
Grace Charles Rweyemamu
@RweyemamuGrace
Followers
2K
Following
233
Media
89
Statuses
350
Injustice anywhere is a threat to justice everywhere.
Joined November 2018
Je hii ndiyo Tanzania tuitakayo? Mungu tunakulilia. Usikawie.
2
21
61
Mama yake Mhe Humphrey Polepole. Aiseee maumivu ya mama huyu anayemlilia mwanae arudishwe ni makali sana. Maumivu kila kona, vilio kila kona. Mpaka lini haya mambo?
1
3
19
Hizi video zimeniliza sana 😭😭😭 Mama mzazi pamoja na mke wa Evarest James Ramadhan Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya Ikungi ambae ametekwa tangu juzi. Wakilia kwa uchungu mbele ya DC wa Ikungi Thomas Apson ambae leo ameenda nyumbani kwa kina Evarest Kwahiyo Idd Amin Mama
62
305
1K
Serikali ya Idd Amin Mama imeachanganyikiwa Imagjne wamemkamta Mwenyekiti wetu wa Jimbo la Kibamba Ernest Mgawe wanamtuhumu kwamba yeye ndo anahamasisha Maandamano kwenye vituo vya Mwemdokasi. Kwamba Idd Amin Mama na Jeshi lake la Polisi wanashindwa kutambua kwamba sasa hivi
12
117
537
Tumtakie kheri SC Mpoki @MpaleMpoki katika siku yake ya kuzaliwa. Mzee wetu Mpoki ni Wakili wa umma. Amefanya na kushinda kesi nyingi zilizoleta mageuzi nchini. Kila tukihitaji msaada wake huwa tuna uhakika wa kuupata. Tunamshukuru kwa majitoleo yake na kumuombea baraka tele.
46
237
1K
Wananchi wakiimba Tuueni. Hii ni jana usiku mitaa ya Magomeni baada ya wananchi kuonyesha hasira zao juu ya usafiri wa mwendokasi na polisi kufyatua risasi kujaribu kuwatafanya. Je watanzania bado ni waoga? Na je haya ndiyo mambo watawala wanayataka?
0
16
53
Tuna ndoto za kubadili maisha ya watu wetu, kuwapa makazi bora na mazingira bora ya kuishi. Kuwapa miji safi, yenye miundombinu bora na iliyopangwa vizuri. Inawezekana. Wakati huo kiongozi wao anawaza taa za barabarani!!! Diwani atafanya nini kama mgombea urais anatoa ahadi
28
183
655
Ukiingia kwenye mtandao ukaandika Rivonia Trial ya kina Mandela ya mwaka 1963. Utaletewa picha za watu mahakamani, utapata hotuba halisi iliyorekodiwa mahakamani. Mandela alitoa hotuba ya utetezi ilirekodiwa na vyombo vya habari. Miaka 62 baadae tunaambiwa na Watanzania
35
338
1K
Wananchi wanaimba “Hatuitakiiii CCM” Hii ni video ya leo September 30, 2025
18
236
1K
*MARUFUKU KUBWA* Asemavyo Andrew Kambarage Nyerere, mtoto wa kwanza wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kuhusu Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) - kilichoasisiwa na Mwalimu Nyerere.
0
1
2
Kimara Kona, Ubungo, Dar es Salaam, asubuhi ya leo. Wananchi wanaimba “tunamtaka Tundu Lissu”. Mbogamboga mchezo wenu wa kuwalazimisha wananchi kuwapenda kwa lazima haujazaa matunda. Pamoja na kumtunza TAL gerezani siku 180 anakumbukwa na wananchi na wanaimba jina lake bila
69
503
2K
Hivi ndivyo watu wetu wanavyohangaika kupata hata sh 100 ya Kitanzania. Alafu anatoa hapo visenti kidogo, kodi kila mahali, then kwenye bidhaa kodi. Mtoto mdogo kama huyo anahangaika na mama yake kupata hata chakula, katika mazingira magumu, bila vifaa wala kinga. Huyu binti
42
271
1K
Oktoba Mosi ni siku wa wazee duniani, @BazechaTaifa wataadhimisha siku hiyo kidigitali na mgeni rasmi atakuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn.
4
103
504
Wananchi wanapoanza kuona na kutambua kwamba adui yao mkubwa ni serikali. Ujue siku si nyingi watachukua hatua kali dhidi ya serikali hiyo.
Unachofanyia mabinti wa watu - ujue kuna hili jambo la KARMA! Kama hujui ndo nakwambia “what goes around comes around” Jipime kama umeshindwa kuwa na utu na wanawake wenzako Ila #TutaelewanaTu hata baadaye!
20
134
748
#EnforcedDisappearance #Tanzania Where is Farida Mikoroti? More than 24 hours since she was abuducted by @tanpol This now qualifies as enforced disappearance by all standards! Release her or charge her in court! Huyu dada mwachieni mara moja @SuluhuSamia - mnachofanya ni
20
179
500
Mnataka kutukamata kwa sababu zipi? Watanzania wanataka haki. Watanzania wanataka maendeleo. Je njia sahihi ni kuwafunga midomo? Sisi tunasema NO REFORMS NO ELECTION na HATUTANYAMAZA.
1
36
125
#FreeFarida
@tanpol huyu dada anawezaje kuwa tishio hadi mmemchukua Ila nawaeleza ukweli madhulmat - mnachowafanyia wengine yatawarudia na familia zenu maana hii ni too much! Inajenga chuki kubwa sana! Kweli mmeamua kutesa na kuteka kama mkakati na sera @ccm_tanzania ?
27
329
1K