TAHLISO OFFICIAL
@TahlisoOfficial
Followers
713
Following
1K
Media
209
Statuses
303
TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTION STUDENTS ORGANIZATION (TAHLISO)
Tanzania
Joined March 2018
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Tunatoa Pole kwa Rais wetu, Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na Watanzania wote kwa Msiba huu mzito. Pumzika Amani Rais wa Pili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ally Hassan Mwinyi๐
3
0
14
Rais wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati (Tahliso) @TahlisoOfficial Mhe Maria Thomas atakuwepo kama Mgeni Maalumu usipange kukosa.
0
1
11
Nina furaha kutangaza ujio wa kazi yangu ya kitabu. Nawaalika watanzania wenzangu, vijana wenzangu, jamaa na marafiki kusoma kitabu hiki muhimu. #KitabuChaTaifa
#MunguKwanza
#JengaKeshoBora
1
3
3
Tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maombolezo, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa. Pumzika kwa Amani, Baba na Kiongozi wetu๐ #TahlisoNiYetuSote
1
2
8
My President @SuluhuSamia it was such an amazing experience for young people to be part of this coordination. Thank you for honoring the environment. Thank you for honoring young people. Thank you for all you do. Happy birthday, Madam President!
3
18
249
As we are celebrating your birthday @SuluhuSamia , Let every shade of green be a reminder to grow and thrive. ๐ฟ #GreenLifeโ Happy birthday mama Embrace the beauty of nature @GreenSamia_23 @Greenisamissio1 @GreenFaith_Afr @Forumcctza
9
20
69
Happy Birthday Mlezi wetu Daktari Samia Suluhu Hassan, Mwenyezj Mungu akujalie mema mengi na baraka tele katika Maisha yako. Watanzania tunakupenda na tunamuomba Mungu akujalie nguvu, afya njema ili uendelee kutuongoza vyema ๐๐๐น๐ฟ @SuluhuSamia
0
0
6
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania TAHLISO itaadhimisha KONGAMANO LA VYUO VYA KATI NA WADAU WA ELIMU NCHINI Tarehe 27/01/2024. Na mgeni rasmi wa Kongamano hili atakuwa ni Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @KassimMajaliwa_
0
2
10
TAHLISO itaadhimisha KONGAMANO LA VYUO VYA KATI NA WADAU WA ELIMU NCHINI Tarehe 27/01/2024. Na mgeni rasmi wa Kongamano hili atakuwa ni Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @KassimMajaliwa_
0
2
12
๐ Dodoma: WASOMI WATOA ANGALIZO KWA VYAMA VYA SIASA, WAMPA KONGOLE RAIS SAMIA. Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Kati na Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) limempongeza Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu Mchakato wa ukusanyaji wa maoni ya wadau kwa njia ya
6
6
30
Happy Birthday Rais wa TAHLISO Bi. Maria John Thomas๐
1
1
9
Nawatakia Kheri na Baraka Tele Wakristo wote katika maadhimisho ya Sherehe za Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo. Gloria in Excelsis Deo๐ #tahlisoniyetusote๐น๐ฟ
4
1
18
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego akizungumza na TAHLISO pamoja na Wasomi kutoka sehemu mbalimbali Nchini kabla ya kuanza Safari kuelekea Ruaha kwaajili ya kufanya Utalii wa Ndani.
4
5
23
Leo Tunamaliza Kampeni yetu ya Uchangiaji Damu kwa Kishindo. Wasomi wote wa Jiji la Dodoma Tukutane St John University. #ChangiaDamuOkoaMaisha
#KamaMsomi
#UhaiWaoNiJukumuLangu
1
5
14
@TahlisoOfficial @emmahighmark @DrAmosLugimba Hii ni hatua muhimu kuwasilisha upendo kwa vitendo na kuilinda jamii yetuโ๐ป
0
1
3
Wanafunzi kutoka Vyuo Mbalimbali Jijini Arusha Wameshiriki kikamilifu zoezi la Uchangiaji Damu. โKAMA MSOMI UHAI WAO JUKUMU LANGU, CHANGIA DAMU OKOA MAISHAโ #tahlisoniyetusote
#ChangiaDamuOkoaMaisha
#KamaMsomiUhaiWaoJukumuLangu
5
5
22
Mamia ya Wanavyuo Jijini Dar es Salaam waunga mkono Kampeni ya TAHLISO isemayo โKAMA MSOMI UHAI WAO JUKUMU LANGU, CHANGIA DAMU OKOA MAISHA inayoendelea kufanyika katika mikoa yote nchini. Siku ya leo zoezi hili limefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
1
1
18