Uncle Fafi
@Tanganyikan
Followers
159K
Following
763
Media
10K
Statuses
209K
| Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmie
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2009
Napanga kwenda kufanya chanjo kwa sharti wakubali nirekodi ili watu wa border wakileta ile michezo ya kutoitambua card nawaonyesha clip.
3
0
10
Hii wikiendi Shoppers na supermarket nyingi za ushuani watapiga sana hela. Expats na middle class kama kawaida yao wataenda kununua stock ya kutosha ya msosi na mahitaji mengine.
1
1
21
Yutong kama unajijua una miguu mirefu usichague siti za kushoto mbele ya choo, na ikitokea ndio siti zilizopo usikae upande wa dirishani ili angalau uwe unasimama kujinyoosha.
1
2
6
7 months 💔 What I know is that Allah does not burden a soul beyond what it can bear. Allah sees everything, hears everything, and at His perfect time, He will make a way. He is the One who holds all authority on this earth, and in His perfect timing, He will make a way for
0
47
177
With Jane Goodall sister (Judy) and son (Grub). I joined the family and close friends of Jane for a private sendoff in Bournemouth, UK, her hometown. Beautiful and emotional moment. Her body was cremated and some of her ashes will go to Gombe, Kigoma, where her legend started.
15
28
250
I think everyone should understand this so here it is in simple terms: Imagine you’re trying to find a single book in the biggest library in the world. A normal computer checks one shelf after another. It’s faster than human, but still does it one shelf at a time. A quantum
New breakthrough quantum algorithm published in @Nature today: Our Willow chip has achieved the first-ever verifiable quantum advantage. Willow ran the algorithm - which we’ve named Quantum Echoes - 13,000x faster than the best classical algorithm on one of the world's fastest
4
23
55
TRC wapewe maua yao, kwa namna nguzo zilivyokuwa zimelala nilihisi huduma kurudi ni baada ya siku 2 hivi
15
15
95
Pale Ngara tuliwahi kuwa na Luteni Evance Balama, kuna wakati alihamishwa wananchi wakaomba arudishwe kwa namna alivyokuwa anasimamia nidhamu ya watumishi wa umma na miradi ya maendeleo.
Zamani kulikuwa na wakuu wa mikoa Majamaa yalikuwa very strong na yanaogopwa,Kagera tuliwahi kuwa na M/Mkoa Ndugu Kiwelu tumaini kila mtoto hata mkubwa alimjua pasi na simu wala internet,Yule mshua alikuwa anaacha gari wilayani anatembea na miguu vijijini peke yake anakagua shule
0
1
9
😂😂
Charles Barkley: "I was nervous today…Every person who's ever touched a ball wanted to be on ESPN. They are the greatest sports network ever." Kenny Smith: “Do you want a napkin for all that kissing up you just did?” 🤣🤣🤣🤣. (via @SportsCenter)
0
1
0
Cha kushuruku Mungu hakuna kifo. Nawahurumia waliokuwa tayari njiani kutokea Dodoma na waliokuwa wanasubiria Moro bila kusahau wenye tiketi za baadae.
2
2
23