Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪 Profile Banner
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪 Profile
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪

@NamdiAzikiwe

Followers
69,379
Following
25,796
Media
122,119
Statuses
497,423

©Tanzanian©Volunteer© Entrepreneur©Critic©Truth©Activist©Social justice©Human rights matter© SautiZetu|UhaiWetu|GodsWithGoal|Team it's possible With100%

Nairnside, Scotland
Joined November 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
“Polisi, mnapoona umati kama huu wa Arusha, ukiamua hamna polisi wala jeshi linaloweza kuwazuia. Mkiona umma umetulia, mjue kuna viongozi wao wenye busara wanawatuliza. Lakini uvumilivi unamwisho"-; @freemanmbowetz , M/kiti wa Chadema Taifa. #HakiNaMaendeleoYaWatu 💪
Tweet media one
86
183
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Amini nawaambieni @kigogo2014 ni mzalendo wa kweli katika taifa hili tuungane kumuombea.
82
101
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Kheri James Nini kimekubadilisha toka ujeuri, vitisho, kebehi, dharau, na kugeuka malaika wa nuru? Unataka umoja wa taifa lipi na wakati ulichangia kuligawa kwa kauli zako. Umoja utapatikana sio kwa wito wako kwan japo unasamehewa lakini sidhan kama unaaminika tena. Askofu MUNGA
Tweet media one
51
158
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Jimbo la ubungo anatosha @MayorUbungo mpeni kura ya ndiyo
Tweet media one
58
82
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
"Mfanyakazi yeyote wa Tanzania ukimuuliza mshahara uliongezewa lini atakuambia wakati wa Kikwete, waulizeni Askari hawa hawajaongezwa, nitaongeza mishahara na Serikali nitakayounda itatengeneza mahusiano mazuri na Nchi nyingne" ;- Mhe. @TunduALissu #HakiUhuruNaMaendeleoYaWatu
Tweet media one
37
131
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
6 months
KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA...!! Huyu Kijana ni Mkazi wa DUMILA 😭😭 Amepata changamoto katika utafutaji alikuwa ni dereva bodaboda tarehe '14/10/23 ilikuwa majira ya usiku alipata abilia akamwambia ampeleke sehemu walipofika katikati ya safari alimsimamisha wakati wamesimama
Tweet media one
134
280
2K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Askofu Bagonza anamwambia Rais "Wateule wenye hulka na rekodi ya kukanyaga Sheria na Katiba kwa kisingizio cha uzalendo, wapumzishwe kwa heshima. Hawa ni hatari kwa Rais kuliko walivyo hatari kwa nchi. Rais wetu aimbe wimbo wa HAKI TU, Kazi tutafanya na Taifa litainuka".
23
142
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
10 months
USALAMA WA MAISHA YA PETER MADELEKA UKO HATARINI GEREZANI KISONGO, ARUSHA! Ndugu Watanzania! Sisi Askofu Mwamakula tumejulishwa juu ya njama zinazopangwa kutaka kuondoa uhai wa Peter Madeleka. Taarifa hizi zimevujishwa na mmoja wa Askari Magereza kutoka Gereza la Kisongo
Tweet media one
80
241
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
#Lissu alikuwa wa mwisho kuteuliwa kuwania urais na Nec, #Lissu kawekwa wa mwisho kwenye karatasi ya kupigia kura lakini amini nawaambieni #Lissu ndiye atakayetangazwa mshindi na kuwa rais wa awamu ya Sita ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.chagua uhuru,haki na maendeleo ya watu.
Tweet media one
60
206
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Ngwachachani Pemba tayari mama mmoja amepigwa risasi na kufa hapo hapo...Askari alofyatua nae auawa na wananchi.
