
Police Force TZ
@tanpol
Followers
475K
Following
27
Media
5K
Statuses
9K
Tanzania Police Force - Usalama Wa Raia na Mali zao
Box 961 Dodoma, Tanzania
Joined October 2013
lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za kisiasa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu na kushiriki kupiga kura Oktoba 29, 2025.
instagram.com
0
0
0
vyao vya usafiri. Pia, amewataka kuwafichua wahalifu ambao wamekuwa wakishinda kwenye vituo vya mabasi na kuwaibia abiria mizigo yao bila kumuonea muhali ili wachukuliwe hatua stahiki mapema ya kufikishwa katika vyombo vya sheria.
instagram.com
0
0
0
#SOC2025 .Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea tuzo ya Shukrani kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura baada ya kufungua Mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea TPS - Moshi.
3
7
39
#SOC2025 .Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea tuzo Maalumu kutoka kwa IGP Camillus Wambura. Tuzo hiyo imetolelewa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wake katika kusimamia Usalama na Amani nchini.
6
1
19
#SOC2025.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt Maduhu Kazi akiwasili katika Viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, leo Agosti 11, 2025, kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi.
2
2
41
#SOC2025 .Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, akiwasili katika ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, leo Agosti 11, 2025, kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi.
4
2
48
#SOC2025 .Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania - Moshi kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofunguliwa leo Agosti 11, 2025 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Isdor Mpango.
1
6
50