John Nguti Chadema
@JohnNgutiCDM
Followers
10K
Following
18K
Media
4K
Statuses
14K
Human Rights Activist & Good Rule of Law || GROUNDERS Media Communication Officer || Chairman of BAVICHA Ilala State || Member of CHADEMA Political Party....
Dar-es-Salaam Tanzania
Joined July 2021
Acha inyeshe tuone panapovuja
‼️ BREAKING NEWS ‼️‼️ #Tanzania Godfrey Mwambe aliyewahi kuwa Waziri alitekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na @tanpol Kumbukeni huyu aliwahi kuwa Waziri wa Uwekezaji na mkuu wa Tanzania Investment Centre Kisa ni kuviziana wenyewe kwa wenyewe na Mwambe
6
38
241
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenan Kihongosi ndiye anayeongoza kikosi cha Majangili wanao report accounts zetu ili zifungwe. Leo amewapongeza sana kwa kazi nzuri waliyofanya na anawasisitiza wa report hizi accounts mpaka zifungiwe. Naambiwa waratibu wakuu ni wenyeviti na Makatibu wa
25
91
322
@mangekimambi Hapo sasa umenena, hakuna kuwapa pumzi Hawa maharamia. Kesho maandamano kuanzia alfajiri 💥💥💥
4
13
92
Samia na wauaji wenzako chukueni huu ushauri, Watanganyika wamewakataa, hakuna namna mnaweza kuongoza hii nchi. #D9.
1
49
191
Arusha ujumbe utafika tu na maandamano haya hayana Kikomo, je mtaruhusu wananchi wafunge maduka siku zote au mtawapa wananchi wanachokitaka? #D9. #MsiogopeTutashinda.
6
97
351
Ee mwenyezi Mungu kasimame nasi siku hii ya uhuru wa taifa letu Tanganyika ✋
6
61
270
Licha ya vikwazo vingi vya Polisi, Wananchi wanaendelea kuingia Barabarani na Mabango yao yenye madai ya msingi. #D9.
24
311
1K
Kuanzia Mbezi kuja Kimara, Ubungo, Manzese tuingie Barabara kubwa muda huu, Uelekeo ni Mnazi mmoja Ilala. #D9.
23
160
541
Wakati wa Ukombozi wa Tanganyika ni Kesho. Rai yangu kwa Watanganyika wote twende tukakatae mauaji na utekaji kwa vitendo.
1
52
199
Bado masaa machache tuanze sherehe za Uhuru wa Tanganyika.. barabara ni zetu hakuna wa kutuvuruga.
3
43
128