
Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania
Followers
2M
Following
3K
Media
22K
Statuses
25K
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
Anthony Mligo amewasili kambini na tayari ameanza mazoezi akianza na mazoezi ya kuimarisha misuli. #NguvuMoja
11
29
646
Mahojiano ya kwanza na Mohamed Bajaber akielezea safari ya maisha ya mpira wa miguu hadi kuingia Simba SC itakuwa kwenye Simba App leo saa 10:00 jioni. Pakua na lipia sasa. #NguvuMoja
9
59
576
π₯ Ibuka Mshindi Kila Siku ukiwa na Betway & Simba! π¦.Huu si mchezo tu ni harakati za ushindi!. Beti kwenye Kombora la Simba au Simba's Spin kuanzia 5 Agosti - 10 Septemba ujishindieππ».π Jezi Mpya za Simba.ποΈ Tiketi za Platinum - Simba Day.β½οΈ Tiketi za mechi za Simba. π²
5
22
320
Huyu hapa Simba Mweusi, Jonathan Sowah akitoa ahadi yake kwa Wanasimba kuelekea msimu mpya. Mahojiano kamili ya historia yake yatakuwa kwenye Simba App leo saa 12:00 jioni. Pakua na lipia sasa. #NguvuMoja
9
39
631
Mzamiru Yassin akizungumzia mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya yanayoendelea hapa nchini Misri. #NguvuMoja
11
28
467
Mahojiano ya kwanza tukiwa hapa kambini jijini Ismailia, Misri. Kuangalia zaidi ingia Simba App. #NguvuMoja
9
29
546