HusseinBashe Profile Banner
Hussein M Bashe Profile
Hussein M Bashe

@HusseinBashe

Followers
565K
Following
3K
Media
1K
Statuses
6K

Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza

Nzega/Dar es salaam
Joined November 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
6 days
Asanteni sana Wakulima. Asanteni TARI jana 08.08.2025 tumeweka historia kwa kuzindua Maabara Kuu ya Shughuli za Kilimo ambayo inaendana na utekelezaji wa ujenzi wa Mabaara zingine ambazo zitakuwepo katika kanda mbali mbali. Hii ya Dodoma ndio itakua ‘Central Lab’ na ndani kuna
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
20
39
170
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
6 days
RT @Hakingowi: 📍Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Ki….
0
4
0
@grok
Grok
3 days
Turn old photos into videos and see friends and family come to life. Try Grok Imagine, free for a limited time.
649
1K
5K
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
6 days
RT @Hakingowi: 📍Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo il….
0
4
0
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
29 days
RT @TheSwahiliPost: 📍Chinangali, Dodoma. Vijana wako shambani wanapiga kazi, Awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu imewaamini vijana wa kit….
0
3
0
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
1 month
#Kumbukizi. Sauti kwenye hii video ni kutoka kwenye kikao changu na Bodi ya Tume ya Umwagiliaji May 15 - 2022, tulipokubaliana vipaumbele kuelekea bajeti ya 2022/2023. Hakika tulipanga mengi na tumepiga hatua kubwa kwenye Sekta ya Umwagiliaji katika kipindi hiki cha miaka 3,
2
2
13
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
1 month
#NaneNane Jisajili Sasa -
Tweet media one
6
20
51
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
1 month
Heri ya Sikukuu ya Saba Saba.
7
14
27
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
1 month
06.07.2025 tulipata heshima ya kuwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwenye Kongamano la Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani jijini Dodoma. Katika hotuba yake Dkt. Biteko amesisitiza kuwa mchango wa kilimo kwenye Pato la Taifa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
21
79
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
1 month
Wadau wa Kahawa 📌
Tweet media one
13
33
118
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
TZ achieves major agricultural gains under Samia’s leadership
5
6
18
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
Uzinduzi wa Kiwanda Cha Mbolea Cha Itracom 28.06.2025, Nala - Dodoma. Maono, Mipango, Mikakati, Utekelezaji, Mrejesho - hivi ndivyo ambavyo tumeweza kupiga hatua kwenye Sekta ya Kilimo Tanzanis. Mbolea ya Ruzuku ni moja ya hatua muhimu tulizochukua kuhakikisha wakulima wetu
18
42
146
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
RT @SuluhuSamia: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya ndugu zetu 37 na majeruhi 30 kutokana na ajali ya barabarani iliyotok….
0
168
0
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
📍Dodoma.🗓️ 28.06.2025. Mapema leo kwenye Uzinduzi wa Kiwanda Cha Mbolea Itracom,ambapo mgeni rasmi alikua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Meja Jenerali (Mst) Evariste Ndayishimiye. Kiwanda cha ITRACOM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
24
94
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
Uzinduzi wa Kiwanda cha Mbolea cha Itracom leo 28.06.2025, Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
14
31
158
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
Mapema leo kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilicho ongozwa na Mhe. Rais Dkt @SuluhuSamia Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
109
29
264
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
RT @RMinjben: @HusseinBashe Ningeshauri Bomba lingine la umwagiliaji litoke ziwa Victoria/Nyanza kutokea upande wa Mkoa wa Mara kwenda Arus….
0
1
0
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
Hongera sana. Unalimia wapi?.
@Shitegwa08
Soviet
2 months
Mtaji wa masikini huu ila ndo utii wa mgongo wa tanzania! Mwaka wetu huu.@HusseinBashe
Tweet media one
80
27
461
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
RT @Shitegwa08: Mtaji wa masikini huu ila ndo utii wa mgongo wa tanzania! Mwaka wetu huu.@HusseinBashe
Tweet media one
0
8
0
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
Mradi wa Ziwa Victoria wenye ukubwa wa hekta milioni 3 zinazofanyiwa upembuzi yakinifu na usanifu wa mfumo wa mabomba ya umwagiliaji kutoka ziwa Tanganyika na ziwa Victoria utaunganishwa na mkoa wa Tabora na kusafirishwa hadi mikoa ya Singida na Dodoma. Mradi huo unahusisha pia
19
18
31
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
2 months
RT @MwananchiNews: Jukwaa la Fikra linamtambulisha rasmi Taji Liundi kama mshereheshaji wa mjadala kuhusu miundombinu kama kichocheo cha uk….
0
1
0