
KAPETO🇹🇿
@kapeto98
Followers
128K
Following
945K
Media
9K
Statuses
314K
Insurance | Risk Management | Social Media Influencer | 📎 @Absgroup_tz Arsenal Fan 🎈
Tanzania
Joined March 2020
Midomo inaumba tunatakiwa kujisemea Mema kila siku. 1. MIMI ni Mshindi All the time. 2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio. 3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo. 4. Mungu ni Wetu Sote. 5. Mungu Atupe Mafanikio. 6. Mungu atuepushe na Husda. 7. Mungu atupe Watu wema. Hatuna Budi
22
69
255
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia akiendelea na kampeni za Uchaguzi mkuu wilayani Muleba, mkoani Kagera, ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali imefanya mambo
37
48
42
Zaidi ya wananchi 18,000 wananufaika na mradi wa Maji wa Kemondo - Rubafu. Oktoba29 Tunatiki Samia amefanikisha upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama.
0
4
5
📌MAFANIKIO KARAGWE, KAGERA Oktoba29 Tunatiki Samia Amejenga zahanati 5 mpya ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Amejenga shule 6 za sekondari zenye thamani ya TSh bilioni 7.9. Ametoa TSh bilioni 2.4 kukamilisha ujenzi wa vituo vipya vya Kibona, Nyabionza na Nyakakika.
0
10
12
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu Kayanga, mkoani Kagera, amesema kuwa Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya kwa kujenga vituo vipya vya afya
21
28
25
Serikali itatunisha mifuko kwa vijana wanaomaliza kidato cha sita kwenda vyuoni, ili kuwasaidia wazazi katika usomeshaji. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
3
4
Ujenzi wa Shule mpya ya Msingi Byengeragere wilayani Muleba umewaondolea wanafunzi zaidi ya 250 adha ya kutembea zaidi ya kilomita 25 kufuata masomo. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
9
9
There's always been a fight over the true story of America. I believe deeply in the story that says we’re all created equal, and that if we can treat each other with decency and respect, all of us will be better off.
11K
9K
62K
Wanawake Kagera waapa kumchagua Dkt. Samia Oktoba 29. #KaziNaUtuTunasongaMbele
https://t.co/YvDPkAofR1
0
0
1
Premium Good Quality ✅ Size: M - 2XL Price: 20,000/= Delivery Yes I Do Location Kariakoo Mtaa Congo Jengo La Raha Restaurant Call & Dm +255626560477.
5
32
50
Serikali itamalizia kusambaza umeme katika maeneo yote yaliyobakia. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
3
4
Ahsanteni sana Kayanga. Upendo wenu, ukarimu wenu, nia yenu na uamuzi wenu wa Kura ya Ndiyo ifikapo Oktoba 29 nimeuona katika wingi wenu. Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki.
41
69
104
Hamimu Baranyikwa mkazi wa Kagera amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kugharamia matibabu yake ya ngozi na pia kumjengea nyumba nzuri yenye samani zote. Oktoba29 Tunatiki Samia kwa sababu ni kiongozi mwenye utu.
12
27
20
Mama anawapa vijana ujuzi; anawapa ajira na uwezo wa kujitegemea. Huu ni uhalisia kutoka Kagera. Oktoba29 Tunatiki Samia.
7
37
20
Serikali imetoa miche ya kahawa 588,530 yenye thamani ya shilingi milioni 189 kwa wakulima. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
3
4
AHADI ZA CCM MISSENYI 2025-2030 Serikali itajenga barabara ya Kibaoni–Bunazi–Kagera Sugar Junction km 25 kwa kiwango cha lami, kuboresha usafirishaji wa mazao. Serikali itakamilisha barabara ya Kyetema–Katoro–Kyaka km 38, kuhakikisha wananchi wanapata usafiri rahisi na salama.
0
11
12
Mama ameweka rekodi Kagera kwa kujenga chuo kikuu cha kwanza cha umma. Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam linajengwa na litakamilika Desemba 2025. Oktoba29 Tunatiki Samia.
0
6
8
Serikali imetoa TSh bilioni 183 kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jimbo la Missenyi. Wananchi wanasema Oktoba29 Tunatiki Samia
0
10
10
Serikali imekamilisha ujenzi wa shule za msingi 7 Ngara. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
2
2
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu Kayanga, mkoani Kagera, amesema kuwa Serikali imejidhatiti kumaliza changamoto ya upatikanaji wa umeme nchini.
26
32
27