TweveDevota Profile Banner
DevotaTweve Profile
DevotaTweve

@TweveDevota

Followers
85K
Following
143K
Media
5K
Statuses
114K

Journalist | Instagram https://t.co/59Bh6zcLr1

Tanzania
Joined July 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TweveDevota
DevotaTweve
1 year
Wanafunzi wa sekondar wanapata wapi ujasiri wa kujirekodi video za utupu? Hawafikirii maisha yao ya badae, hawajui kama wanawaumiza wazazi wao pia. Inaumiza sana kwakweli.
181
38
684
@TweveDevota
DevotaTweve
13 hours
Katika maisha yetu kujifunza kupitia makosa yetu au ya wengine inatakiwa kuwa kawaida.
@MarekaMalili
Lubasha Jr
16 hours
Kujifunza kutoka kwa makosa ya wengine ni ishara ya hekima na unyenyekevu. Watu wengi hupotea si kwa sababu hawana akili, bali kwa sababu hawataki kusikiliza waliojikwaa kabla yao. Mungu hutupa mifano ya maisha ya wengine si kwa kuwahukumu, bali kutufunza tusirudie makosa hayo.
0
1
6
@premium
Premium
3 months
Grow faster on the world's largest group chat.
0
314
5K
@TweveDevota
DevotaTweve
13 hours
Niko Isapulano, Makete nimeiona Kunguru imefungwa kikopo shingoni hadi sasa majibu ninayopewa sijayaelewa๐Ÿ˜…
12
3
78
@Mwaki28
Mwaki
13 hours
Ukatili wa kisiasa dhidi ya wanawake, ikiwemo ukatili wa kingono, ukatili wa kisaikolojia na vitisho ili kunyamazishwa na kubaguliwa ni kikwazo kikubwa kwa ushiriki wao katika siasa, hali hii inayodhoofisha demokrasia na kukandamiza haki zao. #16DaysTanzania2025
1
22
21
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
16 hours
Kuna mambo unayaona/kuyasikia kwa majirani zako. Usipochukua hatua ya kujifunza yatakukuta na wewe ili majirani zako nao wapate fursa ya kuyasikia/kuyaona yakikutokea!!
0
18
53
@TweveDevota
DevotaTweve
14 hours
Ukatili wa kisiasa dhidi ya wanawake ikiwemo ukatili wa kingono, kisaikolojia na vitisho ili kunyamazishwa na kubaguliwa ni kikwazo kikubwa kwa ushiriki wao katika siasa, hali hii inayodhoofisha demokrasia na kukandamiza haki zao. #16DaysTanzania2025 #OurVoicesOurSafety
0
7
11
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 day
Nani anataka 16 plain 256Gb anipe 1.7 battery-96%
4
10
73
@Chopawang
ร‡hรธpรซr
14 hours
KIROHO SAFI NAOMBA RETWEET YAKO FAMILIA ๐Ÿ’ฐ BET OF THE DAY ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿฆ COMPANY : FAN-SPORT ๐Ÿ“Œ ๐ŸŽฏ ODDS 10+ ๐Ÿงพ CODE ๐Ÿ‘‰ U1UML ๐Ÿ’ฐ STAKE: 50,000/= JISAJILI FAN-SPORT๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”— https://t.co/ONfWI4h1wK ๐Ÿช„ Sehemu Ya Promocode Jaza: MYBONUS JOIN FREE WHATSAPP GROUP ๐Ÿ‘‡ https://t.co/LUellxY1lz
3
38
35
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ngoja nilale sasa.
@YoungAfricansSC
Young Africans SC
1 day
1
0
2
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Unataka awe mhojiwa wa kwanza kwenye #SiasaZetu?
@bajabiri
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ
1 day
Hii season mpya ya @ZetuSiasa mtuleee profesa Wenje jamani. #SiasaZetu
1
0
3
@FarajaNyalandu
Faraja Kotta
2 days
Narudia tena siasa ziko mtaani. Haina shortcut. #ElimikaWikiendi
188
24
182
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Mzee Bwege.
@TheChanzo
The Chanzo
1 day
Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'.
1
1
8
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Kuna mambo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku yanaumiza sana ni vile mengine hakuna namna.
0
0
1
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Mke mbaroni kwa tuhuma za kumuua mume wake na kumzika chumbani. Cc: Mwananchi
2
0
5
@TweveDevota
DevotaTweve
1 day
Siasa ndio maisha yetu hivyo ni lazima tujadili masuala mbalimbali yanayohusu siasa ndani ya @ZetuSiasa Usikose kufuatilia msimu mpya wa #SiasaZetu #SiasaNiMwananchi
1
11
18
@bajabiri
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ
2 days
#SiasaZetu imerudi kivingine .. usisite kutembelea @ZetuSiasa #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
2
3
7
@kapeto98
KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 day
Ni Muda Muafaka sasa Wa Kupata Kitu Cha Tofauti Kutoka @ZetuSiasa. โ€“Sauti mpya. โ€“Mtazamo mpya. Tukutane YouTube kwa mazungumzo ya maana kuhusu siasa kwenye Jukwa la #SiasaZetu #SiasaNiWananchi
5
18
14
@McinikaWaLamar
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š
1 day
Katika dunia ya leo, uelewa wa kisiasa ni silaha muhimu. @ZetuSiasa Podcast imekuja kuwa jukwaa la sauti za wananchi, mjadala wa kina na hoja zinazogusa uhalisia wa maisha. Chini ya usukani wa Stanslaus Lambe, tunajadili mada muhimu kwa mtazamo huru, wazi na wenye kuelimisha.
4
21
24
@BarackObama
Barack Obama
2 days
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions.
8K
25K
160K
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
2 days
Mtaalam kabisa @mkutubi26 ndani ya @ZetuSiasa anatusogezea Sauti mpya, pamoja na mitazamo mipya inayohusu #SiasaZetu Tanzania unataka kujua nini amekuandalia kuhusu Siasa Zetu? Hakikisha hukosi mjadala huu hivi karibuni kupitia youtube channel yetu ๐Ÿค๐Ÿค
4
15
17
@MarekaMalili
Lubasha Jr
1 day
Biashara zangu ni Zile zile, Viwanja, na Apartment pale Bwiru Mwanza. Niungeni mkono basi.
10
48
330