
Chama Cha Mapinduzi
@ccm_tanzania
Followers
890K
Following
517
Media
10K
Statuses
20K
Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9
Tanzania
Joined March 2011
Pakua Ratiba Mpya ya Uteuzi wa Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi Kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. #KaziNaUtuTunasongaMbele
23
19
128
🔰IJUE ILANI . Ilani ya CCM 2025-2030, CCM Kuhakikisha Tanzania inakuwa kitovu cha Biashara Mtandaoni kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kupitia Shirika la Posta Tanzania. #kazinaututunasongambele .#oktobatunatiki✅✅
17
25
85
🔰IJUE ILANI. Ilani ya CCM 2025-2030, CCM itaongeza kasi ya huduma za mawasiliano vijijini ili wananchi wanufaike na teknolojia ya habari kwa uzalishaji wa kiuchumi na kijamii, huku ikitekeleza sera za kikodi kuvutia wawekezaji. #kazinaututunasongambele .#oktobatunatiki✅✅
6
14
42
🔰 IJUE ILANI . CCM Kuanzisha Kituo cha Taifa cha Usalama Mtandao kwa ajili ya ulinzi wa miundombinu ya TEHAMA na kuimarisha matumizi salama ya teknolojia ya kidijitali. #kazinaututunasongambele .#oktobatunatiki✅✅
25
36
117
🔰IJUE ILANI . Ilani ya CCM 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 30.CCM itajenga kiwanda cha ujenzi wa meli chenye uwezo wa kuhimili meli zenye uzito wa tani 5,000 katika Ziwa Tanganyika. #kazinaututunasongambele .#oktobatunatiki✅✅
8
15
37
🔰IJUE ILANI . Ilani ya CCM 2025-2030 Sura ya Pili ukurasa wa 29 imeahidi Kujenga Reli na Treni za Mijini (Metro) Katika Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Lengo ikiwa ni Kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa mijini. #kazinaututunasongambele
30
30
105