111
131
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
🤣🤣😂😂
Tweet media one
136
39
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Picha la kutisha kutoka kwa mashangazi. 🔥🏃 @MariaSTsehai @fatma_karume @CatherineRuge
Tweet media one
50
69
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
#Tanpol nimewaona mstari wa mbele kumlinda mgombea wetu wa urais @TunduALissu huu ndio usawa tunaohubiri
53
111
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
1 year
Waheshimiwa Jamhuri ya twitter salaam nawaandikia✍️ Hizi hapa chini ni namba za simu za wabunge wote wa @BungeTanzania mtumie ujumbe wa kukera mbunge wako mwambie aache kuwa dalali wa kuuza bandari✍️ Ahsanteni
Tweet media one
158
386
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Naomba kuwapa pole wote walioteswa na kunyanyaswa na utawala wa awamu ya tano kwa mateso,kejeli,masimango,utekaji,wasiojulikana,kudhulumiwa haki na kadhia nyingi na hatimaye mpaka leo hii kwa neema ya Mungu mpo hai sifa na utukufu kwa Mungu🤝 @MariaSTsehai @fatma_karume
Tweet media one
47
58
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
11 months
Hello @DP_World we citizens of the united Republic of Tanzania we would like to inform you that we are total 💯 against with your bogus agreement concerning all ports of 🇹🇿? Simple advice to you is that take your money back and leave our ports free? There is nothing to fear
Tweet media one
95
242
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
#TuliaAckson tena kawa deiwaka wa saidia fundi? Hii yote ubunge? @fatma_karume
Tweet media one
221
41
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Geita shikamooni🤣🤣🤣
64
107
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Nawasihi sana vyombo vyetu vya usalama (Jeshi la Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa), msitumie vyombo na silaha zilizonunuliwa kwa fedha za Watanzania, kutuumiza na kutetea uovu huu wa Magufuli na CCM yake! #SasaBasi #NguvuYaUmma #TunduLissu2020 #NiYeye2020 😘💪
Tweet media one
18
88
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Kwa wasiomfahamu job chacha 73 ni miongoni mwa wapigania haki na vyama vingi Tz miaka 1990 ni kati ya watu waliokuwa wakiandika barua za wazi "Daily News" na magazeti mengine, kudai vyama vingi wakati huo. Kwa taaluma ni Mhasibu (ACCA) London miaka ya 1970 Jana amepata dhamana
Tweet media one
8
67
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Mh @freemanmbowetz shikamoo bado unaendelea kuwa mwamba wa demokrasia Tanzania,Mungu akupe maisha marefu✍🏽
Tweet media one
26
47
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Prof Assad anasema Kabla hajawa CAG (2014) yeye na wenzie watatu walipewa kazi ya kuandika business plan ya Air Tanzania, wakasema shirika hili halifufuki, liwekwe kwenye mufilisi mana mpaka mafuta walikuwa wananunua cash. Alipokuwa CAG alitoa msimamo huo huo kwa maandishi
28
92
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Ahsante Mungu,pamoja na manyanyaso ya miaka yote mitano watanzania wamezidi kuwa imara zaidi....💪💪
Tweet media one
22
63
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Tunaendelea kuwaalika watanzania na dunia kuendelea kuangalia taarifa mbalimbali katika ukurasa wa @kigogo2014 kwa taarifa mbalimbali zinazowekwa katika ukurasa huo bila shaka yoyote. #ChangeTanzania
Tweet media one
26
76
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
"Utafiti uliofanywa na wataalamu wetu mh Lissu atashinda kwa asilimia 65-70% na watanzania wameamua kuikataa Ccm" TunduLissu #Uchaguzi2020 #MchagueTunduLissu
Tweet media one
26
112
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
#VIDEO : Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..." #CAGReportTz #NondoZaAssad #TutaelewanaTu
74
141
1K
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tweet media one
36
34
998
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Twende kazi retweet mpaka yule asiyependa imfikie alipo😘💪
Tweet media one
34
286
988
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Wapiga kura wetu🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
82
47
964
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
“Eti Mimi nimemtuma Halima Mdee! Over my dead body. I’ll never betray this party” @freemanmbowetz You nailed it, kaka.
9
34
944
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
2 years
Ni Martin Maranja Masense ni kiongozi makini na jasiri a.k.a Mtikila wa Karne hii kaka Mwenye hoja zake anapiga mpaka kwenye mshono muite @IAMartin_ akiwasalimia Viongozi na wanachama wa Jimbo tarime Mjini Jana🤝
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
20
76
935
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Iringa ni nyumbani lakini kwa maziwa matamu ni #Tangafresh ✍🏿
Tweet media one
25
96
898
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Jimbo la kongwa.
