godson_salema Profile Banner
Godson Salema Profile
Godson Salema

@godson_salema

Followers
1K
Following
49K
Media
5K
Statuses
16K

human rights defender Nemo judex in causa sua

Joined August 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@godson_salema
Godson Salema
27 days
The BOT was established by BoT Act1965 No 12 of 1966 this Act was repealed by BOT Act 1995 No.1 of 1995 the reason of appeal this Act were To provide for the more definitely regulatory and supervisory power of BOT Over commercial Banks and financial intermediaries @BankOfTanzania
@kigogo2014
Kigogo Media
27 days
(✍️ na mchambuzi wetu) CRDB NI BANK YA HOVYO NA INATUMIKA KUFANYA WIZI WA KIHISTORIA NCHINI... Haijawahi kutokea duniani bank ikafanya wanachokifanya CRDB. Haiwezekani popote duniani bank kubwa ya kiwango cha CRDB ikafanya walichokifanya na wakaona ni jambo dogo na la kawaida
0
0
0
@godson_salema
Godson Salema
5 hours
@TitoMagoti
Tito Magoti
14 hours
Anateuwa Majaji wote, Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, & CEO wa Mahakama, bila kulazimika kufuata ushuri wa mtu yeyote. Ni Majaji wachache sana ambao sio makada wa mbogamboga. Muundo na utendaji wa Mahakama umejitegemeza ktk utashi wa kipekee wa Rais.
0
0
2
@godson_salema
Godson Salema
5 hours
RT @AbroadTanzania: Jeshini rank ya Captain ndiyo rank pekee ya kuhoji why and how, wengi wao huwa ni wasomi hadi PHD. Rank hii unakuwa kio…
0
5
0
@godson_salema
Godson Salema
6 hours
πŸ˜‚πŸ˜‚anajamba hapa tuu unanichoshaga!! I'm trying to imagine akifanya ivoo πŸ˜‚
@rugemeleza
Rugemeleza Nshala
15 hours
Nchi yetu ni Jamhuri waelewe hivyo Raisi, licha ya mamlaka yake, ni sawa na raia wengine mbele ya Sheria. Shida ni watendaji Serikalini wanamgeuza Mungu mtu ambaye amezaliwa, anakula, anajisaidia, anaugua, anajamba,na anaumwa kama watu wengine wote.
0
0
3
@bizy94
Mbishi βš–
12 hours
🚨 KIMENUKA HASWAAA! πŸ”₯ Mhe. Tundu Lissu anawapiga KOMBATI ya kaki kortini! πŸ’ͺ Shahidi George anayumba, anasita, anahema! πŸ˜… Hati ya uhaini? Haina msingi! πŸ“œ Sheria za uchaguzi? Hakuna kosa la "uasi"! πŸ“– Lissu anasema: "Hatuendi kunyongwa bila mapambano!" πŸ’₯ Watanzania, tukaze
4
39
133
@HildaNewton21
Hilda Newton
19 hours
Leo Tar. 08/10/2025. Ni siku nyingine tutakwenda kumsikiliza Shahidi wa Jamhuri (PW1) ambae ni ACP George Wilbad Bagyemu akiendelea kuulizwa maswali ya Dodoso na Mshitakiwa Mhe.Lissu. Labda niwapatie Dondoo Chache zilizojiri jana. 1. George anasema alipeleleza kesi ya
45
280
980
@MarekaMalili
Lubasha Jr
19 hours
2 Timotheo 1:7 "Kwa maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu, na ya upendo, na ya moyo wa kiasi."
2
25
99
@JohnNgutiCDM
John Nguti Chadema
21 hours
1
50
135
@godson_salema
Godson Salema
1 day
Ruhangissa
@Oleshangay
Joseph Oleshangay
1 day
Hii story ni fupi sana Mwalusanya Lugakingira Mapigano Mwesiumo Samatta Kisanga Baron Katiti
0
0
0
@godson_salema
Godson Salema
1 day
