MarekaMalili Profile Banner
Lubasha Jr Profile
Lubasha Jr

@MarekaMalili

Followers
670K
Following
750K
Media
19K
Statuses
743K

|Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|

Tanzania
Joined September 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MarekaMalili
Lubasha Jr
3 years
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini. Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako. Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
184
1K
3K
@MarekaMalili
Lubasha Jr
4 hours
RT @philipsimon2: Ardhi ni Mali,utajiri,asset na urithi. Wekeza katika Ardhi.
0
3
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
4 hours
RT @ray_noOnes: The War Chief is the mentor of Giga Chad and all Chads.
Tweet media one
0
4
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
4 hours
RT @chapo255: Kuelekea siku ya uzinduzi wa Tanzania Green Summit,Tunakukaribisha kwenye mjadala wa kuhusu mabadiliko ya tabianchi na mustak….
0
6
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
Tunayofuraha kumkaribisha Bi. Clara Makenya @ClaraMakenya Mwakilishi UNEP Tanzania @UNEP kwenye uzinduzi wa Tanzania Green Summit kesho Serena Hotel kuanzia saa Moja kamili asubuhi. #TanzaniaGreenSummit #UNEP #TGS #TunaizimiaDunia.@CloudsMediaLive @officialcza1
1
0
1
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
Kabla hamjalalaa, kuna hii mali, Njia ya Usagara Kisesa, Mji umefunguka huu.
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 months
Kiwanja namba 175 na 173 block A Nyasubi. 1411Sqm. Vipo Usagara, Wilaya ya Misungwi, karibu na OTTO filling station. Price 16m. Vimepimwa, njoo tumalize biashara chap. Please rt.
Tweet media one
1
3
2
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @Magero255: 👇🏼👇🏼👇🏼 MUDA SAHIHI WA KUMILIKI ARDHI NA KAMPUNI YA SURVLAND NI SASA!!! Tupo JIJI la dodoma kwa 3.5M unapata kiwanja cha sqm….
0
0
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @Magero255: Je wajua! Ukiwa na 3.5M (TSH 3,500000/=) unapata Kiwanja JIJI LA DODOMA, JIMBO jipya la MTUMBA (Tena unapata kiwanja chenye….
0
3
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @Mahusianoseason: 🌟 UNATAKA KUBADILISHA MAISHA YAKO NDANI YA SIKU 30? 🌟.Darasa hili lina nguvu ya kukufungua kiakili, kiafya, na kifedha….
0
1
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @Bitoz_Nyangema: @MarekaMalili Jamaa anataka watu wakaishie magerezani🤣. Na kupata ulemeavu Kwa kipigo Cha Manjagu.
0
1
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @Bitoz_Nyangema: @MarekaMalili Kwa mujibu wa Sheria KULINDA KURA ni kuzua taharuki na uchochezi. Zitto anataka watu waishie MAKWAYA. H….
0
1
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 hours
RT @97Yamungu: @MarekaMalili Mimi nishasema hivi hawa jamaa ni vile hawaelewi mziki wa kufiwa au kufa mwenyewe hata kiungo kimoja. Can you….
0
1
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
6 hours
RT @DKabugumila: @MarekaMalili Kuna kipindi walikua na racing zao kutokea Geita to Kahama,wanaibukia Shy town hadi Mwanza. Wanakimbizana ro….
0
1
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
Tutla bwana, Sisi siasa zenu za kunywa kahawa za nini?.
@tutla7
Anko Cholo
7 hours
Kama hujui Siasa za Zanzibar huwezi kumuelewa @zittokabwe.
1
0
8
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
RT @k_mjege: Kwa nini vijana wanaonekana kuchukizwa na wazee kuendelea kubaki kwenye nafasi zao za ajira au za kisiasa? Wazee waking’atuka….
0
5
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
Umewajaribu?.
@YourFrenchFry
CoCo🍫
7 hours
Pale JC HALL, Mbezi Beach Africana, si mnapafahamu? . Wengi hatufahamu kuwa wanatoa na huduma ya catering pia, na ukiwa mteja wa ukumbi, wanakupa kwa discount nzuri MNO. Chakula & vinywaji. Please keep this in mind mkiwa mnaplan for shughulis, karibuni sana! 💃🏽. 📞 0655474550
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
9
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
RT @YourFrenchFry: Pale JC HALL, Mbezi Beach Africana, si mnapafahamu? . Wengi hatufahamu kuwa wanatoa na huduma ya catering pia, na ukiwa….
0
30
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
Azam Ibenge, Singida Gamondi, kuna Team Itaanza kugombana na wakina Coastal Union muda si mrefu 😂.
@Iamfelixtz
FELIX JASON
7 hours
🚨💣 UPDATES 👇. ➡️ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi 🇦🇷 amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars 🇹🇿. ✅ Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
Tweet media one
Tweet media two
26
8
231
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
RT @ManenoIzaak: Jumamosi hii raha zote zinahamia Tanga Mjini. yaani ni JULY VIBE EXPLOSION WITH DJ ALLY B pale Ngoreme Park& Lounge. Ha….
0
7
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
RT @Afruturist: My current read on AI…. Just finished reading a chapter on Sex Robots — a thought-provoking entry point into the broader, c….
0
2
0
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 hours
RT @franklin_tissa: Maisha yakikosa Nidhani.
0
1
0