Tweet media one
68
82
880
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
"Wakati wa kubembelezana na @TumeUchaguziTZ umekwisha" Tundu Lissu #Uchaguzi2020
Tweet media one
6
68
904
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
5 years
Mtazame Mgabe aliwahi sema Zimbabwe ni yake? Akajiita mfalme wa kila kitu? Huyu ni yeye kweli?yote hufika mwisho? Halafu kuna mwingine anahangaika kuwa mfalme? Ipo siku utachoka na tutakuchoka tu? Na ipo siku utakufa? Kwani wewe ni nani? #Mataga jifunzeni @IAMartin_ @kigogo2014
Tweet media one
156
91
863
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
My role model retweet ili kumpa hamasa na nguvu zaidi katika kuitetea haki na kuipinga dhuluma kila uchao @MariaSTsehai
Tweet media one
11
218
870
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
11 months
MSULULU WA WATU AMBAO MAISHA YAO NI HATARINI KUHUSU MKATABA WA BANDARI! Ndugu Watanzania! Tunawiwa pia kuwaeleza kuwa Wakili Msomi Boniface Mwabukusi na yeye pia ametueleza kuwa maisha yake yako hatarini.
Tweet media one
34
87
884
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mwanamke ni nguzo katika nyanza zote retweet mpaka upande wa pili waone @MariaSTsehai @halimamdee @fatma_karume @esteramosbulaya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
42
242
823
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tweet media one
45
80
832
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Ee baba Mungu mwenyezi nawaombea hawa popote pale walipo uwape nguvu na amani katika mpito mgumu wanaopitia.amina
32
35
818
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Huyu ni nani? Tunaomba retweet ili tumjue yeye na wenzake wote wanaotumwa kutekeleza maagizo yasiyo na utaratibu katika nchi yetu @RealHauleGluck @halimamdee @HecheJohn @JonMrema
Tweet media one
51
216
794
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Watu wanechoka wapi hii imetokea?
40
70
797
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
10 months
Watanzania wote wanaopenda haki naomba kutoa rai kwenu kila mmoja mwenye mapenzi na Nchi hii hakikisha unamblock dalali kitenge na kuwapuuza wasafi media.tuungane sasa #OkoaBandariZetu . #WenyeNchiWananchi #TutaelewanaTu
Tweet media one
298
188
808
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Wanaume wa Roma wametoka na andiko.
Tweet media one
Tweet media two
17
69
805
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Lile dude lilishasema huku ni sitting room
9
19
783
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 months
👇🏼Makonda popote ulipo sikiliza ujumbe wako
24
210
809
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Jimbo la tarime vijijini mitano tena @HecheJohn
Tweet media one
10
49
768
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tunatunza kumbukumbu #TutaelewanaTu
52
90
764
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tetesi zilizopo ni kuwa makatibu wakuu wastaafu ndugu #Kinana na #Makamba wameamua kujiondoa katika chama cha mapinduzi? Je tutarajie nao watapigwa rungu la uhujumu uchumi? @kigogo2014
Tweet media one
53
39
761
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Hapa ni kwetu na kwetu ni hapa Iringa kamwene.
Tweet media one
10
51
756
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ZEC Amesema Baada ya Kupiga kura hesabu hazitafanyika vituoni. Bali katika sehemu maalum. Hakueleza usalama wa masanduku utakuwa vipi Kwa ufupi hakuna uchaguzi kama kuingia barabarani tuanze tu kesho mpaka tuje tupatanishwe upya na Mataifa
Tweet media one
78
107
744
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Bi.Husna💪💪💪💪💪
Tweet media one
22
34
723
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
“Kama Kuna Mtanzania anaamini Matokeo ya Uchaguzi yaliyotangazwa ni sahihi basi atangulie Mirembe akapimwe akili. “- @freemanmbowetz
Tweet media one
25
61
721
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Hakika #Bawacha imekuwa imara sana
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
4 years
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi @JKISHOA (Jesca Kishoa) kwa tiketi ya @ChademaTz akielekea kuchukua fomu ya kugombea Ubunge katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba. Wanawake wanazidi kunifurahisha. Huu moto wao sio mchezo. Tutashinda na tutangazwa.
21
56
538
11
33
714
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Mwamba @kigogo2014 nampenda bure juzi dadangu mtawa mmoja ananiambia huyu ningemuona ningembusu tu nimuongezee ulinzi wa Mungu
@adamlutta
adamlutta
3 years
Bila Kigogo ungejua hata maana ya TISS ?
