k_mjege Profile Banner
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@k_mjege

Followers
4K
Following
13K
Media
2K
Statuses
35K

Senior Lecturer in STEM Education, University of Dar Es Salaam, DUCE; Full-Time Father, Student, Researcher, consultant & Policy Analyst; Psalm 23

Joined September 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Kwenye andiko letu jipya tunachokoza mada kuhusu elimu ya mazingira nchini na mamna ambavyo vita ya utunzaji wa mazingira inakinzana na dhana yenyewe ya maelendeo tunayoyatamani. Tunajaribu kuuliza maswali magumu (lakini ya msingi)โ€”lengo likiwa ni kuona ni kwa namna gani
Tweet media one
1
16
26
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 hours
Na siri nyingi za Kipepe.
@MarekaMalili
Lubasha Jr
2 hours
Kuna mtu kasema huwezi kumpiga mlevi mwenye siri zako. Anaongelea situation ya Polepole na CCM ๐Ÿ˜‚.Nimependa hii.
1
1
2
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 hours
Kwa roho ya kibinadamu, kuna wakati unamwombea adui yako akutwe na majanga au dhoruba kali sana ili awe busy na vita zake; aache kukufuatilia. Ndio maana Halisi ya โ€œAdui mwombee njaaโ€ ya Afande Sele.
0
7
18
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 hours
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
@RahmaMwita
Rahuuuum
7 hours
Project walianzisha wana mtandao alafu Hao hao kwenye project wakawanyimwa Ubunge 2020 wakatapata CDM! Sasa ACT wazalendo na CDM nani project. Mpaka leo hamjajibu hoja ya Pesa za Abduli alizokuwa anapokea Mwenyekiti wenu wa Zamani mnahangaika na ACT Wazalendo hebu tuacheni bhana,.
0
0
0
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
17 hours
Nidhamu ya woga ni pamoja na kuwaheshimu watu kwa hofu kuwa wanaweza kuwa wa msaada kwetu siku za usoni. Tunapaswa kuwaheshimu watu bila masharti kwa sababu heshima ni takwa la kimaadili.
0
2
16
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
22 hours
Humu jukwaani Naona sana ujumbe wa kuwa na pesa na kuishi maisha mazuri. Kwani ni kipato gani unatakiwa kuwa nacho ili ukidhi vigezo Vya Maisha mazuri?.
1
3
18
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 hours
Tutapata kweli katiba mpya ? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜@MarekaMalili.
@rollymsouth
Madenge
23 hours
Madogo hawatoi hela halafu wakipewa wanataka kuichubua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
3
0
11
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
24 hours
RT @anuskills3: Mfanya Biashara Bora hatakiwi kuwa na Mipaka kwenye Soko lake. Kupitia @noonesapp Shop unawafikia wateja duniani kote na kโ€ฆ.
0
25
0
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
Nilishawahi โ€œkufuliaโ€ mwaka mmoja hadi nikauza matofali yaliyokuwa saiti. Maisha haya usipokuwa โ€œhumbleโ€ basi!!.
7
10
71
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
Kijana hakikisha unajijengea uwezo mara kwa mara ili thamani yako kama โ€œRasilimali Mtuโ€ izidi kuendana na ushindani wa soko. Competition Haina huruma. Hakikisha unakuwa kwenye kundi la wachache.
1
9
37
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
Kauli ya wanasiasa na wanaharakati kuwa โ€œNchi hii ni yetu soteโ€ inapaswa kufafanuliwa vema. Umiliki wa kila mtu ukoje? Mfano, Huwezi kuona Sehemu Iko wazi kisha ukaanza ujenzi wa nyumba yako. Utakuwa โ€œumevamiaโ€!.
2
1
8
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
RT @ALugandu: Wateja Wako Hawahitaji Kusumbuka Sana Kuhusu Kufanya Malipo Wape Mtelezo Wa Kulipa Na Lipa Namba Kutoka @CRDBBankPlc . Ni Rahโ€ฆ.
0
23
0
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Huyu Ndio mana simu yake ina low battery ๐Ÿ˜
Tweet media one
0
2
5
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Kijana wa kiume anaipambania kesho yake kwa jasho na damu. Wakati huo huo anazaa โ€œhovyoโ€! Anafika miaka 30 ana watoto watano kwa mama tofauti! Kesho iliyo njema inamkuta tayari ana pancha!! Let me mind my own business โœ๏ธ.
2
8
48
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Usione wivu kuwainua wadogo zako kwa kuhofia watakuzidi kipato. Hasara za kuzungukwa na masikini ni kubwa zaidi.
2
26
77
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Mtu akiwapa lift Halafu baada ya muda mfupi akapita Petrol station inabidi mjiongeze na nyie. Kwa nini hakujaza mafuta kabla ya safari?.
9
2
29
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Nakusaidia uhame kwa wazazi ujitegemee. Wewe utapata wapi bro Kama mimi dunia hii? Au nikubloku?.
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 days
@k_mjege We nae wale wale rohoo mbayaaaa.
1
1
1
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Ukiacha masuala kama uhuru wa maoni, demokrasia duniani inakumbana na utata kuhusu aina nyingine ya uhuru. Watu wanataka wawe huru kufanya chochote juu ya miili yaoโ€”kutoa mimba; kujichubua; kuongeza viungo Vya mwili; kuwa โ€œupindeโ€; kuchagua jinsia, kuvaa au kutokuvaa nguo kabisa.
0
5
9
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 days
Ndugu zangu @bajabiri @MarekaMalili na @rollymsouth hawajafikia stage hii. Tuendelee kumtukuza Mungu
0
1
1
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 days
Kuna wakati unatamani urudi miaka 10 nyuma ujipange upya na kufuta makosa uliyofanya. Ukikimbuka utasambaza sana CVs kama Kipepe unaishiwa PAWA!!.
1
0
2
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 days
โ€œKatiba sio Kiumbe hai. Ni nyaraka ya kisheria, na kama zilivyo nyaraka zingine za kisheria, Katiba inasema kuhusu mambo fulani, huku ikiyaacha mengineโ€ Na huu ndio msingi wa mabadiliko ya Katiba.
Tweet media one
0
0
0