NM_AIST Profile Banner
nmaist _official Profile
nmaist _official

@NM_AIST

Followers
5K
Following
218
Media
969
Statuses
1K

A research based African HLI dedicated to solving African challenges through MSc. &PhD in Science, Technology Research & Innovation . more: https://t.co/VltFR

Arusha, Tanzania
Joined November 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NM_AIST
nmaist _official
7 hours
Prof Liliane Pasape .Amidi Shule Kuu ya Mafunzo ya Biashara na Sayansi za Jamii NM-AIST anaungana na wadau wengine katika Tuyajenge Talk na Maarifa Camp ya Malkia wa Nguvu ya Clouds Media Group akizungumzia kuhusu “Wanawake, Sayansi na Uongozi: Kujenga Uchumi wa Maarifa Afrika”
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1
@NM_AIST
nmaist _official
8 hours
NM-AIST invites innovators to apply for the 3rd Cohort of its Innovation-Based Incubation Program. Turn your ideas into real-world impact. Who Should Apply?.✅ Innovators from NM-AIST or beyond. Apply or contact incubation@nm-aist.ac.tz.#Innovation
Tweet media one
0
0
0
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
This visit strengthens regional ties to accelerate innovation, research, and sustainable development across Africa. #STEMAfrica #ScienceForAfrica #TechForGood.
0
0
0
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
He also shared opportunities for NM-AIST scholars to intern across ECSAHC and partner institutionally and internationally.
1
0
0
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
Dr. Kapologwe praised NM-AIST’s “5D” focus and called for greater collaboration in health, nutrition, water, environment and life sciences.
1
0
0
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
Prof. Kipanyula reaffirmed NM-AIST’s mission to produce top-tier human capital and solve societal & industrial challenges through science and technology.
1
0
0
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
NM-AIST welcomed Dr. Ntuli Kapologwe, Director General of the East, Central and Southern Africa Health Community (ECSAHC). Talks with VC Prof. Kipanyula focused on joint research, IP commercialization, start-ups & regional innovation hubs. #NMAIST #AfricaInnovation
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
3
@NM_AIST
nmaist _official
10 hours
Mbio za Nelson Mandela msimu wa zaibua vipaji & matumaini kwa wasichana katika sayansi. Zaidi ya washiriki 700 wakikusanyika Arusha kuunga mkono elimu ya wasichana kupitia STEM. Kauli mbiu: Jitihada kwa Sayansi, Hatua kwa Mafanikio .#MandelaRun #STEMforGirls #NM_AIST
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
5
@NM_AIST
nmaist _official
4 days
Tukio hili linaendana kikamilifu na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuwawezesha wanawake na wasichana kielimu hasa katika masomo ya sayansi Uhandisi Hisabati Teknolojia na Ubunifu Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Mwinyi Ahmed Mwinyi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
4
@NM_AIST
nmaist _official
4 days
“Mbio hizi ni sehemu ya dhamira ya taasisi yetu kukuza usawa wa kijinsia, kukuza vipaji na kuandaa kizazi kipya cha wataalamu wa Afrika kupitia elimu ya sayansi.”Prof. Maulilio Kipanyula #NelsonMandelaMarathon#season2#
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
6
@NM_AIST
nmaist _official
8 days
NM-AIST yaadhimisha Wiki ya Ubunifu kwa kishindo. Ubunifu wa wanafunzi wa St. Joseph watingisha maonesho kwa #Drone ya kisasa inayopanda mbegu kwa kutumia teknolojia ya kupima ukubwa wa shamba. #InnovationWeek2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
6
@NM_AIST
nmaist _official
9 days
"Mbio hizi ni sehemu ya harakati za kuhamasisha elimu ya Sayansi, Teknolojia,Uhandisi na Hisabati kwa vitendo.Tunaamini kwamba kupitia michezo,hasa riadha,kufikia jamii kwa kuvutia vijana, hasa wasichana, kujiamini na kushiriki katika taaluma za kisayansi,” Prof. Kipanyula.
Tweet media one
Tweet media two
0
1
3
@NM_AIST
nmaist _official
14 days
FURSA YA UFADHILI WA MASOMO
Tweet media one
0
4
5
@NM_AIST
nmaist _official
14 days
Fursa ya Ufadhili wa masomo ya kupitia SAMIA EXTENDED SCHOLARSHIP DS/AI+ . Tafadhali tembelea tovuti ya @wizara_elimuTz, @NM-AIST @costechTANZANIA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
10
27
@NM_AIST
nmaist _official
14 days
Nelson Mandela’s legacy inspires us to harness science, technology, and innovation as powerful tools for progress, equality, and a sustainable future. This upcoming Science, Engineering, Technology And Innovation Week, let’s advance knowledge that uplifts people and the planet.
Tweet media one
0
2
14
@NM_AIST
nmaist _official
16 days
"Taasisi yetu imejiandaa kikamilifu kwa ajili kambi ya awali ya mafunzo (bootcamp) ikiwemo mazingira bora ya mafunzo ili kuwajengea wanufaika maarifa na ujuzi wa kisasa tayari kwa kujiunga na vyuo vikuu vya nje" Prof. Maulilio Kipanyula
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
8
@NM_AIST
nmaist _official
16 days
Prof. Mkenda, amezindua rasmi programu ya SAMIA Extended Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wanaojiandaa kujiunga na shahada ya kwanza, kupata ufadhili wa masomo katika vyuo vikuu bora duniani katika fani za kimkakati za Sayansi ya Data, Akili unde na Sayansi Shirikishi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
4
@NM_AIST
nmaist _official
17 days
Uzinduzi wa Samia Extended Scholarship DS/AI+
Tweet media one
0
2
8
@NM_AIST
nmaist _official
17 days
Tweet media one
0
0
3
@NM_AIST
nmaist _official
22 days
Congratulations to Mr. Hashimu Hamisi on successfully defending his PhD in Materials Science & Engineering at NM-AIST. Thesis: “Synthesis of High-Strength and Durable Metakaolin Based Geopolymer Cured at Ambient Temperature”.#PhDDefense #NM_AIST #GeopolymerResearch
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
1
15