
Mpale Mpoki
@MpaleMpoki
Followers
4K
Following
5K
Media
578
Statuses
3K
It never gets old. It becomes relevant and realistic all the time.@MariaSTsehai @lifeofmshaba
1
5
12
The strength of the judiciary is very important as it is an important vehicle in an orderly, contented and just society @MariaSTsehai @lifeofmshaba @Advocate_Jebra
1
4
16
Kwa nini nafasi muhimu hazitangazwi ? Kwa nini hazifanyiwi usaili kwa nini waliofaulu usability hawapelekwi bungeni for approval etc.Uteuzi wa siri unaleta cronyism incompetency katika utumishi wa umma.
@MpaleMpoki @hakaido2 @MariaSTsehai Ajira yoyote, Mkataba wowote wa Utumishi kwa Umma, Nafasi zozote za Uwakilishi wa Umma Bungeni, LAZIMA ZIWE NA UKOMO MAALUM WA MUDA, .expiry of term contract. Muda ukiisha, Mkataba wa Utumishi umekwisha. Renewal of Contract lazima ifanyike Upya kwa Masharti Mapya.
0
6
25
Katiba yetu imepitwa na wakati na imeundwa kwenye mfumo wa Chama kimoja cha siasa. 1977 Enzi za chama kushika hatamu. Taasisi zinazoundwa kwa mujibu wa katiba ni weak sana ndio maana checks and balances ni ndoto. Ona chombo kama CHRAGG ni kama vile hakipo kabisa. Tuna bill of.
@MpaleMpoki @hakaido2 @MariaSTsehai The 1977 Constitution NEEDS TO RE WRITTEN VERY NEATLY, kuondoa hayo MAKANDOKANDO ya Abracadabra. JANJAJANJA na UTAPELI MTUPU katika Siasa za Tanzania.
3
5
23
Kuficha mashahidi wa mashitaka,askari magereza na kuacha mahakimu, prosecutor na majaji wakiwa wanajulikana ni ushamba wa kisheria wa hali ya juu mno. Tasnia ya sheria tumejivua nguo hadharani. Mwenye madhara sio shahidi ni anayeendesha kesi na anayeamua .Kuna kingine cha zaidi.
‼️MSIOGOPE‼️.Wanamtandao wako kazini 👇🏾🙄.Ila uzuri tumeshaambiwa mipango ni hivi:.👉🏽 Shahidi wa siri ni mmoja aliyekosa nafasi ya uongozi baada ya January.👉🏽 anaenda kutoa ushahidi kuwa Lissu alifuatwa na mataifa ya nje na kuhongwa ampindue Bi Kizimkazi.👉🏽Mahakama itamhukumu
4
36
129
Kama kudai kurekebishwa kwa mfumo wa uchaguzi Tanzania ili uwe wa huru na haki ni uhaini basi wahaini Tanzania wako wengi sana.
Mahakama za Tanzania!!!!. Kesi kubwa hii, zama za teknolojia hizi, mnataka kuendesha kesi yenye hukumu ya kunyonga kwa kuficha mashahidi!!!!! How?. Kama mtu atakua kizimbani kutoa ushahidi akiwa na computer, simu au amendikiwa au hata AI inaongea nani atamuona!!!. Jambo mmoja kwa
6
33
116
RT @GenZMediaKE: Jambo @MpaleMpoki , Ngoma ya ukombozi wa Nchi ya Tanzania kutoka kwa mikono ya Rais Samia. Sambaza kwa marafiki na WhatsAp….
0
2
0
Uhuru wa tume huru ya uchaguzi umezungumziwa sana kuwa tume si huru lutokana na muundo na uteuzi wake (Rule of Bias)!! Hili ni doa kubwa sana .Aliyekuteua wewe ni mgombea vile vile hii imekaaje .Daftari la wapiga kura liwekwe na kwenye tovuti ya tume ili raia wakague.
#TANZANIA: KAILIMA AWATAKA WANASIASA KUACHA KUPOTOSHA JUU YA IDADI YA WAPIGA KURA 2025, "NJOONI TUWAPE TAARIFA SAHIHI".Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani akitolea ufafanuzi wa taarifa zilizotolewa hivi karibuni na baadhi ya Wanasiasa kwamba takwimu ya idadi ya
0
13
46
RT @IAMartin_: Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI. 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari….
0
317
0
Hawajui kama kuna nchi hazina magereza na kuwa endapo wanachi tutaamua tunaweza kuondokana na mfumo wa sasa wa magereza ambao ni wa adhabu na sio wa masahihisho na rehabilitation Tukiamua askari magereza waatakuwa jobless !!.
1
12
50
Imani kwa mahakama haipimwi na kumaliza mapema kesi za uchaguzi! Imani inapimwa na jinsi mahakama inavyojipambanua kuona mfumo mzima wa uchaguzi ni wa haki,sheria za hakikuhusu uchaguzi, uhuru wa vyombo vinavyosimamia uchaguzi na uwezo wa wagombea kupinga matokeo kwagharama nafuu.
Hakika maake wengine wametoa hadi mazuio yanayo zuia baafhi ya vyama kujiandaa. it is unfair,illegal and irrational.
1
18
48