ManenoIzaak Profile Banner
Handsome La Kijiji Profile
Handsome La Kijiji

@ManenoIzaak

Followers
428K
Following
39K
Media
13K
Statuses
511K

Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe Maisha yangu.

Iringa, Tanzania
Joined November 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
7 years
Kwenye Maisha Changamoto Kubwa Ni Kwamba Wapo Watu Ambao Wataamua Kupambana Na Umasikini Walionao. Lakini Vile Vile Wapo Watu Ambao Badala Ya Kuunga Mkono Juhudi Za Kupambana Na Umasikini Huo Wao Wataamua Kupambana Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini.
189
546
3K
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
17 hours
RT @Network_321: @ManenoIzaak Namtumbo Songea ni mwendo wa saa 1, Songea To Dar kwa ndege ni 2 hours jumla masaa 3 tuu.
0
1
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
17 hours
RT @DiraYaSamia: TANZANIA KUWA KITOVU CHA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI NA KATI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @Suluh….
0
20
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
17 hours
Serikali hii inaupiga mwingi bwana au sio.
@DiraYaSamia
Dira Ya Samia
18 hours
TANZANIA KUWA KITOVU CHA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI NA KATI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, amewahutubia wananchi katika eneo la Kwala, mkoani Pwani, mara baada ya kuzindua rasmi safari za treni ya mizigo kupitia reli ya kisasa ya SGR na
0
0
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
20 hours
We jamaa upo?.
@EdwardCosseny
Dr.Frey Edward Cosseny🇹🇿
22 hours
@ManenoIzaak Nahisi huyu ndiye Katibu Mkuu wa CCM ajaye.
1
1
4
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
20 hours
RT @DiraYaSamia: RAIS SAMIA AZINDUA RASMI USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUPITIA SGR – BANDARI KAVU YA KWALA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan….
0
21
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
20 hours
Aisee!!!.
@DiraYaSamia
Dira Ya Samia
20 hours
RAIS SAMIA AZINDUA RASMI USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUPITIA SGR – BANDARI KAVU YA KWALA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @samia_suluhu_hassan , leo Alhamisi, Julai 31, 2025, ameweka historia mpya kwa kuzindua rasmi usafirishaji wa mizigo kupitia reli ya kisasa ya
0
0
1
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
21 hours
Ameshinda?😀.
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 day
Kada wa CCM Mkoani Rukwa Jacqueline Mzindakaya ameshika nafasi ya pili kwenye kura za Maoni Viti Maalum kupitia UWT Mkoani Rukwa baada ya kupata kura 434. Matokeo kamili ni kama ifuatavyo;. 1.SILVIA SIGULA 494.2 JACQUELINE MZINDAKAYA 434.3.BUPE NELSON 220.4.AGRIPINA MIZINGA 173
Tweet media one
5
0
8
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
21 hours
😀😀😀😀😀.
@Jambotv_
Jambo TV
2 days
VIDEO:. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
0
0
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
22 hours
RT @raphyrodrick: UNATAFUTA SUTI KALI?.Harusi, send-off au kazini onekana smart na @suitmseleleko!. Three pieces: 180,000. Safari Suit: 150….
0
91
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
22 hours
RT @HecheJohn: TAARIFA KWA UMMA. Kama chama tunalaani kwa nguvu zetu zote tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wetu akiwa katika viunga vy….
0
371
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
RT @neemalugangira: 🙏🏽 Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutekeleza majukumu yangu kwa mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka mitano (20….
0
20
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
CCM hii hii?.
@iHumphreyz
iHumphreys
2 days
Leaving January Makamba off your roster is a grave mistake.
0
0
2
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
RT @iHumphreyz: Leaving January Makamba off your roster is a grave mistake.
0
25
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
RT @Eric__Bernard: Usikose kufuatilia Matangazo Moja kwa Moja Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya tukio Kubwa leo Bandari ya Kwala! http….
0
11
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
RT @McinikaWaLamar: Biashara haingoji Umeishiwa mzigo Unahitaji pesa ya dharura?.@softfinancetz wanakupatia mkopo ndani ya dakika 45 tu.1.….
0
25
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
RT @DiraYaSamia: RAIS SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU NA KONGANI KUBWA YA VIWANDA KWALA, PWANI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.….
0
18
0
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
23 hours
Jana si alikuwa NAMTUMBO?.
@DiraYaSamia
Dira Ya Samia
24 hours
RAIS SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU NA KONGANI KUBWA YA VIWANDA KWALA, PWANI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, Siku ya leo anatarajiwa kuzindua Bandari Kavu ya Kwala pamoja na kuweka jiwe la msingi la Kongani ya Viwanda Kwala, mkoani Pwani, mradi
Tweet media one
2
0
4
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
1 day
Huyu wa kumuwekea maneno ya Akiba kwa CCM hii huwezi kusema ukamaliza.
@millardayo
millardayo
2 days
Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), January Makamba amesema amekubaliana na uamuzi wa kamati kuu wa kuondoa jina lake la kugombea Ubunge Jimbo la Bumbuli. Makamba ameyasema hayo ikiwa siku chache toka Kamati Kuu itangaze majina ya
Tweet media one
3
0
17
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
1 day
Jamaa wamuachie tu aisee.
@VitusNkuna
Vitus Nkuna
2 days
Mwachieni Mzee Lissu arudi kitaa aendeleze harakati zake na chama chake.
Tweet media one
4
0
13
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
1 day
RT @JohnMallya: Watakuelewa lakini bado watabisha.
0
1
0