MichaelMwebe Profile Banner
MichaelMwebe Profile
MichaelMwebe

@MichaelMwebe

Followers
105K
Following
34K
Media
4K
Statuses
61K

Faith || Family || Football ||

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
Joined January 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
11 months
Ligi Kuu. The only league we can truly call our own.
5
14
397
@MimiMefoInfo
MMI News
22 hours
In the Gabonese national team, a defender is nicknamed "Paul Biya" for his long tenure with the national team. ๐Ÿ˜ฌ
37
269
966
@premium
Premium
5 months
Why guess when you can know?
0
775
9K
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
2 days
Gusa achia twende mbele...Azizi Ki.
4
5
84
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
3 days
Huyu ana haki ya kusema 'nshomile'
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
4 days
Hongera sana Faza, Wakili Msomi Dr. Rugemeleza Nshala, Mungu aendelee kukuweka.
0
0
17
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
5 days
Duh!
@gateteviews
Gatete Nyiringabo Ruhumuliza ๐ŸŒž
6 days
M23 has finally taken the Golan Heights, from where they oversee Hezbollah, Hamas and Syria. They can never give it back! Haram!
0
0
29
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
6 days
"Oh, Morris! Oh! Wow, Morris!
3
6
106
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
6 days
"James Akaminko. Oh, he thinks he is the only one playing today." @OtaiPeter
4
3
73
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
9 days
Ofa ya pesa nzuri mezani unaichukua au unasubiri mchezaji aende kwenye mashindano makubwa?
@iDiskiTimes
iDiski Times
9 days
๐ŸŽ™๏ธ ๐—›๐˜‚๐—ด๐—ผ ๐—•๐—ฟ๐—ผ๐—ผ๐˜€ ๐—ผ๐—ป ๐— ๐—ฏ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐— ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ'๐˜€ ๐˜๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ณ๐—ฒ๐—ฟ ๐˜๐—ผ ๐—–๐—ต๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ด๐—ผ ๐—™๐—ถ๐—ฟ๐—ฒ: "I don't think it's the right move [for him]. "But I know what happened, a woman who is his agent and think she knows football is doing what many agents are doing
3
0
38
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
9 days
Mwenda kawekwa benchi na Kapombe muda wote aliokuwa Simba. Kapombe hakuitwa kwenye mechi ya Iran, Mwenda akapata nafasi ya kuanza alichokifanya wote tulikiona. Hajakabwa anarudisha mpira bila sababu-tukafungwa kizembe. Unaposhindana namba na mkongwe fanya kweli ukipata nafasi.
@AhmedLusajo
Ahmed Lusajo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
@MichaelMwebe Mwaka gani huo?
2
0
43
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
9 days
Ushindani ni mdogo eneo la kipa wa Taifa Stars. Manula akiamua anarejesha namba haraka. Hatuhitaji kupiga kelele arejeshwe Stars wakati anawekwa benchi na Zuberi Foba pale Azam. Manula haihitaji PR wala self interest kucheza Stars, namba yake ipo but he has to earn it.
7
4
112
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
11 days
Mzize alikuwa na watu mbele yake tena karibu na 18 kabisa lakini akafanya maamuzi ya haraka. Huyu ambaye angepasiwa yuko nyuma...zaidi ya mita 50 kama huoni hiki basi ni wazi kuwa unaongea after the fact. Mabao bora mara nyingi yanatokana na uamuzi wa haraka wa mfungaji.
@privaldinho
Privaldinho
11 days
Haya ni matukio tofauti kabisa mkuu. Mzize hakukuwa na mtu aliyekuwa Kwenye nafasi nzuri zaidi, hivyo aliamua kutandika shuti. Huyu kijana wako alikuwa kwenye nafasi ya kufanya touch bora zaidi kuliko alichoamua kufanya. Tunaita kazi bure. Ni ubora ni matokeo sio mchakato
2
0
16
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
11 days
Hata Mzize asingefunga hapa tungesema maamuzi ya hovyo kwa sababu alikuwa na options za kupasi. Kafunga kapewa tuzo ya Bao Bora la Mwaka. Baada ya tukio, kila mtu ni genius.
@privaldinho
Privaldinho
11 days
@MichaelMwebe Haina maana hiyo miguso kama mguso wa mwisho ni wa hovyo. Hakuna tofauti na kutongoza wanawake na hakuna kitu unafanya
3
0
40
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
11 days
Two perfect touches that set up the next action.
3
3
64
@ShottaZee
Nchema
12 days
Every time I see arial views of Peter Mokaba Stadium I get mad cos it was initially meant to be fully roofed but money got chowed and only one side was roofed. I hope one day its construction will be completed cos it will be one beautiful stadium.
@AJSilverCFC
Mr. Nigerian Football
13 days
The attendance at the Peter Mokaba stadium in South africa this evening For a League Cup Final Match is impressive. Orlando Pirates vs Marumo Gallants.
54
430
2K
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
12 days
Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Kila la kheri @HimidMao pamoja na kikosi cha Azam.
2
3
59
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
12 days
Afrika Magharibi ni wazee wa shughuli ngumu. Kuna nyakati pale Chelsea na Man City, mambo yakiwa magumu Essien na Toure walikuwa wanachukua sheria mkononi. Toure alikuwa anapita kati kama vile ana mapanga.
@AJEnglish
Al Jazeera English
12 days
BREAKING: A group of soldiers appeared on Beninโ€™s state TV, announcing they had dissolved the government in what appears to be a coup in the West African nation.
6
6
74
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
15 days
Mohamed Bajaber scores with his very first touch on his Simba debut.
1
5
121
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
19 days
Mchakato wa mabadiliko umetimiza miaka 9 bila kukamilika. Ni Danadana za 'Mapendekezo', Marekebisho' ' Thamani ya klabu'. Hii imekuwa tamthlia ya iSidingo.
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
1 year
Tumeanza kutumia SGR kabla ya mchakato wa mabadiliko ya Simba na Yanga kukamilika. Ukiona 'vijikesi' vinaibuka tambua jahazi halijafika Ufukweni.
5
6
70
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
1 year
Tumeanza kutumia SGR kabla ya mchakato wa mabadiliko ya Simba na Yanga kukamilika. Ukiona 'vijikesi' vinaibuka tambua jahazi halijafika Ufukweni.
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
2 years
Miaka miwili nyuma niliandika, inawezekana SGR ikakamilika kabla ya michakato ya mabadiliko ya Simba na Yanga.
2
9
99
@just_toksik
O.m.B.o.i
20 days
.Mama kafunga safari kwenda kwenye graduation ya mwanae aliyeuwawa kwenye maandamano kavaa joho kwa ajili ya kijana wake.๐Ÿ’”.
48
153
716
@MichaelMwebe
MichaelMwebe
21 days
Hii jezi ya Yanga kama yale maharage ya Bukoba yanayoitwa kainja.
5
0
71