93
20
1K
18
30
700
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
1 year
Mbunge wa viti maalumu na waziri wa habari #NapeNauye afungia akaunti za simu za mwanaharakati wa haki za binadamu 🇹🇿 @DEUSDEDITHSOKA hii ni kutokana na mwanaharakati huyo kutangaza maandamano ya kupinga mswaada wa bandari na usalama wa Taifa uliopitishwa na Tulia na Ndugu zake
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
70
134
704
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
7 months
"Kupata katiba mpya hakuhitaji idhini ya rais kwasababu katiba ni ya wananchi, wananchi wakiamua wameamua,wala rais hatii saini" Jaji Warioba
Tweet media one
19
138
700
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Yule msemaji wa magereza aseme sasa hawa maaskari magereza ni wa nchi gani? @RealHauleGluck @kigogo2014
Tweet media one
70
53
694
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
"Tunahitaji Rais atakayetufariji. Na mimi naomba niseme hapa, mkikipa chama chetu dhamana ya kuongoza nchi hii, mtakuwa mmepata mfariji mkuu"- @TunduALissu #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu #SasaBasi
Tweet media one
Tweet media two
10
61
677
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Wale wote Waliokuwa wanampelekea Taarifa za Uongo @MagufuliJP Kwamba Upinzani Umekufa na ameumaliza kabisa. Wajiandae kurudisha Pesa za Mzee wa watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ✍️
Tweet media one
48
56
680
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Simamia haki uhesabiwe haki,hakika nawapenda kwa kuisimamia haki na kupinga uovu hadharani Mungu awape kubali cha kuishi miaka mingi @fatma_karume @MariaSTsehai
Tweet media one
Tweet media two
7
30
672
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Sikiliza mwenyewe kisha mshukuru #Mungu 🙏
33
56
669
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
1 year
Nini kimejificha kwenye mabadiliko ya mswaada wa sheria ya usalama wa Taifa 2023? Watanzania wenzangu salaam,leo nawaandikia kuhusu mswaada uliopelekwa bungeni kuhusu kubadilisha sheria ya usalama wa Taifa kifupi ni hatari kwa mstakabali wa Taifa na Watanzania wote watawala,
Tweet media one
34
72
677
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Kwaheri uchaguzi @kigogo2014
Tweet media one
31
18
654
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Sauti ya haki
Tweet media one
14
48
662
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mawe yanatoka huko kijiji cha #Lupaso ee bwana weeee @MSalimu
Tweet media one
24
30
658
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Eti leo Bashiru na tambo zote siyo mjumbe🤣🤣🤣
47
43
646
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
10
93
645
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Sauti ya kawe😘
Tweet media one
7
31
643
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mgombea Ubunge CDM jimbo la Nachingwe na Mawakala wake 10 wametekwa na kikosi cha Polisi wenye silaha usiku wa kuamkia leo. Wamevunja nyumba ya mbunge na kufanya uharibifu mkubwa wa mali, Polisi hao waliongozwa na OCD Kavalambi wakitumia gari la polisi Land cruiser No T377 ACG
16
85
641
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Jambo letu Nguvu yetu, naomba tusambaze taarifa yetu. #Retweet
Tweet media one
5
109
626
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
#BabaSarungi mzima wa afya tele na mwana naye mzima wa afya tele waliowatuma na mliotumwa hamna adabu kabisa #WhereIsMagufuli
Tweet media one
19
27
637
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tunduma na #Tundu na Tanzania inamhitaji sana kwa wakati huu kuliko wakati mwingine wowote pamoja na mateso aliyopitia amekuwa imara kuliko awali aaah mjomba anapiga spana za hoja #TutaelewanaTu
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
4 years
Just WOW! 🤩 Tunduma 💪🏽 Dalili kubwa sana hii wala si ya kupuuza! Naamini kwa dhati - no amount of posho au mabasi yanaweza kuleta watu wengi hivi! Haiwezekani KILA SIKU watu wanajaa hivi KILA KONA Tundu Lissu is moving the hearts and minds in #Tanzania #TutaelewanaTu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
138
211
2K
10
43
633
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Kesho dunia inaadhimisha sikukuu ya wanawake duniani naanza leo kutambua thamani,utu,heshima ya wanawake wote duniani.Tanzania ni nchi iliyobahatika kuwa na mwanaharaki wa haki na mwenye uthubutu na jasiri @MariaSTsehai Mungu akutunze na kukulinda dhidi ya watesi wa haki.
