Vicensia Shule
@vicensiashule
Followers
20K
Following
32K
Media
608
Statuses
17K
Disclaimer: Parody account with fictitious and/or false content purely for entertainment and amusement 🤩 You may visit @ViJoShule for serious info & content✊🏿
Joined March 2011
All Protocol Observed Welcome to Issue 219 of The Continent Protests, an internet blackout, and deadly force marked Tanzania’s Election Day. Once online again, 37 readers shared what they witnessed. Read their stories: https://t.co/uY8p7pEXdc
8
341
635
Sasa nyie @tanpol mnamtafuta Bishop @jgwajima na tulitegemea na Balozi Humphrey Polepole nae awepo kwenye orodha ya wanaotafutwa maana mlisema hamjui alipo. Sisi wazee tumeelewa kwamba Polepole tayari mko naye ndio maana hatafutwi. Tumewaelewa.
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kwa Umma wa Watanzania kuwa, kufuatia matukio ya vurugu, uporaji wa mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29/10/2025 katika Majiji ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya, pia katika Mikoa ya Shinyanga, Geita, Songwe, Ruvuma, Mara,
6
21
94
@vicensiashule @KumbushoDawson Ushindi upo karibu sana. Kiburi kimewajaa, anguko lao ni dhahiri. Kiburi chao kitashushwa, na nia zao zitateketea mbele ya macho yetu. Mungu atujaalie uhai ili tushuhudie siku ya ukombozi, na ikiwa watatutanguliza, basi vizazi vyetu vitatukumbuka kwa mema
0
1
1
Nicholas Oyoo and Bob Njagi, the 2 Kenyans who were abducted and disappeared in Uganda 39 days ago, were last night released by Ugandan authorities and handed over to the Kenyan authorities.
10
37
105
Today, I joined fellow activists in Berlin to demand the release of political prisoners including Dr. @kizzabesigye1 , all our @NUP_Ug comrades and @TunduALissu . As we gather ahead of the @WLCongress General Assembly, we stand firm for freedom, justice, and human dignity. No
0
35
105
After 39 days of their enforced disappearance, the 2 Kenyans, Nicholas Oyoo and Bob Njagi were finally freed last night. Thank you everyone, especially East Africans who fought for the freedom of these two comrades.
25
130
441
tusikubali serikali ituweke sisi on the defensive; sisi ni victims, na hatupaswi kulazimishwa kujitetea. tunapaswa kuilazimisha serikali ijitetee kwa uhalifu inaoendelea kuufanya dhidi ya wananchi. they’re the perpetrators, and have to answer for their crimes. tuwashitaki SASA!
5
130
433
RT @JamiiForums: UPDATED: Mijadala inayoendelea ndani ya https://t.co/OgiXhqmXJu - Novemba 8, 2025 📌
0
5
0
Sharif Majini siku chache kabla ya kuuawa, anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku 5 kabla ya uchaguzi. Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI. Sheikh Majini alifariki dunia alifariki 29 oktoba kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Ni mvamizi kutoka nchi jirani ?
54
71
302
Kimsingi mnatuzingua sana na hii mitkasi yenu na MaCCM. Hatupendi na hatujisikii kabisa kujadili mambo yenu ya ubunge wa kuhongwa – lakini mnatulazimisha tujadili. Hivi viti maalum mmepewa kwa njia gani? Upatikanaji wa idadi ya Viti Maalum vya Wabunge ambavyo Vyama vinagawana,
43
139
815
the govt doesn’t have the power to shut down the internet, no matter the circumstances, and courts have been very clear on this. shutting down the internet goes beyond violating human rights; it’s robbing people of their lives and dignity, too:
thechanzo.com
While the government may have sought to control the flow of information, it also severed the economic lifeline for millions of its citizens.
3
47
170
Who should stop this nonsense and Impunity? Sijui Jeshi la Polisi wanatuelewa tunapowashauri? Je ni Mungu anazidi kuufanya moyo wa jeshi hili kuwa Mgumu? kuna safari ya Maangamizi ya Taifa ambayo Jeshi hili linataka kutupeleka kwa kasi ya 5G wenye hekima Katika Taifa
83
200
797
“Tumeongea na watuhumiwa wa kesi ya Uhaini wamepigwa sana kabla ya kufikishwa Mahakamani…”-; Wakili @Advocate_Kisabo
7
114
406
Two Kenyan activists, Bob Njagi and Nicholas Oyoo, who were held in Uganda for over 30 days, freed and handed over to Kenyan authorities, Busia County Commissioner Chaunga confirms.
40
230
629
This is the TikTok video that led President Samia Suluhu and her government to charge businesswoman Niffer Jovin with treason, accusing her of inciting protests in Tanzania.
48
752
3K
Following a night of frantic following up, @VOCALAfrica_ in partnership with @AmnestyKenya and @LawSocietyofKe can confirm that Bob Njagi and Nicholas Oyoo are free and back in Kenya. Alhamdulillah 🤲🏽
54
251
529
Taarifa iliyotolewa na Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, imeeleza Askofu Mkuu Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, OFMCap, amewaalika Mapadri, Watawa na Waamini wote kushiriki ibada Maalum ya kuwaombea Wafu itakayoadhimishwa Jumatatu, Novemba 10, 2025. "Mhashamu sana Jude
4
22
168
Jumatatu tarehe 10 November, kutakuwa na maombi maaluum kwa ajili ya wale watu waliouawa na samia pamoja na jeshi lake la polici na pia jeshi jwtz,wakati wa uchafuzi hapo 29oct. Pia tutaombea majeruhi,na wale walibabikiwa kesi za uhaini. Hii damu ya watanganyika haitapotea bure
0
1
1
“Many of the people who have died are our fellow youths. You are not scaring us , you are making us courageous,” a Tanzanian man narrates, describing how police were shooting young people on the streets.
13
471
1K
Tanzania charges dozens of people with treason over election protests https://t.co/rLwDSgNTOf
78
848
3K