Polycarp The Bibliophile
@PolycarpMDM
Followers
20K
Following
232K
Media
10K
Statuses
43K
- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)
Iringa, Tanzania
Joined March 2018
NGOJA NIKUPE STORY YA JAMAA MMOJA. Pichani ni Mavazi yanayopatikana ndani ya Makumbusho ya Uhalifu (Museum of Criminology) inayopatikana huko Roma, Italia. JE MAVAZI HAYA NI YA NANI? ( THREAD π§΅)
82
218
1K
Mi nazijua 10 tu, Ujue Shule za msingi zikiwa nje ya town huwa hazina jina sana. 1. St. Charles Primary School 2. St. Ann's Primary School 3. Camaldoli Pre and Primary School 4. Fr. Silviopasquali Pre and Primary School 5. Mt. Felix Primary School 6. St. Dominic Savio Pre and
@PolycarpMDM Primary nadhani zipo 19 kama sijakosea.
1
1
3
Iringa pale kuna shule matata sana, za Secondary tu ziko 18 Iringa. 1. Maria Consolata Secondary School 2. St. Mary's Ulete Secondary School 3. Bethel Sab's Girls Secondary School 4. Cagliero Girls Secondary School 5. St. Joseph Ipogolo Secondary School 6. St. Thomas Nyabula
@MarekaMalili Jimbo la Iringa kwa jumla lina taasisi za elimu 61: shule za awali, msingi, sekondari, vyuo vya ufundi, chuo cha kilimo, na elimu ya juu.
6
2
17
Elon mzee wa Maokoto katuletea hii The Core Trucker Hat. Anaiuza $35 ni kama 92,750 TZS za madafu. Unaonaje?
0
0
2
Wakili Msomi @peterkibatala nashauri hawa vijana wafungue kesi ya madai kwa Jamhuri kupitia mahakama za kimataifa. @_.niffer._ na @mikachavala sio wahaini na hawajawahi kuwa wahaini, lakini wamekamatwa, wamepigwa na kuteswa kwa sababu tu ya kuexercise uhuru wao kidemokrasia. Hawa
3
5
42
Liko wazi WANAUME Wawe wanajuana au hawajuani WANAUME SIKU ZOTE NI NDUGU Mwanaume dhidi ya mwanaume mwezie hawajawahi kutupana bila kujali Hali waliyonayo π«Ά
14
72
389
Mchekeshaji Mkojani amewaomba vijana kwenda kutazama kazi zake YouTube apata hata fedha ya unga. "Gen Z legezeni kidogo, unga nyumbani umeisha. Twendeni YouTube Gen Z" - Mkojani kupitia Instagram. π€£π€£π€£
22
7
111
Hili ndilo Kaburi la Bwana Napoleon Bonaparte lipo ndani ya kanisa linaloitwa "Dome des Invalides" huko nchini Ufaransa. Licha ya Ubabe wake na Akili zake, Jamaa mwisho wake ulikua mfupi na mbaya sana, Unajua ilikuaje? Jamaa katika utawala wake, Alizikataza kabisa nchi za ulaya
10
26
191
SIKU KAMA YA LEO Mwaka 1804 Mbabe wa Kuitwa Napoleon Bonaparte alijivisha taji yeye mwenyewe kuwa Kaisari wa Wafaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia. Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya familia ya Kifalme, Huhesabika kama moja ya matukio 10 makuu ya
1
5
41
kwenye tasnia zingine, umahiri na ubunifu huzawadiwa; kwenye uandishi wa habari sifa hizo hizo zitakufanya uadhibiwe.
0
4
43
Radio Maisha ya Kenya wanauliza, Taifa ambalo limetajwa kwamba vijana wana maisha magumu ni lipi?
5
30
129
Hili Taifa tuna wazee wa ajabu sana. Ndio maana mimi huwa sipishi wazee kwenye seat za Daladala
8
15
197
"Raia wamepoteza maisha kwa kupigwa Risasi, Je mnafamu risasi zinauzwa na nani?
5
47
215
Baada ya Hotuba kwa Wazee, Vijana wameanza kutoa ya Moyoni. Kiukweli inaumiza.
34
328
909
Hawa jamaa wanachekaga hivi hivi unaeza dhani wamekuelewa halafu kesho wanakuja na spana kubwa zaidi π€£π€£π€£π€£
57
116
1K
Kukiri Ukweli kwamba watu waliuawa mchana kweupe, Hatuhitaji tume ituambie. - Kitima.
1
11
62
If New York is like this, Then Africa is civilizedπ
1
3
16
Kusema Vijana walilipwa ili kuandamana si sawa. - Kitima
5
41
239