Courts is the final body for dispensation of Justice. Lkn adi Sasa tumeona wamegeuza mahakama Kama Gulio adi ngumi zinarushwa ndani ya mahakama..Sasa Trh 29 Tunaenda kumchomoa ukonga wenyewe
@joeselasini
Mamwavi_Nkabasia
1 day
Siku hizi hata marejeo ya maamuzi ya mahakama za juu ili kuunga mkono msimamo wa sheria au mwenendo wa mashauri ni kama unapuuzwa. Bila mahakama kuwa kimbilio kwa walionyimwa haki zao tusubiri muda si mrefu watu wakipoteza kabisa imani wataanza kuchukua sheria mkononi.
0
0
4
@godson_salema
Godson Salema
1 day
Tumemuona mgombea ubunge kiti cha Uraisi
@Sativa255
SATIVA17
1 day
Kama umeangalia video ya MAMA POLEPOLE kisha ukaja kuona hii picha unakuwa kama umeona ZOMBIE.
0
0
3
@TitoMagoti
Tito Magoti
1 day
Nakubali mike
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
8 years
@TZ_MsemajiMkuu @ChangeTanzania "Usalama wa Nchi" some neno hili hutumika vibaya kulinda Utashi wetu sisi watawala .Its healthy to give pple space to breath
1
2
33
@TitoMagoti
Tito Magoti
1 day
Una maana gani kusema haya?
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
9 years
Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Mis use ya vyombo vya Ulinzi na usalama tunawajibu wa kulinda Taifa letu
4
10
77
@godson_salema
Godson Salema
1 day
@TitoMagoti
Tito Magoti
1 day
Huyo mama anatakiwa azuiwe kujilazimisha kuongoza watu ambao wamemkataa.
0
0
6
@Sativa255
SATIVA17
1 day
Wanajeshi wa jeshi la wananchi kukubali POLEPOLE kupotezwa kama kuku ni USALITI kwa Polepole na wananchi wote kwa ujumla. Hapo nyuma tulikuwa tunapotezwa sisi wakina sativa, walikuwa wanazusha story kuwa tumefumaniwa na wake za watu itakuwa visa vya mapenzi ndiomaana nilitekwa.
43
260
1K
@godson_salema
Godson Salema
1 day
πŸ”§
@TitoMagoti
Tito Magoti
1 day
Kwanini mmeuza bandari?
0
0
1
@godson_salema
Godson Salema
1 day
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
1 day
Brother Lema unadhani wao walikuwa hawajui?, wanajua ndo maana wameungana kuzuia bimkubwa na makarao wake wasipate aibu hata kama wakipata basi iwe ndogo 😁😁😁, hapo ndo unagundua mahakama nayo inahitaji ukombozi
0
0
1
@RweyemamuGrace
Grace Charles Rweyemamu
1 day
NOREFORMSNOELECTION
21
178
2K
@godson_salema
Godson Salema
1 day
.Anaendelea kwakusema wagonjwa wabebwe wapelekwe wakapige Kura then warudishwe.kazi na utu .uwo UTU uko wapii?
@fbuyobe
Fortunatus Buyobe
1 day
Juzi chui walivamia zizi, wakamchukua mbuzi aitwaye mdude, wakaacha damu, wakaondoka Mbuzi tuliosalimika tukaona hayatuhusu Jana chui wamevamia tena zizi letu, wamemchukua mbuzi Humphrey, wakaacha damu, wakaondoka We are next
0
0
3
@godson_salema
Godson Salema
1 day
..Uwoo UTU wanaouzungumzia n upii???
@Advocate_Jebra
Jebra Kambole
1 day
Mmeanza kubeba wagonjwa wakapige kura, bado kubeba maiti tu!!!, Ni madaraka tu na hizo pesa ndo watu wanateseka na kuumia kila siku!
0
0
1
@godson_salema
Godson Salema
1 day
Trh 29 tukimuuliza izo tweets alkua ameandika kuziweka ukutani au
@TitoMagoti
Tito Magoti
1 day
Mbona mnatumia nguvu dhidi ya hoja za Tundu AM Lissu? Uliandika ukiwa umelewa?
0
0
1