Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar
@WUBU_Zanzibar
Followers
1K
Following
369
Media
431
Statuses
939
The Ministry of Blue Economy and Fisheries: Bringing Sustainability, Innovation, Empowerment, Social Equity, Investments, and Opportunities from Marine Sectors.
ZURA House,Maisara, Zanzibar.
Joined October 2021
HAFLA YA KUKABIDHI VYETI BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO
0
2
8
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mheshimiwa Shaaban Ali Othman pamoja na wageni wengine mbali mbali wametembelea Banda la Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea huko Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja Leo tarehe 18 Agosti 2024
0
2
6
Karibuni katika Banda letu la Maonesho la Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kwenye tamasha la Kizimkazi festival.
0
1
3
KATIBU MKUU wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Captain, Hamad Bakar Hamad akifungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Leo tarehe 16 Agosti, 2024.
0
1
5
Leo tarehe 15 Agosti 2024, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman akishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano ya kusaidia Uendeshaji wa mafunzo ya ubaharia Zanzibar kati ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi na Company of Heroes ya Nchini Uholanzi
0
0
6
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 inatekeleza Mradi Jumuishi wa Kuwawezesha Wanawake katika Ufugaji wa Mazao ya baharini. Mradi huo unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Korea (KOICA). https://t.co/IrWfLt61Iz
0
0
0
MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdallah akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa @WUBU_Zanzibar Captain Hamad Bakar Hamad wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Uchumi wa Buluuu na Uvuvi katika Maonesho ya 7 ya Kilimo Leo tarehe 08 Agosti, 2024.
0
1
5
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid akipata maelezo kutoka kwa watendaji wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Leo tarehe 05 Agosti, 2024 wakati alipotembelea Banda la Wizara katika Maonesho ya 7 ya Kilimo Zanzibar huko Dole Wilaya ya Magharibi 'A' Unguja.
0
1
4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Sharif A. Sharif akisaini vitabu vya wageni vya Idara na Taasisi za Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi wakati alipotembelea Banda la @WUBU_Zanzibar Leo tarehe 05 Agosti, 2024 katika Maonesho ya 7 ya Kilimo Dole.
0
0
3
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Captain. Dkt. Hamad Bakar Hamad akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa maonesho ya 7 ya Wakulima nane nane huko Dole Leo tarehe 03/08/2024.
0
1
7
Leo Terehe 3 Agosti 2024 Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Baharini (ZAFIRI) Dkt. Zakaria Ali Khamis baada ya kutembelea Banda la Wizara.
0
1
5
Mkurugenzi wa Uratibu Uchumi wa Buluu Zanzibar Nd. Mondy Christopher Muhamdo amewataka wakulima wa mwani na wafugaji wa mazao ya baharini kupokea elimu watayopatiwa na wataalamu ili kulima kilimo cha kisasa chenye tija ndani yake. https://t.co/a8xm4K6w2g
0
0
0
Wakulima wa zao la Mwani Zanzibar wametakiwa kuongeza kasi ya uzalishaji wa Mwani kutokana na Serikali ipo mbioni kuongeza thamani ya zao hilo kwa lengo la kuwainua Wananchi Kiuchumi. https://t.co/KwUvayxiZ5
0
0
1
Rashid, who is part of the Sustainable Blue Future MSP Cohort reflects on the dynamism of coastal development and its linkages with coastal development. To read his story, visit:
blog.wiomsa.net
By Rashid Mabrouk Ali, Tanzania My name is Rashid, I am 33 years old, and this is my story about the ocean. The story is about Mangapwani-Bubwini; A place where the government of Zanzibar decided to...
0
1
1
Journeys to the Sea- The Tale of Mangapwani Multipurpose Port: A Village's Journey with the Ocean “Elders shared stories of bygone days, when the ocean was more than a conduit for trade but a source of sustenance and solace,” recounts Mr. Mr. Rashid Mabrouk Ali from Zanzibar.🌊
1
2
11
Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo Endelevu
0
4
11
HERI YA SIKU YA SABA SABA (SABA SABA DAY)
0
0
2
Wananchi mbalimbali wamefika katika banda la Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar wakipata elimu kuhusu dhana ya Uchumi wa Buluu, vipaombele vya Wizara, kutoa uelewa juu ya Utangazaji wa Duru ya Kwanza ya Uwekezaji wa Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.
0
0
1
Aloyce Kamando kutoka Kampuni ya ZAFICO ambayo ipo chini ya @WUBU_Zanzibar akitoa maelezo kuhusu dagaa linalozalishwa na Kampuni ya ZAFICOkwa wageni ambao wametembelea Banda letu Leo tarehe 01 Julai 2024 katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba).
0
1
6