Tweet media one
30
47
630
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
5 years
Ndg Sirro wa Polisi nakusalimia sana popote ulipo?bila shaka upo mzima na utitiri wa walinzi wanaokulinda? Nakuandikia kwa nia njema na kukuonya dhidi ya nguvu unayotumia dhidi ya raia?Amini nakwambia kesho yako haitakuwa nzuri kama hutabadilika na wanaokutuma?ahsante @halimamdee
51
53
616
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Bawacha hakika imekuwa imara chini ya huyu mwamba @halimamdee tazameni kona zote za Tanzania wanawake walivyosimama kutetea haki na utu wa Mtanzania retweet ili ujumbe ufike mpaka alipo mwenyekiti wa @ccmTz @kimaro_ea @fatma_karume @AnethStanley @fredrickjustne @MariaSTsehai
Tweet media one
13
175
631
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
File la #SuzaneMasele limewekwa na limetekelezwa kama @kigogo2014 alivyoahidi lipitieni kisha mpigieni simu ya faraja🤣🤣🤣
Tweet media one
26
22
620
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tweet media one
10
61
604
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Watazame hawa wanaume wote wametumwa kupambana na @fatma_karume ila wanaendelea kutuimarisha tu
Tweet media one
25
22
605
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Sauti inatosha huko🤣🤣🤣🤣🤣
105
60
605
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
10 months
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI AKAMATWA! Ndugu Watanzania! Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga.
Tweet media one
41
154
593
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Eti kuna malaika mweusi anadanganywa upinzani umekufa? Hii ni leo huko #Iringa mjini✍️
Tweet media one
29
30
581
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mwamba kasema #SasaBasi
Tweet media one
23
27
580
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
11 months
Wapendwa Watanzania wenzangu salaam🤝,leo naomba kuuliza swali kwa mawakili wote mlioko hapa ukurasa Jamhuri ya twitter hivi hakuna namna inaweza kufanyika kuwafungulia kesi mahakamani wale wote wanaopotosha umma kuhusu mkataba wa bandari na DPWorld katika vyombo vya habari?
Tweet media one
Tweet media two
58
64
584
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
5 months
"Habari Chief. Sisi ni abiria wa basi la Kilimanjaro lenye namba T 708 DGQ. Tumetoka Moshi saa 12 asubuhi kuja Dar, lakini mwendo wa gari ukatupa wasiwasi kwani ni kama gear zilikua zinakwama. Tumeenda kwa kujikokota mpaka kufika hotelini Korogwe ndipo dereva akakiri kuwa gari
Tweet media one
115
123
588
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mbatia yupo kazini @kigogo2014
Tweet media one
33
13
568
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Jumapili ya kwanza tarehe 03/01/2020
Tweet media one
10
16
563
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 months
Ni @Mwabuk2Boniface 👇🏼👇🏼👇🏼kutoka Jiji la Mbeya mpaka Daresalaam ni Km 830 huu ni uzAlendo kwa nchi🇹🇿
5
118
578
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
#HabariNjema : 💥 Jeshi la Polisi (Kawe) limemuachia Huru Mbunge @halimamdee 💪🏽🔥
14
49
562
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Serikali imepatana kumfunga Freeman Mbowe yani Ofisi ya DPP,Ofisi ya Polisi,Ofisi ya Mahakama wamepatana na kunuia kumfunga Freeman Mbowe;- @godbless_lema
Tweet media one
20
49
556
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
#UdhalilishajiMwanamke sasa basi retweet ujumbe huo umfikie popote alipo.
52
204
557
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Wamekuja kucheza bao......
Tweet media one
15
20
556
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Tweet media one
22
52
553
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Mwamba katikisa mzinga wa wakubwa?
Tweet media one
54
23
548
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
2 years
Mbunge wa vitu maalumu #NusratHanje akiburudika hadharani? Ndugu zangu Watanzania ukisaliti ni lazima ulipe gharama ya laana? Na malipo yameanza kama hivi? Nakala kwa spika wa bunge @TuliaAckson na wabunge wote wanaowakilisha Watanzania bila idhini Yao mtalipa gharama #kataa
274
93
537
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
5 years
*Nadhani sasa Watanzania mtakua mmetuelewa WANGONI kwanini tuliamua kuhama JOHANNESBURG na kwenda Kuishi NAMTUMBO,PERAMIHO NA MPITIMBI SONGEA* Tuliona mbali😌😌🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
30
22
527
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Mmoja Ni Afisa Mahusiano wa @CloudsMediaLive na mwingine ni mtangazaji wote ni CCM na wanahost vipindi vya kuishughulikia @ChademaTz sijui wataweza!? 😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
30
51
540
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
3 years
Leo tunaorodhesha wapiga kelele wote twitter🤣🤣🤣 @kigogo2014
Tweet media one
28
19
530
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 years
Ili iweje? Kuficha taarifa wanapata faida gani?
28
17
526