Dr. Kala. MD
@kalegamyeh
Followers
8K
Following
8K
Media
1K
Statuses
43K
Medical officer/blogger/humanitarian/ Studying and working at Missouri state university🇺🇸
Missouri, USA
Joined June 2017
Taratibu za kupata Leseni na kufanya kazi Marekani kwa madaktari waliosoma nje ya Marekani.
6
16
100
Daktari pandisha tu Mgonjwa mwingine. Hizo ni sterile. Usizione hivyo ukazidharau.😂
12
3
70
Tamisenga kuna forceps zimechoka Kama hivi afu kila siku unazikuta kwenye set za procedure. Afu kuna muuguzi aliyechoka anakwambia “usiogope Daktari hizo ni sterile”. Unajiuliza moyoni…Sterile kwa ng’ombe au Binadamu?😂 Jichanganye uzitupe. Mama mjamzito anakuzimikia mikononi.
17
7
83
Naona picha nyingi za graduation za MMED. Nakumbuasha: MMED bongo ni mtego unless una maelekezo makali.
9
3
91
Huyu anaongea Mashudu. Unafikiri Vifo vinazuiliwa na vitisho? Vifo vinazuliwa na uwepo wa watalaamu na vifaa tiba. Wodini hata gloves hamna Afu unataka kuzuia vifo vya akina mama? Tena sasa hivi ndio maternal zitakua back to back.😁
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi, ameagiza kuchukuliwa hatua kali kwa Daktari, Mtaalamu wa Afya au Kiongozi atakayesababisha Kifo cha Mama na Mtoto huku akimwagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuwa Madaktari wote Bobezi kuwafuata akina Mama wa kujifungua na kuwapa Huduma
17
8
67
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi, ameagiza kuchukuliwa hatua kali kwa Daktari, Mtaalamu wa Afya au Kiongozi atakayesababisha Kifo cha Mama na Mtoto huku akimwagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuwa Madaktari wote Bobezi kuwafuata akina Mama wa kujifungua na kuwapa Huduma
67
11
122
Kumbe ni trillion. Eeh?🤣🤣
Tumemaliza kutumia billion 200 kwenye uchaguzi wa kiini macho lakini hatuna uwezo kufanya “desalination” ya maji ya baharini na kuwasambazia wakazi wa Dar. Wakazi wa kigoma, Mwanza, nyasa na wengine hawahitaji hata hiyo process bcoz maji yao hayana chumvi. Wanahitaji mitambo ya
3
1
32
Tumemaliza kutumia billion 200 kwenye uchaguzi wa kiini macho lakini hatuna uwezo kufanya “desalination” ya maji ya baharini na kuwasambazia wakazi wa Dar. Wakazi wa kigoma, Mwanza, nyasa na wengine hawahitaji hata hiyo process bcoz maji yao hayana chumvi. Wanahitaji mitambo ya
33
22
196
Mshikaji wangu anaishi Masaki analia shida ya maji mpk kajoin group la Watsapp la Dawasa. Sijui hali ikoje kwa wanangu wa Gomz nature, gomz mwisho, chanika, Kibamba chama, Pugu mwisho, Geti jeusi etc
13
3
108
Ulishindwa kustaafu kwa heshima sasa hivi Dunia nzima inakudharau.
Africa’s young people are shaping the future. @DohaForum, we discussed how quality education— paired with digital and foundational skills—can help them thrive in fast-changing economies and strengthen resilience across the continent. @qatar_fund
@JDMahama
@alexanderdecroo @UNDP
14
30
258
First year Niliwahi kuulizwa. With an aid of the diagram. Discribe the embryology of the heart.😂
3
3
41
JINSI YA KUOMBA HADHI YA UKIMBIZI NCHINI MAREKANI AU ULAYA KIPINDI HIKI CHA MPASUKO TANZANIA. https://t.co/bXBG7VsfdK
6
12
94
Kuna nchi kila taasisi ni ya chama.😁
Marekani imeanzisha Ushirikiano na Kenya katika masuala ya Afya, ambapo Marekani itaipa Kenya Tsh Trilioni 4 kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya Afya. Marekani imesema inashirikiana na Kenya Sababu Kenya wana taasisi na mifumo Imara ya Kiserikali. Makubaliano yamefanyikia huko USA.
4
1
58
Mwaka 2020 mshikaji wangu mmoja wa kitambo sana alikuja hospitali ambayo nilikua nafanya kazi akiwa na mtoto mgonjwa. Nikamsadia kupata Matibabu. Wakati fulani tulikaa chini akawa anaelezea matatizo yake kwamba ana watoto wawili kutoka kwa baby mama wawili na wanamla pesa
38
62
282
Harusi tunayo.😀
Next time any African leader complains about @IntlCrimCourt case against African leaders ask him/her what did s/he do to intervene in #TanzaniaMassacre They love using “African solutions for African problems” to cover up each other’s atrocities and not to seek REAL justice Well
9
13
93