Karuhawe Profile Banner
Sowawe Profile
Sowawe

@Karuhawe

Followers
5K
Following
28K
Media
4K
Statuses
97K

Aquaculturist|LakeTanganyika|Kigoma

Tanzania
Joined January 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Karuhawe
Sowawe
19 hours
Leo nakua Mkatoliki aliyekamilika🙏
3
0
2
@Karuhawe
Sowawe
2 days
Mkishinda nini sasa
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
2 days
ACT Wazalendo kufuta leseni za wavuvi wakishinda uchaguzi
0
0
1
@jwise017
NYANI MZEE
3 days
Waha wametumwa hela mjini hizi bei za matunda 🙌🏾
4
8
112
@NM_AIST
nmaist _official
3 days
DAAD In-Country/In-Region Scholarship 2026 is OPEN Apply now https://t.co/jh2LYO9GeA
2
7
11
@Karuhawe
Sowawe
3 days
Tabia za hovyo haupaswi kurithisha kizazi chako "watoto kula/kuvaa vizuri kisa kuna wageni" tujenge jamii bora kwa ustawi wa kizazi kijacho SI UNAONA WANASIASA wanachotufanyia?
0
0
0
@Tanganyikan
Uncle Fafi
3 days
Madness
@Karuhawe
Sowawe
3 days
Mtu ana wateja wa kutosha ila biashara inakufa, ila biashara 🙌
0
1
2
@MarekaMalili
Lubasha Jr
3 days
🙌🏼
@Karuhawe
Sowawe
3 days
Mtu ana wateja wa kutosha ila biashara inakufa, ila biashara 🙌
0
1
3
@Karuhawe
Sowawe
3 days
Mtu ana wateja wa kutosha ila biashara inakufa, ila biashara 🙌
0
0
1
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
3 days
Kwenye bao la tatu, Sele Mwalimu kaonesha ubinafsi unaotakiwa kwa mshambuliaji. Mambo ya kutoa pasi uko ndani ya 18 sometimes ni woga tu wa kukosea.
2
7
205
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
4 days
Kikosi cha leo. #NBCPremierLeague #NguvuMoja
40
54
769
@Karuhawe
Sowawe
4 days
"Tulipoambiwa binti anapika vizuri, nilidhani ugali... kumbe ni michembe"
@MarekaMalili
Lubasha Jr
4 days
"Tulipoambiwa binti anapika vizuri, nilidhani pilau... kumbe ni makande"
1
0
0
@Karuhawe
Sowawe
4 days
Staki mashati ya Vitenge, kitenge vitengee vyenyewe sasa👇
1
0
0
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
5 days
Unamdhamini kijana mwenzako ili apate mkopo bila riba; yeye anatokomea. Hata kuwasiliana na wahusika kuwa amekwama hataki. Vijana tusipolichukulia suala la uaminifu kwa uzito wake; tutaendelea kulaumu sana. Aminika; uaminiwe—utafika mbali sana.
9
12
50
@Karuhawe
Sowawe
4 days
Ndio ndio bila kibao mambo hua hayaendi vile inatakiwa, na kinatokaga tu automatic
@Cristuqs
Anonymous 🀄️
5 days
Little man wasn’t paying attention until that factory reset🤣 🤣🤣🤣💔
0
0
1
@Karuhawe
Sowawe
6 days
Mna uhakika huyu ni kocha?
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
6 days
Shukrani za dhati kwa Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kwa kuongoza kikosi chetu katika mchezo muhimu wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, na kufanikiwa kutuvusha. Shukrani pia kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kwa kumruhusu Kocha Morocco ambaye ni Kocha
0
0
1
@Karuhawe
Sowawe
7 days
Wasanii wa Singeli saafi hawana za kunata, Mchina Mweusi (Singeli Kigugumizi) anapiga zake shoo huku maswenkeni wala hana hata makuu.
0
0
0
@tonytogolani
Togolani Mavura
8 days
Uvuvi wa Dagaa ni biashara inayokua kwa kasi kutokana na mahitaji makubwa ya dagaa katika nchi jirani ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC). Hata hivyo, pamoja na uvuvi mkubwa wa dagaa katika maziwa yetu na bahari, kiasi kikubwa cha dagaa huharibika na kupotea (post harvest
8
16
113
@kalegamyeh
Dr. Kala. MD
7 days
Kila mtu Anahisi Mimi Ndio nataka green card lakini ukweli ni kwamba, yeye ndio anataka Tanzanian card.😎
16
2
76
@Karuhawe
Sowawe
8 days
Unaenda toa hela kwa kwa matakwa yako ya siku, ATM fedha inakwatwa ila haitoki, ghafla ghafla tu meseji inaingia kiasi ... Kimetolewa kwenye akaunti yako inayoishia ... Ukicheki ATM husikii kale kamlio ka hela na punde si punde kunasomeka Temporarily out service, nyie
1
1
0
@KivuyoLaurel
Laurel Kivuyo
9 days
OXFORD, here I come🥳😭🎓 I’m thrilled to share that I’ve been admitted to my dream @UniofOxford , to pursue a Master of Science in Nature, Society and Environmental Governance, fully funded through the prestigious WHT scholarship in Oxford📚 Dear girl child, it can be done!🥳
422
674
10K