bwanabora Profile Banner
Don Dee Dion Profile
Don Dee Dion

@bwanabora

Followers
299
Following
34K
Media
37
Statuses
3K

Joined March 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
4 days
Sylvanus Olympio: Rais Tajiri, shujaa wa Togo aliyeuwawa kinyama kwenye mapinduzi Sylvanus Olympio, rais wa kwanza wa Togo, ni mmoja wa viongozi wa historia ya Afrika ambao maisha yake yalijumuisha tajiri, uhodari, siasa na hatimaye mapinduzi yasiyosahaulika.
5
17
123
@Roma_Mkatoliki
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
10 days
Boycotting ni culture inatushinda sana watanzania wengi!! Huwa tuna-Act masaa 12 tu then tunasanda, Hatuna consistency!! Hatuwezi kushikilia bomba!! Hii tungeiweza ilikuwa ni moja ya silaha nzuri sana, huhitaji bunduki,kifaru wala bomu kumuadhibu adui!! Sasa tunajisahau
91
411
2K
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
1 year
Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao. Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha
256
1K
3K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
17 days
¿Y TÚ ERES MADRE TAMBIÉN ? Hii kauli ya Rais Samia, sio kauli ambayo unategemea kuisikia kutoka kwa MAMA, wala kutoka kwa COMFORTER IN CHIEF. Mama zangu (wakubwa na wadogo), Mama Mzazi, Shangazi zangu na even Dada zangu ambao tayari wana Watoto, wote kila mmoja kwa Wakati wake
56
214
712
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 month
Usipite bila kurepost Kutoka @usedpointTz Hp probook 435 G7 Touchscreen x360°✅ Amd Ryzen 7 4500✅ Ram 16GB✅ Ssd 512GB✅ Based processor 1.7GHz~ 4.0GHz✅ 16 CPU processor 10th generation✅ Backlight keyboard✅ Fingerprint✅ 1,200,000/= Only ☎️0788106694 FREE DELIVERY
0
16
15
@NeymarJrSite
Neymar Jr Site
1 month
✋🏾😝🤚🏾
369
10K
122K
@AnnaTibaijuka
Anna Tibaijuka
2 months
SAKATA LA MJANE MIKOCHENI KUTOLEWA KWENYE NYUMBA YA FAMILIA KWA MABAVU NA MABAUNSA. INASIKITISHA. Nawashukuru DC wa Kinondoni na RC wa DSM Mhe Chalamila kuchukua hatua zinazoweza kuutatua. Mimi nikaona nitoe elimu ya ujumla. Mwaka 2011 nilikuwa Waziri wa ardhi. Tulikuwa
27
72
340
@ze_mandevu
The mandevu
2 months
Kiroho Safi naomba Repost yako hapa.👊
6
95
243
@Rydx_017
Latto 𝕏
2 months
Unatoka kazini saa 11:00 jioni na laptop ya ofisi, ukitegemea kwenda kumalizia kazi getto ukifika. Kwa sababu mwendokasi ni shida unachelewa fika nyumbani, unafika saa 2 usiku. Unawasha taa, umeme umeisha, unanunua luku, wanakata hela umeme hawakupi (mtandao wa Luku unasumbua)
39
70
428
@PeopleOfTheInt
People Of The Internet
2 months
S01 has completed🍿 Now, we need S02 ASAP!⏳
31
167
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 months
KNOW THE DIFFERENCES : Songwriter, Producer, Composer, Executive Producer, Sound Engineer, Session Musician, Beatmaker & Vocalist. 🧵 Mtu anaweza kuwa hiyo vyote au kila kitu kinaweza kufanywa na mtu tofauti. Kuwa fulani hakufanyi uwe bora zaidi kwenye mnyororo wa uzalishaji.
5
14
70
@fem_mindset
Fem Mindset
2 months
This is why you should quit P@RN now‼️‼️
113
3K
21K
@PolycarpMDM
Polycarp The Bibliophile
3 months
Akili tu mtu wangu, nguvu kaachiwa ng'ombe
1
19
125
@AdebanjoPhelumy
Adebanjo oluwapelumi
3 months
This Guy Cannot See Heaven's Gate, Justice For This Babe 😂😂
78
156
711
@MwansasuSnr
Malafyale
3 months
SIJUI NANI ANATAKA KUSIKIA HILI, ILA IKIKUFAA ITUNZE. 1/9 1. 2016 nikiwa nishahitimu Chuo hapo nna Duka la Nguo, Banda la Mpira, nalima Tikiti maji huko Sunguvuni Mkoani Pwani na naandika Makala Gazeti la Mtz nilipigiwa simu ya kazi nipeleke CV tu kazi iko tayari nikakataa,
72
215
654
@TheRealJongwe
Joseph Mbilinyi
3 months
Kissing KISUTU goodbye… Eying for the High Court with our heads up! Jana was the greatest Mr CHAIRMAN ,the display was EPIC! Katuga and team looked very ELEMENTARY! #NoReformsNoElection #FREELISSU
50
395
3K
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
3 months
Bro, nitakwambia kitu kimoja Hakuna mtu anayejali; -Hustle zako -Msako unaopiga -Idea zako kubwa -Ndoto & maono yako -Harakati zako za kibabe -Changamoto unazopitia -Bidhaa/huduma zako mpya Watu wanasubiri mwisho wako Ukianguka—jiandae kuchekwa Ukitusua-jiandae kuwa na machawa
52
152
703
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
3 months
Bro, tushakuwa watu wazima, acha ufala & ushamba wa kwenda date ufukweni, restaurant, cozy café, movie night, food festival nk 1st Date: Unam video call - Zoom/Google Meet 2nd Date: Unamchukua mnaenda Kisutu kusikiliza kesi ya TAL 3rd Date: Kituo cha watoto yatima Be a MAN!🫵🏽
59
170
1K