Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ
@wizara_afyatz
Followers
244K
Following
900
Media
6K
Statuses
7K
Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania. Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA
Dodoma, Tanzania
Joined February 2015
MADAKTARI BINGWA 48 KIGOMA NGAO DHIDI YA CHANGAMOTO ZA KIAFYA ZA MPAKANI Na WAF, Kigoma Madaktari Bingwa 48 kutoka Mpango wa Madaktari Bingwa wa Mama Samia wamewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kutoa huduma za afya za kibingwa kwa wananchi pamoja na kuwajengea uwezo watumishi
2
0
2
MPANGO JUMUISHI WA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII MSINGI WA AFYA BORA, LISHE, USTAWI WA JAMII Mkurugenzi Msaidizi wa Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya Dkt. Ona Machangu amesema Mpango Jumuishi wa Hudumu wa Afya Ngazi ya Jamii una umuhimu mkubwa katika
1
1
8
Does faith belong in the public square? At Truth & Liberty, we say yes. Follow us for bold conversations about faith, freedom, and family values.
2
1
19
DKT. SHEKALAGHE, AHIMIZA UMOJA, MSHIKAMANO KAZINI KWA WATUMISHI WIZARA YA AFYA Na WAF-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewahimiza watumishi wa wizara hiyo kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwao, ili kuleta tija na kuongeza ufanisi katika
2
0
3
Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/26 Shilingi Trilioni 1.6 kwa Fungu namba 52 ikiwepo matumizi ya kawaida Shilingi Bilioni 626.4 na miradi ya maendeleo Bilioni 991.7
9
15
60
North American miners are striking gold, literally and figuratively. $2.9B raised in 185 deals this October, the fastest pace since 2013. From gold to copper and uranium, investors are piling in. When the miners boom, markets listen.
1
5
17
WAJUMBE WOTE 33 WA KAMATI TENDAJI WHO WASEMA NDIO KWA PROF. JANABI Wajumbe wote 33 wa kamati tendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO Executive Board) wamemthibitisha na kupitisha Prof Mohamed Yakub Janabi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika kwa
6
17
76
Kikao cha 157 cha Kamati Kuu tendaji ya Shirika la Afya Duniani WHO leo Mei 28, 2025 kimempitisha na kumthibitisha Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo kwa Kanda ya Afrika. Hatua hii inajiri mara baada ya @ProfJanabi kushinda kwenye uchaguzi wa nafasi
Just in: The @WHO Executive Board, at its 157th session in Geneva, has officially appointed @ProfJanabi of ๐น๐ฟ Tanzania as @WHOAFRO Regional Director, following his nomination on 18 May 2025. #EB157 Read more: https://t.co/79wqJ5aemB
1
11
52
KAMATI YA USHAURI USAJILI WA SARATANI YAZINDULIWA Na WAF- Dodoma Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya, Dkt. Caroline Damian amezindua Kamati ya Ushauri ya Usajili wa Saratani (ACCR) yenye lengo la kuimarisha Usajili wa Saratani nchini kupitia usajili unaozingatia
4
4
13
TANZANIA YAENDELEA KUWA KINARA DUNIANI KWENYE MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI Na WAF - Geneva, Uswisi Zaidi ya akina mama na watoto 150,740 waliokuwa na dharura ya huduma ya uzazi wamepata huduma ya usafiri wa haraka kupitia mfumo wa rufaa ngazi ya
5
1
4
TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA NTDs Na WAF - Geneva, Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kutokomeza Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases - NTDs) ikiwemo kufanya usambazaji wa
1
7
12
SERIKALI YA TANZANIA YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA GFF KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO Na WAF - Geneva, Uswisi Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nasoro Mazrui leo Mei 20, 2025 wamekutana na uongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Ufadhili
1
1
6
"I urge all of us to reaffirm our commitment with WHO. United we stand, divided we fall. We must garner all our efforts to leave the world with better health security. We must ensure no one is left behind." Watch the statement of @SuluhuSamia, President of the United Republic of
88
62
184
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TAHADHARI YA MAGONJWA YA MFUMO WA NJIA YA HEWA NA MAGONJWA YANAYOENEZWA NA MBU
17
108
318
Baadhi ya Viongozi, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Afya walioshiriki kwenye Mkutano Maalum wa uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika wakimpongeza Prof. Mohammed Janabi kwa ushindi.
2
5
16
I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa @WHOAFRO . This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continentโs unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and
128
313
2K
Hongera sana sana Mh Rais Dr @SuluhuSamia kwa kusimamia ushindi wa Prof @ProfJanabi . Tanzania ๐น๐ฟ is shining โญ๏ธ ! #internationaldiplomacy #diplomat
12
22
188
Hongera Prof. Mohammed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika
120
510
3K