TheChanzo Profile Banner
The Chanzo Profile
The Chanzo

@TheChanzo

Followers
76K
Following
493
Media
7K
Statuses
11K

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TheChanzo
The Chanzo
1 minute
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa ACT Wazalendo amewabana viongozi wake wa taifa kauli mbiu ya kulinda kura. Ahoji watalindaje kura Oktoba ikiwa huko jimboni kiongozi mwenzake amevunjwa mguu wakati akitetea bendera ya chama isishushwe?
0
0
0
@TheChanzo
The Chanzo
1 hour
Bashungwa awaagiza Polisi kuimarisha doria mitandaoni kudhibiti wanaotaka kuvuruga amani na utulivu wa nchi . "Sasa hivi wahalifu wengine wamehamia mitandaoni, kama ambavyo mnafanya doria za mitaani, tuimarishe doria za mitandaoni."
1
0
0
@TheChanzo
The Chanzo
2 hours
IGP Wambura, Bashungwa: Anayetaka kuleta vurugu Tanzania atafute nchi ya kwenda
7
2
27
@TheChanzo
The Chanzo
3 hours
ACT Wazalendo yawakaribisha wana CCM, CHADEMA na wengine kujiunga na vuguvugu lao.
0
2
9
@TheChanzo
The Chanzo
3 hours
Serikali: Kampeni ya chanjo na utambuzi wa mifugo imesaidia kuongeza ubora wa mazao ya mifugo.
0
1
3
@TheChanzo
The Chanzo
5 hours
ACT Wazalendo: 'Tunakwenda kwenye mapambano'
0
0
5
@TheChanzo
The Chanzo
6 hours
Chama cha upinzani cha NLD kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2025. Wasisitiza tatizo la ajira na huduma za afya ndio kipaumbele chao.
1
0
3
@TheChanzo
The Chanzo
6 hours
Viongozi wakuu ACT-Wazalendo walipoingia ukumbini kwa ajili ya kuendelea na Mkutano Mkuu Maalum wa chama hiko. Mkutano Mkuu Maalum wa ACT-Wazalendo unatarajia kuteua mpeperusha bendera wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea wake mweza pamoja na Rais wa
0
0
2
@TheChanzo
The Chanzo
8 hours
Kumekucha ACT Wazalendo: Wagombea Urais Kujulikana Leo, kupokea Wabunge wa zamani waliokatwa CCM
1
9
20
@TheChanzo
The Chanzo
10 hours
The Chanzo Morning Briefing Tanzania News – August 6, 2025. 🔴Dozens of CCM Lawmakers and Deputy Ministers Fall in Party Primaries;. 🔴CCM Dissident Luhaga Mpina Joins ACT-Wazalendo After Exclusion in Party Primaries;. 🔴Tanzania’s DCEA charges seven in drug import case. Read
Tweet media one
0
0
2
@TheChanzo
The Chanzo
21 hours
Taarifa zilizotufikia hivi punde waandishi hawa wawili wameachiwa pamoja na wenzao.
@TheChanzo
The Chanzo
22 hours
Waandishi Wawili Wakamatwa Manyara Wakifuatilia Kura za Maoni CCM. Waandishi wa habari Julius Msagati na Given Mashati wamekamatwa na Polisi mkoani Manyara wakati wakifuatilia mwenendo wa matokeo ya kura za maoni ya Chama cha Mapinduzi mkoani humo. Akiongea na The Chanzo kwa
Tweet media one
0
0
7
@TheChanzo
The Chanzo
22 hours
Waandishi Wawili Wakamatwa Manyara Wakifuatilia Kura za Maoni CCM. Waandishi wa habari Julius Msagati na Given Mashati wamekamatwa na Polisi mkoani Manyara wakati wakifuatilia mwenendo wa matokeo ya kura za maoni ya Chama cha Mapinduzi mkoani humo. Akiongea na The Chanzo kwa
Tweet media one
5
18
66
@TheChanzo
The Chanzo
24 hours
Nyerere 1990: Viongozi Jina wanawaonea wivu viongozi wenye uwezo
0
2
5
@TheChanzo
The Chanzo
1 day
Wananchi hawa waandamana ofisi za CCM wilaya Dodoma wakimpinga diwani aliyeongoza kwenye kura za maoni CCM. Dodoma: Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Bihawana kata ya Mbabala mkoani Dodoma, wameandamana katika ofisi za wilaya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipinga diwani
3
10
44
@TheChanzo
The Chanzo
1 day
Kailima: Waandishi, wahariri chujeni maudhui yanayochochea chuki kipindi cha uchaguzi.
0
0
4