JabirSaleh Profile Banner
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi Profile
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi

@JabirSaleh

Followers
71K
Following
34K
Media
6K
Statuses
121K

Head of Programs Productions (Radio) Tv and Radio personality Efm/Tve Tanzania Music Analyst

DAR ES SALAAM,TANZANIA
Joined July 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
5 months
#Hiphopfamily napenda kuwashukuru wote ambao wameweka nia ya kutoa support kwenye nia yangu ya wazo la Podcast maalum ya Hiphop,hivyo kwa yoyote alie tayari kutoa support anaweza kufanya hivyo kupitia namba ifuatayo. 255 715 888 550 .Jina ; Jabir S. Ali . Natanguliza Shukran
Tweet media one
8
79
153
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
30 minutes
@Nshemereirwe_
Ammon🇺🇬
13 hours
Your girlfriend at campus 😂
Tweet media one
1
0
2
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Baba na mwana ni
Tweet media one
@ArtOfDialogue_
The Art Of Dialogue
2 days
King Combs tried to get his girlfriend to twerk for the audience and she shuts it down.
0
0
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
RT @shabani_Gaddafi: @JabirSaleh Role model.
0
1
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
lililoroea Marekani. Mmanga tumsiklizishe mtoto ya geti kali ya Ya inspector Haroun Babu au Prof Jay na Juma Nature “Zali mentali”?😆. #Mmangamademu - French Montana
Tweet media one
Tweet media two
0
0
3
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Toto la Kiarabu lina utajiri wa zaidi Dola millioni 300 (zaidi ya Billinio 600 za ki Nyoso) wakati #Mmangamadem Montana utajiri wake ni Dolla millioni 50 tu (kama Biliioni 100 za kinyoso ) yani kapitwa mara 6 bwana Sema ndo ivyo Toto la kibambadi limekolea kwa huni la Kimorocco👇🏾
Tweet media one
1
0
2
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
#Mmangamademu safari hii kashikwa sana wazee na mtoto wa koo ya kifalme 😁. #Mmanga kasahau muziki .#mmanga kasahau uhuni .#Mmanga kasahau “YALAMAU” 😆 na mengine mengi .Nadhani kwa mara ya kwanza hapa itakua msanii anahongwa hela na mwanamke badala ya yeye kuhonga,YES hilo👇🏾
Tweet media one
10
2
30
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Tweet media one
0
937
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Ila huyu aisee jamaa sjui alikua anamkoleza na nini hilo penzi Kama tamthilia ya Hollywood 😆.
@MarekaMalili
Lubasha Jr
1 day
Ku hang out na wahalifu wakianza ku tie loose hands hukoswi. Bongo celebs uwa wanaona raha tuu kurusha michupa ya mapombe.
3
0
11
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
RT @McinikaWaLamar: Hizi ndizo podcast za Kibongo nazofuatilia kwa karibu. 1. Men The Podcast.2. Siasa Zetu .3. Hip Hop Corner .4. Dudu Bay….
0
50
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Asante sana Daktari ,Wiki hii Kaa tayari itakua ya moto zaidi In shaa Allah.
@McinikaWaLamar
Daktari Wa Manesi 💉💊
1 day
Hizi ndizo podcast za Kibongo nazofuatilia kwa karibu. 1. Men The Podcast.2. Siasa Zetu .3. Hip Hop Corner .4. Dudu Baya Podcast . Wewe ipi umeiona inasahaulika ila inastahili kusikilizwa zaidi?.
1
0
1
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
RT @adrianijr: @JabirSaleh Vitu vyako 😅.
0
1
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Sehemu pekee nayoweza kua karibu na mashabiki wa Penaldo😀.
@PoojaMedia
POOJA!!!
2 days
SIUUUUUUUU
Tweet media one
6
0
20
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
RT @OmaryMsang71254: @JabirSaleh Kabisa brother 🤝.
0
1
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Brother kama anataka kujibu ajibu tu ,kwenye Hiphop tukitaka fanya jambo tunafanya bila ya kungalia views yani kwanza fikisha chakula mengine yatafuata ndio mana Bongo kuna wanahiphop wanauza albums mkononi bila views za online na wanaishi tu😀.
@DKabugumila
Mwesi
1 day
@JabirSaleh Mkuu kaka,hivi viewers 100k zitafika kweli au ndiyo Kali kagomea kujibu kimtindo??!! 😆.
5
3
35
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
RT @BleacherReport: Michael Jordan voted the GREATEST NBA PLAYER EVER 🚨🐐. Top 100 all time list: .
0
6K
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
Iko wazi kama vazi la kahaba.
@BleacherReport
Bleacher Report
2 days
Michael Jordan voted the GREATEST NBA PLAYER EVER 🚨🐐. Top 100 all time list:
Tweet media one
1
0
2
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
1 day
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 days
Ngeli isipopanda lazima utoke kapa…!! . Ina maana ulikuwa hushangai kwanini alikuwa ameweka COUNTDOWN YA TIME… iliyokuwa inalingana na urefu wa Flight Time? 🤷🏾‍♂️.
1
0
3
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
2 days
RT @faudearmimi: Ikawe kheri kwenye kila hatua leo. Karibuni mnunue sabuni ya Cleanplus kwa matumizi ya kusafishia majumbani na maofisini….
0
27
0
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
3 days
Real Queen of Hiphop.
@365CharlesParis
O.T.G
4 days
Rah Digga, MC Lyte and Lady of Rage 📸
Tweet media one
0
0
1
@JabirSaleh
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
3 days
RT @365CharlesParis: Rah Digga, MC Lyte and Lady of Rage 📸
Tweet media one
0
916
0