Dotto Rangimoto
@JiniKinyonga
Followers
28K
Following
22K
Media
24K
Statuses
110K
Poet|Novelist|1st Runner-up @tuzonyerere 2024| Won @KiswahiliPrize 2022 (fiction)|1st Runner-up @KalahariStories 2020|Won @KiswahiliPrize 2017 (poetry) 🇹🇿🇨🇳
Dar es salaam
Joined January 2012
@EdsonNjiwa Siridhiki na utawala wa CCM na siridhiki kabisa na yanayofanywa na Samia. Tutumie kura kumtoa Samia na CCM madarakani. Na iwapo tunaona kura zetu hazithaminiwi na kwa kweli hazithaminiwi, tunatakiwa kuingia BARABARANI na KUANDAMANA. Ni ujinga mkubwa kutaka JESHI LICHUKUE NCHI.
2
1
4
#October29Massacre The first step to redemption is admitting the horror: our people were massacred on October 29 and the bloody days after, an unprecedented atrocity! The October 2025 Massacre will not fade into oblivion like Angola’s forgotten May 1977 slaughter. No, we will
98
29
178
Kutoka kwa KCM @zittokabwe My solemn request to President Samia is admission of deaths and honest condolences to the families, justice and accountability and political and security sector reforms.
thechanzo.com
My solemn request to President Samia is admission of deaths and honest condolences to the families, justice and accountability and political and security sector reforms.
2
0
1
Leo Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndgu @MchinjitaIR amekutana na kuzungumza na viongozi wa @NgomeyaWanawake baada ya uchaguzi na mauaji ya Oktoba 29. Ngome iko imara na iko tayari kwa mapambano ya kupigania haki na demokrasia ya nchi yetu. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
3
2
10
Hii dhuluma CCM itawagharimu tu siku moja. @ACTwazalendo imeshinda Urais wa Zanzibar na viti 32 vya Uwakilishi na Ubunge. #ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili
31
6
42
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa, Ndugu @othmasoud leo amekutana na viongozi wa chama kujadili matokeo ya uchaguzi. Amesema uchaguzi ulikuwa na wizi, hujuma na vitisho. Amesema ACT ilishinda asilimia 70 ya kura za Urais wa Zanzibar, na viti 32 vya ubunge na uwakilishi. Aidha
16
16
54
"Mawakala wa @ACTwazalendo, walipigwa, kutekwa na wengine nyumba zao zilichomwa moto." Makamu Mwenyekiti wa Bara @MchinjitaIR
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
40
3
20
"Uchaguzi huu umekithiri ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo watu kupigwa, kubambiwa kesi na wengine kuuawa." Kiongozi wa @ACTwazalendo
@SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
5
6
19
"Serikali lazima itambue kuwa hakuna propaganda au risasi inayoweza kuzima sauti za watu wanaodai haki na mabadikiko." Kiongozi wa @ACTwazalendo
@SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
8
39
80
"Serikali lazima itambue kuwa hakuna propaganda au risasi inayoweza kuzima sauti za watu wanaodai haki na mabadikiko." Kiongozi wa @ACTwazalendo
@SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
0
3
Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa na kutupwa. Jeshi la polisi lilitumika kulinda uhalifu huu." Makamu Mwenyekiti Bara @MchinjitaIR
12
8
21
"Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa na kutupwa. Jeshi la polisi lilitumika kulinda uhalifu huu." Makamu Mwenyekiti Bara @MchinjitaIR
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
@ACTwazalendo
25
9
31
"Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa na kutupwa. Jeshi la polisi lilitumika kulinda uhalifu huu." Makamu Mwenyekiti Bara @MchinjitaIR
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
@ACTwazalendo
130
7
101
"Madai ya wananchi hayajibiwi kwa risasi. Serikali lazima itambue kuwa hakuna propaganda au risasi itakayoweza kuzima sauti ya watu wanaodai haki na mabadiliko; bali zinazidisha hasira, chuki na uhasama." Kiongozi wa @ACTwazalendo
@SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
10
14
36
"Madai ya wananchi hayajibiwi kwa risasi. Serikali lazima itambue kuwa hakuna propaganda au risasi itakayoweza kuzima sauti ya watu wanaodai haki na mabadiliko; bali zinazidisha hasira, chuki na uhasama." Kiongozi wa @ACTwazalendo
@SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
3
13
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu @AdoShaibu ambaye pia ni Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo amewasili katika viwanja vya Bunge na kukamilisha usajili. Vikao vya Bunge vinatarajiwa kuanza rasmi tarehe 11 Novemba 2025. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
9
4
25
TAARIFA KWA UMMA MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 "Tanzania haitajengwa kwa hofu na risasi, bali kwa uadilifu na uongozi uliopata ridhaa ya wananchi. KC @SemuDorothy
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
158
27
133
Leo Novemba 09, 2025 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 06:00 Mchana #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
1
2
10
Mmeua MADAKTARI (twin brothers) getini kwao wakiwa wametoka shift usiku kutibu Majeruhi wa Risasi za Vikosi vya Rais wenu, alafu mnaongelea ahadi gani?! Waliokuwa wanahitaji AJIRA mmewaua kwa SILAHA ZA KIVITA Sasa sisi za nini hizo ajira. JIAJIRINI WENYEWE KUMA LA MAMAE ZENU
Utakumbuka kuwa moja ya ahadi muhimu zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (@SuluhuSamia), katika siku 100 za mwanzo kwa mambo atakayo yafanya endapo angepewa tena ridhaa ya kuendelea kuiongoza nchi, ni ajira kwa watumishi wapya wa
87
185
811
Mnashukuru? Mnashindwa kabisa hata kulaani kitendo hicho cha kurushia watu risasi hovyo kama vile majambazi, kumbe ni raia tu wasio na silaha wala hatia. Lakini siwalaumu. Clouds ikifungiwa maisha ya watu wengi yatayumba.
Jumatatu ya Novemba 3,2025 Uongozi na wafanyakazi wa CLOUDS MEDIA GROUP pamoja na Familia ya Mtopa tulishirikiana na Ndugu ,Jamaa na Marafiki wa Master Tindwa Mtopa katika kukamilisha safari ya mwisho ya mpendwa wetu #MasterWaMchezo ambayo ni kumsindikiza katika makazi yake ya
0
0
2
Leo tarehe 7 Novemba 2025 nimeamua KUGHARAMIA MAZISHI ya wananchi wote wa jimbo la KIVULE waliopoteza MAISHA wakati na baada ya “UCHAGUZI”. Tutawazika kwa HESHIMA ZA KIBINADAMU bila kujali MAREHEMU alikuwa ni CCM au ACT WAZALENDO. Ubinadamu HAUNA CHAMA.🥲🥲
61
28
417