
SiasaZetu
@ZetuSiasa
Followers
3K
Following
531
Media
672
Statuses
1K
Jukwaa Linalojadili Maendeleo, Siasa, Diplomasia na Yanayojiri nchini Tanzania. #SiasaZetu
Tanzania
Joined April 2024
#SiasaZetuTakeOver ni jukwaa ambapo tunawaleta wataalamu mbalimbali kutupa maarifa, ushauri, na vidokezo muhimu kuhusu masuala ya siasa na maendeleo. Kupitia hashtag hi, utaweza kujifunza mambo usiyoyajua na kupata ufahamu zaidi kuhusu uchaguzi, sera, na kanuni zinazotawala. Leo
1
10
38
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
1
3
Milima ni alama ya uzuri, urithi na uhai wa taifa, ikivutia dunia, kulinda mazingira, kuhifadhi vyanzo vya maji, na kuendeleza utalii unaochangia maendeleo ya nchi. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
2
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Salim Ahmed Salim . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
2
7
24
Heri ya Sikukuu ya Wakulima β Nane Nane πΎπΉπΏ.Leo tunasherehekea nguvu, hekima na bidii ya wakulima wetu, watu wanaoibadilisha ardhi kuwa chakula, ajira na maendeleo ya taifa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
4
Pumzika kwa amani Hayati Job Ndugai. Umeacha alama ya uzalendo, hekima, na utumishi uliotukuka kwa Taifa letu ,Kazi yako itaendelea kuenziwa milele. Lala salama shujaa wa Bunge letu. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
1
7
6
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Job Yustino Ndugai. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
3
4
12
Je, Kura moja ya mwananchi inaweza kubadilisha mwelekeo wa taifa zima?. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo.
0
4
8
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Bernard Kamilius Membe. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
5
20
Mbuga za wanyama ni rasilimali muhimu za kitaifa zinazosaidia kuhifadhi mazingira na viumbe hai, kukuza sekta ya utalii, kuongeza pato la taifa na kutoa nafasi za ajira kwa wananchi, huku zikihakikisha urithi wa asili unadumu kwa vizazi vijavyo. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi
0
1
1
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. January yusuf Makamba. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
8
26
Takwimu za uandikishaji wa wapiga kura zinaonyesha mwitikio mpana wa wananchi kushiriki kwenye zoezi hili muhimu. Ni hatua inayobeba maana ya ushiriki wa kila mmoja katika masuala ya kitaifa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
13
Je unafahamu π€ ni sababu zipi zinazoweza kusababisha chama cha siasa kufutwa nchini Tanzania kulingana na sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 pamoja na marekebisho yake. π . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
5
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Paul Christian Makonda. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
4
Je, mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi yanaweza kubadilisha mwelekeo wa Dira ya Taifa? Jiunge nasi jumamosi hii katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kusikiliza mjadala huu. π[26/7/2025]Jumamosi.β°[10:00-12:00] Mchana . #SiasaZetu
1
8
14