabatho7 @Mtawada_tz @MabalaMakengeza @NomzamoCelia @celestine_mat @kitilam @EduTalkTz @idrisa_kweweta @vicensiashule @MVIWATA @MwananchiNews Tunapoelekea bunge la budget, @mwigulunchemba1 apeleke mswada wa sheria ya fedha, wazalishaji wakubwa wa vinywaji vya aina zote wasiokuwa na recycling plants, wakatwe hata 100 kwa kila chupa kwaajili ya waste management.
0
3
9
Je, unawafahamu hawa jamaa wanaotembea na maroba wakiokota chupa na taka zingine? @Mtawada_tz wanatuambia kila tukiwaona tusimame na kuwaambia asante kwa kuokoa uhai wetu. Wanaokoaje? Soma tamko la @Mtawada_tz khs #MeiMosi2025 hapa chini 👇🏿
Je, tunatambua mashujaa wa kweli wa mazingira yetu?.Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani #meimosi2025 @Mtawada_tz tunatoa #TAMKORASMI kuhusu Hali na Madai ya Haki za Waokota Taka Rejeshi 🇹🇿👇👇👇👇.#meimosi2025 .#SisiniMashujaawaMazingira .#TakaRejeshiniAjira
1
15
19
“Waokota taka rejeshi.hufanya kazi, ambayo inapaswa kugharamiwa na wazalishaji wa taka za plastiki (polluter pays principle). Hata hivyo wazalishaji hao hawatimizi wajibu wao… na hivyo kuwaachia waokota taka rejeshi mzigo mzito wa usafishaji bila ujira unaowawezesha kuishi.”.👇🏿.
Je, tunatambua mashujaa wa kweli wa mazingira yetu?.Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani #meimosi2025 @Mtawada_tz tunatoa #TAMKORASMI kuhusu Hali na Madai ya Haki za Waokota Taka Rejeshi 🇹🇿👇👇👇👇.#meimosi2025 .#SisiniMashujaawaMazingira .#TakaRejeshiniAjira
0
4
6
RT @KwekaOpportuna: One of the indicators of academic freedom in a country is the extent to which ideas from the research conducted by acad….
0
3
0
RT @CODESRIA: In this session, we are discussing about THE KAMPALA DECLARATION IN RETROSPECT. #AFCODESRIACONF
0
6
0